lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. Ccm acheni upumbavu aliyekufa leo ni mwaccm mwenzenu ingawa alidai yeye ni wa Nyerere sio wenu nyie matapeli toeni pole tu kwa familia ya Lissu mbona.

    Mbona Lissu alimpa pole Samia hata alipokuwa jera? Nawakumbusha tu alute ni mwanaccm mkongwe jamani toeni pole .
  2. M

    Nilimpinga lema wakati anamuunga mkono lissu mkanibeza

    Wakati wa uchaguzi ndani ya chadema nilimpinga sana Lema, niliona mbali sana. Mnaona sasa? Kikowapi?
  3. Lema, Lissu alikosea sana kukuamini. Ni vile hotuba yako umeitoa ukifahamu hatoachiliwa Nov 6. Sina hakika kama atakuja kukusamehe

    Mh Mwenyekiti Lissu, Kama angekua anataka Maridhiano ,asingekubali kukaa Jela miaka miwili. Asingeyakaa Yale Mabilioni. Asingewaonya mnaomtembelea Lissu Usiku. Asimgetafuta Ukweli, Haki, Uwajibikaji . Harakati za Mwenyekiti Lissu, kama zingeyatizama maisha yake binafsi, Basi asingetafuta...
  4. Wako wapi wale wafuasi wa kile chama cha saisa cha kushangilia vifo vya wanasiasa, watu mashuhuri na waja wa Allah, walio na maoni tofauti na yao?

    Mbona mko kimya sana leo na hamuonekani kushangilia? Au muda wa kushangilia bado? Au pengine bado mungu wenu hajawapandisha mihemko na kuwapa ujasiri na furaha ya kushangilia kifo cha mwanasheria nguli na mdau wa siasa mashuhuri kilichotokea leo nchini? In fact, ni kitu nonsense sana...
  5. Tumesema mara zote, Lema Huwa anaongea na Akina Mafwele , ndio Dalali Kati ya Familia ya Lissu na LISSU.

    Simmemsikia mwenyewe ?. Huyu ndie Huwa napewa habari za uhakika zà nani atakufa ,alafu anakuja kujifanya anatoa utabiri !!!. Simmesikia ,anasema aliongea na Nchimbi.?.
  6. R

    Lema: Nimewahi kufanya kikao na Nchimbi aongee na bosi wake Lissu aruhusiwe kuongea na Viongozi wenzake

    Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Novemba 1, 2026, Jijini Arusha, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amesema; "Mimi nishawahi kufanya kikao nasema hapa na makamu rais aliyetoka madarakani na kikao hicho ni kwenye njia ya simu. Nikafanya na...
  7. M

    nitatuma maombi kwa viongozi wangu wa Kanisa Katoliki kuomba uanzishwe mchakato wa kumtangaza Tundu Lissu kuwa MTAKATIFU

    Majira yakifika, mimi nitatuma maombi kwa viongozi wangu wa Kanisa Katoliki kuomba uanzishwe mchakato wa kumtangaza Tundu Lissu kuwa MTAKATIFU. Kama hatajisalimisha mpaka mwisho, naamini atafaa kutangazwa kama MTAKATIFU.
  8. Lema , Lissu aliyekuteua anataka haki, hataki Upendeleo, CHADEMA haitaki Maridhiano bila Ukweli, UWAZI, Uwajibikaji, Siasa za kidalali zilikoma Jan 21

    Nimesikia kupitia Mitandao ya Kijamii, Kesho una Kikao na Wananchi !! . Kama ambavyo MBOWE amedharaulika ndivo unaenda kua !!. Je NCHI Hiii Kuna Mwanasiasa ambaye angechagua kua sehemu ya CCM asingelikua Bilionea zaidi ya LISSU? Huyu Lissu huyu angetaka kua Makamo wa Rais Serikali ya Umoja...
  9. Countdown Zimebaki Siku 7 kuifikia Hukumu ya Tundu Lissu

    Huu uzi ni mahususi kwa kuCountdown siku zilizosalia mpaka kufikia humuku ya Jemedari Tundu Lissu TUTAKUWEPO
  10. Q

    Haki 10 za mahabusu ambazo Mahakama ilimnyima Lissu

    Lissu hakujitetea kwa ukamilifu kutokana na baadhi ya haki zake kama mshitakiwa kukiukwa aidha na mahakama ama magereza. 1. Haki ya kuongea na mawakili wake. KANYIMWA 2. Haki ya kupata mashahidi anaowataka. KANYIMWA 3. Haki ya kutoteswa. KANYIMWA, alilalamika kuwekewa kamera hadi chooni. 4...
  11. Nyie CHADEMA mbona mlisema Lissu ameanza mgomo wa kula, wakati si kweli, visahani vinafutwa kama kawaida

    Sisi wanazuoni tulishaanza kufanya tafiti on How long can a person survive without food before they die? Tanzania as a case study. Huwa Kila siku nasema humu, hakuna chama cha matepeli kama chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) NI matepeli kuanzia kauli, matendo mfano kuzindua nyumba ya...
  12. Tundu Lissu hajagoma kula na hakuna wakili wake aliyezuiwa kuingia gerezani

    Kuna taarifa inayosambaa kupitia mitandao ya kijamii iliyotolewa Oktoba 26, 2026 na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Brenda Rupia ikijulisha umma kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu ameanza mgomo wa kula chakula kuanzia Oktoba 26, 2026...
  13. Kuunga Mkono Mgomo Kula wa Lissu, Nimeaamua Kufunga kwa masaa 18 mpaka 21 kwa siku mpaka siku Lissu atakapoaanza tena kula.

    Leo ni siku ya pili ....
  14. Lissu aanza mgomo wa kula. CHADEMA yasema mawakili wake wamezuiwa kumwona gerezani

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa Mwenyekiti wake, Tundu Lissu, ameanza mgomo wa kula kuanzia Oktoba 26, 2026, huku chama hicho kikilalamikia kuzuiwa kwa mawakili wake kumwona gerezani. Hatua hiyo inafuatia taarifa iliyotolewa na Mwanasheria Mkuu wa chama hicho, Dk...
  15. Kutoka Tundu Lissu hadi Gandhi: Je, migomo ya kula huwa na matokeo?

    Kiongozi wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu, anatarajiwa kuanza mgomo wa kula leo, akipinga kile ambacho mawakili wake na chama chake wanaeleza kuwa ni ukiukwaji wa haki yake ya kuwasiliana kwa faragha na wanasheria wake akiwa mahabusu, wakati akisubiri hukumu ya kesi ya uhaini...
  16. Leo Lissu ataanza kufunga.

    Rais Samia ana moyo wa jiwe. Sasa Lissu asipokula chakula leo mpaka tarehe sita November,ataweza kweli kwenda mahakamani kuisikiliza hukumu yake? Hili nadhani ndio jambo alipokuwa anaongea Askofu Gwajima; kwamba Rais Samia anashauruwa vibaya na kila mtu kuhusu kila kitu. Sasa kumnyima chakula...
  17. B

    Mzee wa CHADEMA anena mambo mazito kuhusu kesi ya Tundu Lissu, haki itendeke!

    23 October 2026 Ikunga, Singida Tanzania MSIKILIZE HUYU MZEE WA CHADEMA ANENA MAMBO MAZITO KUSU KESI YA TUNDU LISSU, HAKI ITENDEKE https://m.youtube.com/watch?v=GxLhVIJw8WI Mzee atoa nasaha nzito mkumbuke haki isipotendeka waheshimiwa majaji ... Mzee mnajua maana ya Jamhuri, Jamhuri ni Nani ...
  18. Sitakula wala kunywa kwa siku tatu mfululizo kuanzia 26/10/2026-29/10/2026 kumuunga Tundu Lissu mkono kwenye mgomo wake

    Mpendwa wetu Tundu Lissu ametangaza mgomo wa kula na kunywa kushinikiza kutimizwa haki zake kama zilivyoamriwa na mahakama. Sasa jeshi la Magereza Tanzania wameendelea kumnyima haki ya kuongea kwa faragha na mawakili wake. Hivyo basi nami kwa kutambua kwamba mtetezi wa wanyonge anapita kwenye...
  19. Tundu Lissu, Kufungwa siyo Mwisho wa Mapambano

    Nimesikia Mitandaoni Akina Rugemeleza Nshala wanasema kuwa Tundu Lissu anataka kuanza kugoma kula kuanzia Kesho. Nafahamu pia Tundu Lissu ni Mwanasheria Nguli na ameshaziona dalili za kusokotwa hiyo anapaza sauti ili asikike ni kawaida kwa mtu aliyezama kwenye maji kuhangaika kutaka kujiokoa...
  20. L

    Kiza Besige Aligoma Kula Chakula hadi kudondoka Mahakamani na kukondeana lakini aliendelea kukaa ndani hadi akaanza kula mwenyewe. Lissu asibembelezwe

    Ndugu zangu Watanzania, Lissu asibembelezwe hata kidogo Yaani tena ikiwezekana asipewe kabisa chakula kama hataki kula ili kupunguza na kuondoa usumbufu wa kutembea kumbembeleza ili ale chakula . Yeye kama hali na hataki kula basi aaachwe akae hivyo hivyo bila kubembelezwa kwa namna yoyote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…