lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Kama Watanzania wote tungekuwa na akili timamu, tungeweka kando tofauti zetu za kisiasa na kuwapigania kwa nguvu zote Lissu, Dr. Nchimbi na Pole Pole

    Hakuna Mtanzania asiyeona kwamba sasa nchi yetu Tanzania imeingizwa kwa ndani sana na utawala wa kikatili na kifisadi uliojikita kwenye kujifanya mabwana kati ya raia ambao wanapaswa kuwa watwana. Polisi wametusaliti na kuwa wauaji na watekaji wetu, wakijiunga na TISS katika udhalimu huu...
  2. K

    Angalizo: Mama Samia asipomuomba msamaha Lissu hatamaliza muhula wake!

    Angalio Mama Samia asiko omba msamaha kwa Lissu hatamaliza muhula wake! Naombeni save hii na mtakuja kuniambia. Itakuwa kama Magufuli asikofanya hivyo haya ni maono yangu. Kama wewe ni mbishi puuza lakini tulisema kabla Magu naye hajawa hayati. Poleni CCM inakuja
  3. Miaka 50 ijayo wajukuu wetu watatulaani kwanini tulimnyonga Lissu, kama DRC wanavyolaani kuhusu kumuua Lumumba.

    Habari Wana JF Leo nilikuwa natafakari ni jinsi gani watu wa DRC walivyomuua Waziri Mkuu wao wa Zamani Patrice Lumumba mwaka 1961. Ukiangalia zile picha za video wakati Lumumba anakamatwa utashangaa sana. Kwanza, Lumumba aliwaomba jeshi wasimpige wamkamate tu, ila akatokea mwanajeshi Mmoja...
  4. E

    Mwaipaya: Kwa nini nilimuunga mkono Lissu uchaguzi wa CHADEMA na Nipo tayari kulipa gharama za demokrasia

    Baada ya uchaguzi wa ndani wa Chadema wa mwaka 2024/25, baadhi ya viongozi na wanachama wa chama hicho walifanya maamuzi yaliyobadili mwelekeo wa kisiasa waliokuwa wameuzoea kwa miaka kadhaa. Miongoni mwao ni Twaha Mwaipaya, aliyewahi kuwa kiongozi wa Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA)...
  5. S

    Clip ya Lameck ni ya kutengeneza, ila wacha yawakute wajue umuhimu wa kuungana na wapinzani kudai Katiba mpya

    Kwa mtu yoyote makini, atagundua clip inayodaiwa ni ya Lameck akiwa faragha, ni clip ya kutengeneza na sababu ni hii: Mtu anaonekana kukoroma, ila ukiangalia vizuri, utagundua kifua hakipandi na kushuka kwa maana ya kupumua kitu ambacho hakiwezekani unless nimeona vibaya. Binafsi, nimeitzama...
  6. Dunia inafahamu ukweli kuhusu kesi ya Tundu Lissu, Lissu ameiambia Mahakama akipatikana na kesi anyongwe mpaka kufa asipopatikana na kesi aachiwe huru

    ‪Dunia inafahamu ukweli. Ndiyo maana Tundu Lissu anasema akipatikana na hatia, anyongwe hadi kufa. CCM wanasema adhabu siyo kunyongwa pekee‬ ‪Tundu Lissu anaeleza Mahakama kwamba adhabu ya uhaini ni kuachiwa huru au kunyongwa hadi kufa. CCM wanasema Mahakama iamue kwa hisia tu‬ ‪Anyways...
  7. M

    Maswali 5 ya kujiuliza ktk Final submission ya Lissu

    1. Alipata wapi internet na kwa muda gani? Ili kufanya research ya kina, kusoma hukumu, sheria, nyaraka na maamuzi mbalimbali, internet au chanzo kingine cha taarifa kingehitajika. Ikiwa alikuwa chini ya ulinzi, ni muhimu kujua alipataje na lini fursa hiyo. 2. Alipata muda gani wa kufanya...
  8. F

    Itakuwaje kama Tundu Lissu atahukumiwa kunyongwa kama alivyotahadharisha?

    Kesi ya 'uhaini' inayomkabili mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antipas Lissu imefikia pazuri. Kilichobaki sasa ni hukumu. Je, itakuwaje kama Lissu atapatikana na hatia na adhabu yake ikishushwa? Tunasema hivi kwa sababu kosa la uhaini lina adhabu moja yaani...
  9. 6/11/2026 ni hukumu ya Lissu, Watanganyika, siku hiyo tujitokeze kwa wingi sana kwa ajili ya Kuandamana kupinga/Kufurahia Hukumu !Asibaki ndani Mtu

    Ni Hukumu ya Kihistori Kati ya UOVU na WEMA.!!
  10. H

    Tetesi: Lissu atahukumiwa kifo. Maandalizi ya serikali yanayoitwa elinino yamelenga kuja kuzuia Vurugu baada ya ukumu

    Za ndani kabisa. Mitiani imewahishwa yote, kisha serikali ikatenga billion 700 kwa kile inachokiita elinino. Ila ukweli ni kuwa Ama Lissu atafia jela kabla ya hukumu yatehe 6 November au Akina kabudi watalazimika kuandika hukumu ya kumnyonga. Majamaa ya Zimbabwe hayataki kabisa kumuona lissu...
  11. Hukumu ya Tundu Lissu ni tarehe 06 November 2026, saa 3:00 asubuhi

    Yaani namanisha tarehe 06 November 2026, saa 3:00 asubuhi ndo siku ambayo Tundu Lissu atakuwa Uraiani. Kama aliweza kuvumilia mwaka na nusu Gerezani, hatashindwa kuvumilia mwezi mmoja. Hongera sana Tundu Lissu kwa kazi nzuri Mahakamani. Sasa unatakiwa uitwe profesa. Baada ya kusikiliza...
  12. Serikali inajilaumu sana kumkamata Lissu kabla ya 29 October 2025.=

    Nimejaribu kufuatilia hii kesi tangu ilivyoanza mpaka sasa unaona kabisa serikali inajilaumu kuwahi kumkamata Lissu kabla ya yale machafuko(maandamano halali). Ndo maana kuna kipindi wakataka kuleta ushahidi mpya lakini Gwiji La sheria duniani Ndugu Mheshimiwa TUNDU ANTIPHAS LISSU akapangua...
  13. Kituko kesi ya uhaini wa Tundu Lissu: Nassoro Katuga asema, kama TAL hana hatia ya uhaini wa hukumu ya kifo, basi mahakama imfunge jela miaka kadhaa!

    Hii ndiyo nia ya hawa hayawani. Hawataki kabisa mtu huyu awe huru iwe mvua au jua. Lakini mimi nasema, Tundu Lissu si mhaini, fullstop!! ================ Kinachoendelea leo Mahakama Kuu ya Tanzania, obvious mambo si mambo kwa Jamhuri wakiongozwa na Wakili wao mkuu, Nassoro Katuga. DPP na...
  14. S

    Lissu aliona mbali: Leo Katuga anaiamba mahakama kuwa adhabu sio lazima kunyongwa, bali mahakama inaweza kutoa adhabu nyingine

    Aliyoyasema Lissu jana kuwa adhabu ya kosa analotuhumiwa nalo ni kunyongwa na kwamba mahakama isiambiwe kitu cha tofauti na hukumu ya kunyongwa au yeye(Lissu) kuachiwa huru Sasa hii hapa chini ni sehemu ya final submission ya Katuga leo mahakamani: Waheshimiwa Majaji kwa kuelezea kwa kirefu...
  15. Mahakamani 29 Septemba 2026: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    Leo ni siku ambayo kesi ya Lissu inaendelea mahakamani. Tunaomba Manyanza utuletee hiyo Update. MAHAKAMA IMEANZA MAWAKILI WA SERIKALI WANAFANYA MAJUMUISHO YA MWISHO. SEHEMU YA 1. Jumanne, Septemba 29, 2026 Lissu ameingia kwa kushangiliwa sana. Majaji nao wameingia. Mawakili wa Serikali...
  16. Ebu jaribu ku-imagine Tanzania ambayo Lissu ndio raisi. Unadhani ni vitu gani na gani vitabadirika?

    Ebu jaribu ku-imagine Tanzania ambayo Lissu ndio rais. Unadhani ni vitu gani na gani vitabadirika?
  17. Serikali ilidhani itafanya "Cheap bargaining" na Lissu huko mbele ya safari kwenye kesi. Mwamba kakaza mpaka mwisho!

    Hii serikali ya Samia ilidhani yatatokea yale ya Mbowe kuwa unaambiwa una kesi ya kujibu kisha unanyoosha mikono na kukimbilia ikulu! Mwamba kasema yupo tayari kufa na hakuna kesi ndogo kwenye kesi ya uhaini. Kasema wazi ni ama una hatia unyongwe au hauna hatia uachiliwe. Hakuna cha mbadala...
  18. H

    Lissu ataka hukumu ni au iwe MOTO au BARIDI, hataki hukumu VUGUVUGU, uhaini ni uhani tu, hakuna kosa dogo kwenye uhaini ni au KIFO au niachiwe huru

    Msimamo huo nimekuwa nikiupigania katika siku zote za maisha yangu. Na kama ikibidi kufa kwa msimamo huo, nipo tayari kufa kwa ajili yake. Mwisho namalizia, Waheshimiwa Majaji, kosa la uhaini halina kosa dogo. Halina kosa ambalo ukishindwa kuthibitisha kosa la uhaini, unathibitisha kosa dogo...
  19. Mahakamani 28 Septemba: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    Kutoka mahakama kuu ya Tanzania, masjala ndogo jijini Dar es Salaam, kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA dhidi ya Jamhuri inaendelea. Tayari mshtakiwa Tundu Lissu ameshawasili mahakamani Kaa tayari kwa updates ===== Leo September 28, 2026 Last time tuliishia 467 Sehemu ya...
  20. S

    Lissu kuwekwa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa na hujuma nyinginezo gerezani, zilikuwa ni mbinu za kumlazimisha kuwapigia magoti watesi wake

    Lissu, kwa nyakati tofauti, alikuwa anaeleza mahakamani mambo ambavyo sio ya haki aliokuwa anafanyiwa gerezani Ukonga kama vile kuwekwa pamoja na wafungwa wanaosubiri kunyongwa, kunyimwa privacy ya kuongea na mawakili wake, n.k.. Binafsi, naamini haya yalikuwa hayafanyiki kwa bahati mbaya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…