lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. Kesi imesikilizwa tunasubiri hukumu. Mawakili wa Lissu wanafuata nini gerezani, kuna siri gani hawataki isikike?

    CHadema wanajaribu kila kitu ili kupata la kulalamikia na wakumlalamikia. Huu ni muda wa kusubiri hukumu kutoka kwa majaji waliosikiliza kesi ya Lissu. Inakuwaje mawakili wafunge safari kwenda kumuona Lissu kabla ya hukumu kutoka? Si wangojee huku itolewe kwanza ili waende wakiwa na kitu kamili...
  2. Sisi wasomi/wanazuoni tutautumia mgomo wa kutokula wa Lissu kama Case Study ili tuone mtu anakufa baada ya siku ngapi akikaa bila kula

    Niombe watanzania asiwepo mtu wa kuingilia mgomo wa kutokula ambao anatarajia aufanye Lissu kuanzia tar. 26/10/2026. ili kutupa nafasi sisi wasomi tuweze kubaini na kuona ni siku ngapi mtu anaweza akaishi bila kula mpaka anakufa. Sisi wasomi jukumu letu litakuwa ni kuhesabu siku tu mpaka siku...
  3. M

    Lissu atangaza mgomo wa kula chakula kuanzia Jumatatu, 26/10/2026

    Mwenyekiti amesema kuanzia Jumatatu ya tarehe 26/10/2026 anaanza mgomo wa kutokula chakula kwa sababu amenyimwa haki yake ya kukutana na Mawakili kwa sababu anasimamia maamuzi ya Mahakama Kuu ya Tanzania huo ambao ulitolewa wiki iliyopita kuwa ana haki ya kukutana na mawakili. "Hayo ameyaeleza...
  4. L

    Hakuna Mtanzania anapaswa kuwa na huruma na Lissu. Hata mke wake hajawahi kwenda kumuona gerezani

    Ndugu zangu Watanzania, Kama wewe ni Mzalendo wa kweli wa Taifa hili na unayependa Amani na usalama wa Taifa hili kwa Tanzania bora ya leo na kesho basi hupaswi hata kidogo hata chembe kuwa na huruma na Lissu. Hakuna Mtanzania Anapaswa hata kupoteza muda kumuombea Lissu. Hii ni Kwa kuwa mtu...
  5. Kila mtu angewashangaa wazungu kama Lissu angepata tuzo ya SAKHAROV

    Ndani ya EU kuna watu wajinga/corrupt/lobbists wanapenyesha hoja za kijinga kwa wajumbe wa EU ili kufanikisha agenda zao za kijinga. Sema tu wabumge wa EU wengi wao wana akili lazini, wanazipiga chini mwisho wa siku kwa kuogopa kuchekwa na dunia. Yaani Lissu amefanya nn cha maana kinachostahili...
  6. L

    Kitendo Cha Bunge La Ulaya Kumnyima Lissu Tuzo Ni Ishara ya Wazi Kuwa Hata Wao Wameona Wazi Kabisa Lissu Ni Mhaini na Hawawezi Kuichafua Tuzo Yao.

    Ndugu zangu Watanzania, Tulishasema sana na nilishasema wazi kabisa huku Jukwaani Ya Kuwa Lissu hapaswi kuwepo Uraiani katika Siku zake zilizo salia Hapa Duniani. Lissu anastahili Adhabu kali sana itakayo kuwa Fundisho Kwa Wavunja sheria wa hapa Nchini. Lissu anastahili Adhabu ambayo itabakia...
  7. Lissu yupo Sana tu mtaani ninyi andaa tu jinsi ya kumpokea, wanaharakati baadhi wanawadanganya

    The frivolous, fabricated and politically orchestrated prosecution against Lissu has become a severe albatross around the neck of Samia's illegitimate and unlawful regime! And yet, simultaneously, you eulogize and applaud activists who are being fed spurious, mendacious intelligence to obfuscate...
  8. Hukumu kesi ya Lissu inashikilia hatma ya usalama wetu kama nchi. Tutajifunza nini?

    Hukumu ya kesi moja inahukumu kesi nyingine inayofanana nayo. Watanzania, wanasiasa, wazee, wanaume, wanawake, vijana, watoto, waislam, wakristo, diaspora na majirani zetu watajifunza nini kutokana na hukumu ya kessi ya Lissu kwa vyovyote vile itakavyohukumiwa?
  9. Q

    Walitaka Lissu afe kwa risasi Mungu akamjibu, wanapanga afe kwa kunyongwa Mungu atajibu

    Kifo ni kifo tu, kiwe kwa risasi, kiwe kwa kunyonga, kitokee kitandani ni kifo tu. Magufuli alipanga Lissu afe kwa risasi Mungu akakataa ila akajibu instantly, safari hii wamepanga Lissu afe kwa kunyongwa, naimani Mungu atakataa tena lakini atawajibu kwa kipimo kile kile pengine zaidi. Kama ni...
  10. M

    Watanzania wakati umefika wa kuamka na kumpambania Lissu na katiba mpya

    Ni dhahiri hawa wauaji wamepanga kumfunga Tundu Lissu na hawana mpango wa katiba mpya ambayo itawaondoa madarakani. Sasa kwa umoja wetu tuamke na tuingie barabarani kuhakikisha haki inapatikana Tanzania. Tundu Lissu ameonyesha dhamira ya kweli na kutupigania watanzania, tunapaswa...
  11. K

    Lissu analindwa na Mungu kakuzwa zaidi ndani ya jela!!

    https://youtu.be/CALO0DrQqa8?si=GjQVirvaBRh9fs9r Hatuna mtu shujaa na mazalendo kama huyu jamaa kwasasa. Tumejaza machawa Tanzania wa waoga tupu
  12. Lissu ateuliwa kushindania tuzo ya haki za binadamu. Aibu kwa Samia na washauri wake

    Akishinda Samia na genge lake watapata aibu kubwa.👇
  13. Tundu Lissu anastahili kutunukiwa Tuzo ya Sakharov

    Tundu Lissu wa Tanzania anastahili kutunukiwa Tuzo ya Sakharov. Akiwa anakabiliwa na uwezekano wa kuhukumiwa adhabu ya kifo, huku kukiwa na wasiwasi kuhusu haki na uadilifu wa mwenendo wa kesi yake, kiongozi huyo wa upinzani nchini Tanzania anaendelea kuwa alama ya ujasiri katika mapambano ya...
  14. Tamko la Baraza la Uongozi la TLS dhidi ya dhukuma inayoendezwa dhidi ya Rais wa TLS na kutendewa visivyo kwa Wakili Tundu Lissu

    Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) linaendelea kufuatilia kwa ukaribu shauri la maombi namba 4 ya mwaka 2026 lililofunguliwa tarehe 27/5/2026 na Wakili mwenzetu Chacha Mwita Nashon mwenye namba ya uwakili 11554 dhidi ya Rais wa TLS Wakili Boniface A.K. Mwabukusi kwenye...
  15. Hatutambui Ubunge wa wale wabunge 19 lakini Ruzuku hatuachi. Hii ni kauli ya Lissu, tunaposema chadema ni makanjanja muwe mnaelewa.

    Pia Lissu aliongeza kwa kusema hatambui ubunge wa Aidan khenan lakini Ruzuku tutachukua hii nini hii watz wenzangu hivi mnaelewa kweli 😭.....hebu jiulize walichukua ruzuku kwa sifa zipi ili hali wanazikana sifa zinazowapa ruzuku, kama siyo UTAPELI na WIZI, Watanzania chadema ni kikundi cha...
  16. K

    Kubondwa kwa serikali kwenye kesi ya Lissu leo!

    wadau kwema, leo kesi ya kikatiba kuhusu bwana jera kuzuia mawakili wa Lissu imesomwa, ambapo serikali imebondwa kisawasawa sasa swali langu ni je haya ni maandalizi ya kisaikolojia kwa ccm na genge lao kuwa tarehe 06/11/2026 wajiandae kutoa mlio mkubwa zaidi? naomba majibu wakuu, only for...
  17. Mawakili wa Lissu waibuka kidedea, Gereza la Ukonga lapewa maagizo

    Mahakama Kuu ya Tanzania imeuagiza uongozi Gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam kufuata taratibu za Kanuni za Uendeshaji wa Magereza kwa kutowanyima Mawakili na Washauri wa kisheria kuzungumza na mteja wao lakini pia maafisa magereza kusimamia maongezi hayo kwa kukaa umbali ambao wataweza kuona...
  18. Video: Ukimsikiliza Lissu alipokuwa bungeni halafu ukisoma nyuzi za machawa humu JF utagundua, Machawa kuna namna fulani wana laana

    https://www.tiktok.com/@emmanoeli3/video/7681738572277288210?_r=1&u_code=e0hkf9aj984902&preview_pb=0&sharer_language=en&_d=dmbi6bhhk236d0&share_item_id=7681738572277288210&source=h5_m&timestamp=1791747785&user_id=7073563122229298182&sec_user_id=MS4wLjABAAAAUJa_GofDENFj0b3t4zylnDgbbtbouvSMjso0y1zh...
  19. Hakuna sababu ya Lissu kuendelea kukaa nyuma ya nondo

    Hakuna haja yoyote Lissu kuendelea kukaa nyuma ya Nondo hata kama anataka kujitoa kafara kwa ajili ya wengine kama ndio anafikiri hivyo binafsi naiita kafara ya kipuuzi tu. Huwezi kujitosa kupambania maiti.Watanzania waachwe kama walivyo na maisha waliochagua kuishi.
  20. Anavyopenda madaraka huenda akalazimisha Lissu anyongwe.

    Ni kiongozi pekee ambae Afrika imethibitishsa kuwa anapenda madaraka. Alilazima Ndugai ajiuzulu, na alifuta safu yote iliyokuwa karibu na mtangulizi wake. Kwa Lissu ni kikwazo cha ufisadi wake huenda akamuua kwa kumnyonga.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…