kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    Ripoti Yaonyesha Serikali za Uhuru na Kibaki Zilikuwa na Mabilioni Mengi Zaidi Yaliyotiwa Shaka Kuliko Utawala wa Ruto

    Ripoti mpya imeonyesha kuwa serikali za Mwai Kibaki na Uhuru Kenyatta zilikuwa na kiwango kikubwa zaidi cha matumizi ya umma yaliyowekwa alama na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ikilinganishwa na utawala wa sasa wa William Ruto. Kwa mujibu wa takwimu zinazohusu matumizi ya serikali kati ya...
  2. Gunner11

    Ndugu ndio wanaochukiana vibaya kuliko mtu baki.

    Is it because kwa sababu mmeishi pamoja, so mnachukuliana fresh tu, ama huwa kuna wivu kuwa ndugu yako akifanikiwa wewe utaonekana boya? Kati ya watu walaghai, watu wanao ku backstab kwenye maisha ni ndugu. Na sometimes the people you call fresh and blood will be the ones to sketch your...
  3. Yoda

    Wanaume wana akili kubwa ya kujipatia mahitaji yao kuliko wanawake ?

    Kwa nini wanawake wengi walioshindwa maisha au wenye kipato kidogo hukimbilia biashara ya mapenzi kama njia ya kujipatia kipato? Kwa nini huwa hawafikirii kazi nyingine tofauti na hiyo ya mabadilishano ya ngono kwa pesa kama ambavyo wanaume wanavyojitafuta kupata kipato?
  4. B

    CHADEMA ni watu wadogo sana, serikali ingefanya maridhiano na kanisa maana lina siri za Octoba 29 kuliko hata CHADEMA

    Naona mnakataa,. kwani siku ya mazishi ya waliyopigwa risasi nani alisalisha misa ile? Kanisa lina hospitali nyingi, na zilipokea majeruhi na maiti na picha wanazo maridiano yangefanyika kati ya serikali na kanisa. Halafu kanisa halinaga shida na kusamehe maana wao hufundisha kusamehe saba...
  5. M

    Ina maama Rto Yusuph Kamota wa Dodoma yupo makini na anachapa kazi kuliko MaRTO wengine wa mikoa mingine?

    Najiuliza sana juu utendaji kazi na uchapa kazi wa huyu RTO wa mkoa Dodoma. Anafanya kazi nzuri na mchapa kazi mkubwa. Haiwezekani basi la abiria libebe abiria Mwanafunzi akalipishwa nauli ya kutoka mkoa kama Kagera kwenda Dar. Basi alilopanda mwananfunzi huyo alafu likatize mikoa mitano alafu...
  6. U

    Sababu 13 zinazoonyesha jinsi waislamu wanavyofuata mafundisho ya nabii Issa (Yesu) zaidi kuliko wakristo

    SABABU 13 ZINAZOONYESHA JINSI WAISLAMU WANAVYOFUATA MAFUNDISHO YA NABII ISSA (YESU) ZAIDI KULIKO WAKRISTO 1. Kumuamini Mungu Mmoja. Nabii Issa (Yesu), amani iwe juu yake, alifundisha kwamba Mungu ni Mmoja na ndiye pekee anayestahili kuabudiwa, kama inavyoelezwa katika Kumbukumbu la Torati 6:4...
  7. Mstahiki Mea

    Vyuo vizalishe waajiri kuliko waajiriwa

    Ili kutatua Tatizo la ajira vyuo vina nafasi ya muhimu ya kubadilika kutoka kuzalisha waajiriwa mpaka kuzalisha waajiri. Kumwaandaa mwajiri kunaanza katika kubadilisha mentality yake, kumpa maarifa yanayotendeka (kupimika) kumpa mazoezi ya vitendo na kukamasisha na kukazia tafiti na tasnifu...
  8. Yom HaDin

    Kwa nini majini ya waislam yanajibu haraka sana kuliko malaika wa wakristo?

    Najiuliza tu majini yako chap sana. Ukitupiwa jini huchukui round unaanza kutema udenda au kuchizi. Tena kama huombi unaweza kukata moto. Namkumbuka Dada mmoja alikuwa muislam akabatizwa, walikuwa wanamtafuta kwa udi na uvuma kijini Warudishe elimu yao aliyoondoka nayo. Njiwa anaruka kumlia...
  9. Yoda

    Ni sahihi Mbwa kupewa maisha mazuri kuliko binadamu?

    Kuna Mbwa na Paka wanaishi maisha mazuri sana kuliko binadamu wengi. Unakuta Mbwa wanalishwa vizuri, wanakaa pazuri na wanabebwa kwenye gari za kifahari. Je jambo hili la kuwapa Mbwa na Paka maisha mazuri na kuacha kusaidia binadamu wenye maisha mabaya wanaoteseka kwa kwa kukosa hata mahitaji...
  10. Mifugo Planet

    Kupandisha wanyama kwa chupa(AI) ni bora kuliko kutumia dume halisi?

    AI ni kifupi cha artificial insemination, yaani upandishaji wa jike kwa mbegu za dume zilizohifadhiwa, bila dume kumpanda jike moja kwa moja. Wafugaji wengi huuliza kama njia hii ni bora kuliko kutumia dume halisi. Jibu ni kwamba inategemea aina ya ufugaji na hali ya mfugaji. Faida kubwa ya AI...
  11. Paul Mchumi

    Mbeya ni kama bajaji ni nyingi kuliko idadi ya wateja

    Kamwe usianzishe biashara kwasababu Umeona mwenzio ameanzisha na anapiga pesa. Kumbuka kila biashara inachangamoto zake,na inahitaji uzoefu flani. Jana nilikua Jiji la Mbeya ni kama BAJAJI NI NYINGI kuliko idadi ya watu wanaohitaji huduma hiyo(sina uhakika hii ni assumption tu). Nikawaza...
  12. passioner255

    Bora mkoloni mweupe kuliko huyu mweusi.

    kwenye hizi siasa za nchi yetu nimejifunza bora tungetawaliwa na wakoloni weupe kuliko hawa.hawa wakoloni wa sasa hivi hawana utu,ni wauaji,wabakaji,walawiti na mafisadi NK.Wanaiba hadharani na kwakuwa wameteka vyombo vya usalama na kutengeneza vyombo vya sheria wanajiona hawazuiliki. ubaya ni...
  13. BM256

    Tunauza vifaa vya umeme bei rahisi kuliko wafanyabiashara wengine woteee;TV, washing machine, fridge, freezer, AC, nk

    Tunauza vifaa vya umeme bei rahisi kuliko wafanyabiashara wengine woteee;TV, washing machine, fridge, freezer, AC, nk Bei nimenyooka na hakuna free delivery . Tupo kariakoo Magila na likoma. Check 0745588735 Whatsapp utahudumiwa haraka zaidi
  14. leroy

    Video: Uchumi wa Kenya ni mkubwa kwa karibu 57% kuliko Tanzania. Je, ndiyo imara zaidi?

    https://youtu.be/37pkGJHxis0 Kwa makadirio ya IMF ya Oktoba 2026, thamani ya Pato la Taifa kwa bei za sasa ni takribani dola za Marekani bilioni 151.2 kwa Kenya na bilioni 96.2 kwa Tanzania. Kwa mwaka huo huo, uchumi wa Tanzania unakadiriwa kukua kwa asilimia 6.0, dhidi ya asilimia 4.5 kwa...
  15. dodoma king

    Kwanini DODOMA ndio mji mzuri zaidi Tanzania kuliko unavyodhani...

    1/7 Watu wanasema Dodoma ni vumbi. Uongo. Dodoma ni mji pekee Tanzania unaopumua. Hakuna kelele za daladala, hakuna foleni za masaa 3, hakuna mafuriko ya Kariakoo. Ni utulivu unaokupa akili ya kufikiri. 2/7 Dodoma ni MJI WA SERIKALI kweli kweli. Barabara zake ni pana, safi, na zina taa. Pale...
  16. Prakatatumba abaabaabaa

    Kwanini watu wa ulaya wana akili/kujitambua mapema kuliko Africa? Je ni malezi au mazingira?

    Nilikuwa naona video moja streamer huko Instagram, akakutana na mtoto wa kiume miaka 6, huyo streamer akamuuliza what's the meaning of life? Huyo dogo akajibu "I don't know but I think Practice (kujijenga) , love (upendo), creativity (kuumba) imebidi nitafakari kitu kitu kimoja kwanini mtoto wa...
  17. K

    Majaji wa Tanzania wanajali vyeo kuliko Mihimili wa Mahakama

    Yaani Tanzania majaji wamekuwa kama wanasiasa wanatafuta kujipendekeza zaidi ya kujiamini na kufurahia heshima ya ujaji. Majaji sasa sio kama zamani . Walikuwa watu wakuhwshimiwa lakini sasa tunawaona kama wanasiasa Mahakama ya rufaa inajitahidi lakini majaji wa mahakama za chini wanawaharibia
  18. D

    Je, wanasiasa wanasauti kubwa kuliko wananchi ambao ni wenye nchi?

    Sijui ni umbumbu wangu wa kutojua sheria ama ni mtazamo wangu? . Nionavyo mimi wanasiasa wanasikilizwa sana kuliko wananchi , mfano tumeona kesi ya Lissu inaonesha mashirika mbalimbali yamekuwa yakiifuatlia utasema huko gerezani nchinin Tanzania mfungwa ni mmoja peke yake? Pia kuna wananchi na...
  19. G

    Lissu aliye gerezani atawatesa sana kuliko Lissu aliyeko huru uraiani sauti yake inaenda mbali sana kuliko angehutubia jangwani akiwa huru

    Sijui washauri wa hicho kikundi ila mahesabu Yao yanamjenga Lisu zaidi na zaidi Mfano Jana kitendo Cha KUbana internet kwenye social media wametangaza mission ya Lisu zaidi Maana mamilion ya watanzania wanaotumia Facebook Whatsapp Instagram watajua Nini kinaendelea baada mtandao kuwa down...
  20. Moto wa volcano

    Wanaojipa vyeo vya Mitume/ Nabii wote ni wahuni ni basi tu Afrika wajinga ni wengi kuliko werevu

    https://www.instagram.com/reel/DfbhYq0NVs4/?exln=MTN1MXlqdnk4YzhiaQ==
Back
Top Bottom