Wyoming Public Radio (WPR) is the statewide public radio network in Wyoming, and is licensed to the University of Wyoming, with headquarters inside the basement of Knight Hall on the UW campus on East University Avenue (at the corner of South 12th Street and Ivinson Avenue) in Laramie.
Wizara ya Afya ya Hamas huko Gaza: Watu 18 wameuawa na wengine 38 wamejeruhiwa na shambulio la Israel katika saa 48 zilizopita.
Magaidi 3 waliotambuliwa kama Imad Mahmoud Abu Jazar, Ismail Hamad Abu Jazar na Osama Musa al-Mashoukhi waliangamizwa huko Rafah, ambapo wengine 2 walijeruhiwa...
Sabato Njema!
Kama mtaalamu wa masuala ya kimedani. Njama, hila, siasa chafu na mambo ya kijasusi. Nachelea kusema mbinu anazotumia Mzee wa Msoga zimemfanikisha kwa kiwango kikubwa sana. Huku opponents wake wakibaki wanaachwaga kwenye mataa.
Utanisamehe Mzee wa Msoga ikiwa hii kwako itakuwa ni...
Ukienda nchi jirani, mafuta ya petrol na diesel ni nafuu kuliko Tanzania, tena baadhi ya nchi zinatumia bandari yetu. Sekta ya magari nayo ni mfano mwingine: Crown Athlete ya mwaka 2007 ukiagiza Japan unaweza kuinunua kwa milioni 6, lakini ikifika Tanzania kodi na ushuru vinaweza kufika milioni...
Amani iwe juu yenu,
Nimekuwa nikijiuliza sana kwamba ,mbona sisi ni watu wa mijadala , uchambuzi na motisha kwa sana na sio Ugunduzi na utendaji?
Hapa pale UDSM miaka ya nyuma, sifa yao kubwa ilikuwa ni mijadala ila hakuna gunduzi ambayo imeweza kupenya kwenda nje au kubadilisha maisha ya...
Kuna jambo linalohitaji maelezo ya kina kutoka kwa mamlaka za serikali kuhusu utekelezaji wa zoezi la kubomoa biashara zilizopo kwenye hifadhi ya barabara ya Morogoro Road, jijini Dar es Salaam.
Katika kipindi cha utawala wa Hayati Rais Dkt. John Pombe Magufuli, serikali ilifanya operesheni ya...
Kupiga miayo ni ishara ya kuwa na mapepo au nini
Kuna watu wanapenda kufahamu kuhusu kitendo cha kupiga miayo mara kwa mara, hususan WAKIWAZA TU KUOMBA. Kinaweza kuwa ishara ya kuwa na mapepo, nguvu za giza au nini?
Hebu tuanze kwa kuangalia hali ya kawaida. Katika hali ya kawaida, kupiga...
Kujivunia kuwa peke yako ni ishara ya ukomavu wa kihisia na kujitosheleza, ambapo mtu hufurahia uwepo wake binafsi badala ya kuhisi upweke au kutengwa.
Kitaalamu katika saikolojia, hali ya mtu kuwa peke yake kwa hiari na utulivu huitwa Solitude (upweke chanya/utulivu wa kuwa peke yako), tofauti...
Ndiyo mpaka connection zivuje na wanafunze wanaomaliza form four washangilie na kucheza wakiwatishia mama zao wafiche nanilii zao ndani?
Ila bado ataendelea kuwa karibu sana na wasanii kwa kuwa connection nyingi hutokea pande zile
Haya ni maoni binafsi, natumia uhuru wangu kutoa maoni, kamwe nisieleweke vibaya, ni uhuru wa maoni nilionao kikatiba.
Kila mtu ajua kuwa CCM ilikufa rasmi October 29 2025,
Sasa muda si muda,Tundu Lissu atakuwa kiongozi mkuu wa wa Tanzania Mungu akipenda.
Sasa nauliza mapema,ni watu Gani...
Hizi habari najua ni furaha na hasira kwa makundi tofauti ila ndiyo hivyo inaelekea kuamuliwa hivyo.
Kuna mtu mwenye nguvu chamani anamsihi Bi mkubwa waende na huyu kama mpeperushaji 2030.
Iko hivi, 2027 Maswi atateuliwa ubunge na uwaziri na baada ya safari ya miaka mitatu atatinga jumba...
Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA) kupitia Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma kimetoa ufafanuzi kuhusu mdahi ya Mdau wa JamiiForums.com aliyehoji kama uongozi wa chuo hicho ulimdanganya au kumpotosha Waziri wa Katiba na Sheria, Abdallah Ulega, katika mchakato wa kumpendekeza mwanafunzi wa...
NGURUWE WAKO WAMEDUMAA? HUU NDIO MUDA WA KUBADILI MATOKEO!
Tumia MAX PIG SUPER MEAT – virutubisho asilia vyenye madini, vitamini na probiotics vinavyosaidia kuboresha ukuaji, afya na ufanyaji kazi wa mwili wa nguruwe.
Dozi: 1Kg kwa kilo 500 za chakula.
Bei: 30,000/= Tsh kwa 1Kg.
Nunua MAX...
Msanii wa music nchini Tanzania anayewakilisha nchi hiyo Kimataifa katika sanaa ya muziki na Uandishi, hivi karibuni alitangaza nia ya kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Mgombea binafsi, Civilian-Coin Nalimi Kisandu amesema akiwa RAIS wa Tanzania ataruhusu Watanzania kutumia...
Ukiwa hapo ulipo, unajiona huna ugomvi na mtu, kila mtu anakupenda na anakufurahia.
Lakini nikukumbushe jambo moja:
Yesu alikuwa na maneno mazuri, alitenda mema na alikuwa na wafuasi waliomzunguka kwa tabasamu.
Pamoja na yote hayo, alisalitiwa.
Sasa wewe ni nani hata ujione huwezi kusalitiwa...
Umeona jinsi watu wengi kama sio wote wanavyopata shurba za kufanya usafi na kuweka mazingira sawa pindi wanapopata wageni.
Sasa ile hali ya usafi unaofanyika kwa ajili ya wageni ndivyo tunavyotakiwa kuishi hivo siku zote. Yaani mazingira yawe safi muda wote.
Hii michepuko yahivi ni irasimishe kabisa niachie huyu mrugaruga niliokuwa nae, ni kama wana chemistry fulani hivi hakuna cha wivu wala nini nikiwa nao nainjoy sana na wala hawana matumizi kiviile
Leo nimekutana na mmoja ananiambia rafiki ake ananisalimia nikamtoa afu ishirini akampe na mwenzie...
Udumavu kwa watoto hauwezi kumalizwa kwa kumtibu mtoto mmoja mmoja hospitalini pekee. Wataalamu wanaeleza kuwa suluhisho linahitaji familia kupata uelewa wa lishe, kutumia vizuri chakula kinachozalishwa, kubadili baadhi ya mitazamo kuhusu vyakula na kuhakikisha watoto wanafuatiliwa mapema, hasa...
Kwasababu 2Pac alipata umaarufu kwa kuvuta Bangi basi na nyny wafuasi wa CHADEMA mnafanya uharifu kwa makusudi ili mjulikane mpo ili mpate umaarufu, ndugu zangu achaneni ni hizo siasa za kibangi Bangi Dunia ya sasa haihitaji waharifu & MAGAIDI Mtachukuliwa hatua za kisheria na hakuna atakaye...
Shalom
Najiuluza,huu mkoa wa shinyanga kwa nini huwa wanauweka miongoni mwa mikoa ya kanda ya ziwa?
Nikiangalia ramani sion kama kuna sehemu ya huu mkoa iliyopakana na ziwa victoria.
Kwa maoni yangu shinyanga ilitakiwa iwe kanda ya kati au magharibi huko ikaungane na wakina Kigoma na tabora.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.