lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. Tundu Lissu akiwa "Kingmaker" atakuwa hatari zaidi kwa CCM

    Kama nia ya CCM, serikali zake na dola ni kumwekea doa Tundu Lissu kwa kumhukumu katika kesi ya Uhaini ili akose sifa za kuwania au kuwa Rais wa JMT, wanaweza kuwa wanafanya kosa kubwa kwao la kisiasa. Lissu akiwa "Kingmaker", atakuwa na nguvu na ushawishi mkubwa zaidi na labda anaweza kufanya...
  2. M

    Kesi ya Uhaini: John Mnyika Kuendelea kumtetea Tundu Lissu Mahakamani. Maswali ya Dodoso kutoka Jamhuri kuendelea leo 1, Septemba 2026

    Mahakamani leo tena kesi inaendelea kwa Upande wa Mawakili wa Serikali kumuuliza Mswali ya Dodoso Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika Pia soma: Kesi ya Uhaini: John Mnyika aendelea kutoa Ushahidi kumtetea Tundu Lissu Mahakamani leo Agosti 31, 2026. Kesi imeahirishwa hadi Kesho Leo September...
  3. A to Z kesi ya lissu siku ya leo

    Mwenendo wote wa leo, Agosti 31, 2026 SEHEMU YA PILI Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu [Majaji wanaingia Mahakamani.] [Mheshimiwa Mnyika na Mheshimiwa Lissu wapo Mahakamani.] WAKILI WA SERIKALI: Waheshimiwa Majaji, kwa upande wa Jamhuri tupo tayari. Shauri linakuja kwa ajili ya...
  4. Hivi mnajua, baada ya hii kesi ya Uhaini, hawataweza tena kumkamata wala kumshitaki Tundu Lissu?

    Kwa miaka mingi serikali kuanzia za Mkapa hadi Samia zilikuwa zinasumbuana na Tundu Lissu, kwa kumkamata na wakati mwingine kumshitaki kwa tuhuma mbalimbali na baadae kumuachia. Kitendo cha kufika kumkamata na kumshitaki kwa kesi ya Uhaini ambayo ni kesi kubwa zaidi katika Katiba ya JMT...
  5. M

    Kesi ya Uhaini: John Mnyika aendelea kutoa Ushahidi kumtetea Tundu Lissu Mahakamani leo Agosti 31, 2026. Kesi imeahirishwa hadi Kesho

    KESI ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu inaendelea tena leo, Jumatatu Agosti 31.2026, kama ilivyo kawaida mbele ya jopo la Majaji watatu (3) wakiongozwa na Jaji Dastan Ndunguru KESI hiyo inayosikilizwa mfululizo kwenye Mahakama Kuu ya...
  6. Katibu wa Chadema Mkoa wa Mara amuasa Heche kukaa meza ya maridhiano ili Lissu atoke

    Katibu wa Chadema mkoa wa Mara anetoa wito huo akirejea mifano ya Nelson Mandela alivyoweza kukaa meza moja na makaburu na muafaka ukapatikana. My Take:Inaelekea kuna misimamo miwili kinzani ndani ya CDM juu ya hatua za kufanya katika utatuzi wa maswala muhimu ndani ya chama chao.
  7. Mzee Butiku ni mnafiki, anasema Lissu hawezi kuachiwa kwa amri ya rais wakati fisadi Harbinder Seth na mwenzake waliachiwa kwa amri ya Rais

    Huyu mzee huenda kweli alimuuza Polepole akatekwa. Tulishuhudia baada ya Magufuli kufa Mafisadi papa wa CCM wakaachiwa kwa amri ya rais. Leo huyu mzee analeta porojo👇
  8. Ushindi wa LISSU 22/1/2025 kua Mwenyekiti CDM, mpaka sasa umetuletea Mapinduzi Chanya Kisiasa, Tumuombee sana !Udalali wa Mbowe Ulituchelewesha

    Jaribu kuwaza Mbowe ndo angekua Mwenyekiti 2025. Chadema wangepewa Wabunge 20 , alafu business as usual!!. Mbowe Mafanikio yake sio kua Kua Kiongozi, Mafanikio yake yalijengwa kwenye Kumiliki Mali, Kua na Connections na Serikali !!. Lissu kauthibitishia UMMA wa Watanzania kua, Yeye anawapenda...
  9. Baraza kuu la CHADEMA linapigwa chenga huku linalishwa na hela za donation na ununuzi wa Gali la Lissu ulipigwa chenga mwisho wa siku hela zikagongwa

    Kipi kinachozuia mkutano wa baraza kuu la CHADEMA ili hali mkutano utaendeshwa kwa Hela za donation mlizowatapeli wajinga? Warudishieni watu hela zao. Mnazugazuga mwisho wa siku hakuna mkutano ili hali mna hela za watu kama ilivyokuwa kwenye donation ya kununua gari la LISSU mlizugazuga mwisho...
  10. Njoo mumtetee Mwenyekiti Lissu

  11. CHADEMA chagueni mwenyekiti mwingine, Makosa ya uhaini yamemkosesha Lissu sifa ya kuwa kiongozi

    Ibara ya 132(5)(c) inasema misingi ya maadili ya viongozi wa umma/chama/kikundi/taasisi inapiga marufuku mienendo au tabia inayomfanya kiongozi aonekane hana uaminifu, anapendelea, si muadilifu, mhaini au anahusika na kuchochea rushwa au vurugu. Kwa maana hiyo Tundulisu hafai kuendelea kuwa...
  12. Kiongozi wa upinzani Zambia, Brian Mundubile kupitia mapito ya Tundu Lissu. Mbinu za Tanzania za Uhaini

    Brian Mundubile alilalamika kwamba Zambia wanatumia mbinu za Tanzania za kudidimiza upinzani, na Serikali ya Tanzania imepelekea watu kuhakisha hashindi na kuhakikisha wafanya mbinu chafu za kumuangamiza. Yaleyaye yaliyotokea kwa Tundu Lissu ndo yametokea kwake. Tanzania walitoa tamko la...
  13. K

    Lissu hawezi kushinda kesi hii ambayo mzani wa kisheria umepokwa na mamlaka ya kisiasa

    Kama sheria zetu zingefanya kazi kesi ingetupiliwa mbali pale tu mahakama ilivyokataa ushahidi wa ile video Kungekuwa hakuna tena kesi ya kujibu kwasababu kielelezo kikuu cha mashitaka kilikataliwa lakini sasa kinachoendelea ni hadaa tuu ili kumchelewesha aweze kukiri na kupiga magoti kwa...
  14. Mheshiwa Lissu kajitetea vibaya kwenye kipengele cha heshima kubwa aliyonayo kimataifa

    Nilimsikia Mh. Lissu kwenye moja ya majibu yake mahakamani akisema na kukubali kuwa yeye ni mtu anaehishimika sana ndani na nje ya nchi kiasi cha jumuiya za kimataifa kumtambua na kumheshimisha kwa kumpatia tuzo. Kama Lissu mwenyewewe anakili kuwa yeye ni mtu muhimu na anaekubalika nchini na...
  15. Lissu akigawa chanjo ya pepopunda huko Mahakamani leo 😂😂😂

    Lissu akigawa chanjo ya pepopunda huko Mahakamani leo 😂😂😂
  16. Hakika Lissu is destined

    He's a true definion of walking your purpose... He indeed is Kuna watu wa wamekuja duniani ku accomplish jambo fulani mpka lliitimie, mfano wakina Gandi, kina mother Teresa, kina, Tupac Shakur... Thse people risked their own very lives kwa ajili ya kuacha alama. Him, too.... Maana imagine...
  17. M

    Lissu achangiwe ili anunue dawa. Amesisitiza kuishiwa dawa. Ndani ya masaa 24 zipatikane dawa

    Kila mpenda haki hapa Tanzania achangie angalau Tsh 500/= Itakuwa nia aibu Mwenyekiti kukosa dawa wakati watu wanauwezo wa kuchanga mamilioni ya Pesa.
  18. Uchambuzi wa ushahidi wa Tundu Lissu

    Hapa ndipo dodoso linaanza kugusa moja kwa moja credibility ya ushahidi na value ya vielelezo. Katuga anaonekana kujaribu kumfunga Lissu kwenye admissions alizokwisha kuzitoa wakati wa cross-examination ya mashahidi, hasa kuhusu tofauti kati ya contradiction na omission. Hoja ya msingi ni...
  19. Tundu Lissu: Waambie watu wangu sina dawa

    “Waambie watu wangu sina dawa” Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu leo ameomba msaada wa kupata dawa punde baada ya kuingia mahakamani. Mwenendo wa kesi umefikia katika hatua ya upande wa serikali kumuuliza mshtakiwa maswali ya dodoso baada ya Lissu kuwasilisha ushahidi wa kujitetea.
  20. Lakini hatukwenda BAKWATA maana wale ni MaCCM" Tundu Lissu.!

    "No Reforms No Election sio uhaini, ni kauli mbiu ya kudai mabadiliko ya sheria na katiba kabla ya kwenda kwenye uchaguzi. Tulizunguka kwenye balozi na asasi za kiraia kuelezea ujumbe wetu kuhusu No Reforms No Election. Ingekua kauli ya uhaini tusingeweza kwenda kote huko. Tulienda pia kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…