kula

Kula - kitendo cha kuingiza kitu kinywani (hasa chakula) kwa lengo la kupoza njaa
  1. M

    Watu kumi wa familia moja wanusurika kifo kwa kula mchicha pori baada ya kukosa pesa ya mboga

    Watu 10 wa familia moja wa Kata ya Kalangalala mkoani Geita wamenusurika kifo baada ya kula mchicha pori unaodaiwa kuwa na sumu. Mama wa familia hiyo akiwa katika Hospitali ya Manispaa ya Geita amesema alilazimika kuchuma mchicha huo porini kwa ajili ya chakula cha familia baada ya kukosa fedha...
  2. McLaren

    Utotoni ilikuwaje hadi ukaacha kula kwa jirani?

    Mimi kuna siku mama yangu alichelewa kurudi nyumbani kutoka kazini. Nilikuwa na kama miaka 7 hivi Ilikuwa kama mida ya saa mbili mbili hivi jirani yetu akanikuta pale nje nimekaa Akaja akaniambia mwanangu karibu ndani, nikaenda. Nimekaa kidogo naangalia tv yule mama akaniletea msosi wali na...
  3. The introvert

    Mwenyekiti wa Kijiji cha Juhudi jela miaka 40 kwa rushwa ya Tsh Mil 5

    Mwenyekiti wa Kijiji cha Juhudi, Wilaya ya Kakonko, Mkoa wa Kigoma Bw. Amos Hussein Kwigira (45), amehukumiwa kifungo cha miaka 40 jela baada ya kupatikana na hatia ya makosa mawili (2) ya Rushwa yaliyohusisha matumizi ya fedha za umma kiasi cha Shilingi 5,000,000 ambapo kila kosa lina adhabu ya...
  4. Isenye

    Hivi nyie wenzangu mnatumia mbinu gani kula pesa za wanawake?

    Niaje wana jf! Nina mwanamke ni mbahiri sijawahi kuona. Pesa zangu tunatumbua wote, ila zake sijawahi kujua zinaenda wapi. Sasa nataka mnipe mbinu na mimi niwe nakula pesa za huyu mpare, haiwezekani hata nikifulia nikamwambia aniazime pesa kidogo anasema hana. Kiuchumi sio kwamba yuko...
  5. Q

    Kikwete alijua kula na upinzani, Samia anataka kula kwa upanga

    Pamoja na mapungufu yake Kikwete alijua kuishi na upinzani aliimudu nchi, mfano bunge lilikuwa almost 40/60, katiba mpya, barabara. Kikwete alikula huku akipuliza kwa amani na kicheko, sijui kwa nini anampotosha mwenzake anayetaka kula huku ameshikilia upanga mkononi. Samia ajifunze kwa Ruto...
  6. K

    CCM wa bara mkiendeleza kula rojo rojo mtatawaliwa wa wanzanzibari tu

    CCM wa bara mkiendeleza kula rojo rojo mtatawaliwa wa wanzanzibari tu. Jiulizeni ni lini kiongozi yeyote Mzanzibari kapewa adhabu yeyote kwenye serikali hii? Nchimbi, Polepole wote ni wa bara na wajinga jinga mnachekelea na kuingiza mkia ndani kama mbwa koko. Sasa huyu Mama ameona nyie ni dhaifu...
  7. Beira Boy

    Huzuni: Kosa ni la wizi wa ng'ombe hukumu ni ya kula firigisi za kuku

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Tunakutuhumu umeiba ng'ombe ila tunafunga kwa kosa la kula firigisi za kuku Daudi anasema Wana taka nirudishe kitu ambacho sikuiba Huzuni SAYUNI BOY
  8. min -me

    Hivi ulishawahi kula monde ukawa unaambiwa hivi?

    Unakula Zako mitungu , unakutana na totozi , unashoboka nakumingo nae, mna enjoy mitungi na stories mbalimbali 🤔 Ila ukija hiyo sehemu mmekutana , ukiwa mzima , haujatia vitu mbavuni ,anakuogopa na hana mudi na wewe 😅 Sasa leo mtoto nimemtokea nimekula vitu vyangu , nikaamua kumfungukia...
  9. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Simulizi ya Emmanuel Eni, mchawi mkubwa aliyekuwa msaidizi wa karibu wa shetani, akiendesha mihadhara chini ya bahari

    Simulizi ya Emmanuel Eni (ambaye mara nyingi hujulikana kama Mchungaji Emmanuel Eni) ni moja kati ya ushuhuda maarufu na wenye mjadala mkubwa sana barani Afrika kuhusu mambo ya uchawi, nguvu za giza, na wokovu wa Kikristo. Aliweka wazi mkasa wa maisha yake kupitia kitabu chake kilichopata...
  10. Crocodiletooth

    Kugoma kula wakati chakula kinapatikana ni kosa kisheria!

    ⚖️ MWABUKUSI: KUGOMA KULA MAHABUSU NI KOSA KISHERIA “Kugoma kula wakati chakula kinapatikana mahabusu ni kosa kisheria chini ya Kifungu cha 123 cha Makosa ya Uhaini.” — Adv. Mwabukusi, Rais wa TLS. 📌 Kauli hii yazua mjadala kuhusu haki na wajibu wa wafungwa na mahabusu. 🔜Kuuzuia mwili usipate...
  11. Zack Abdul

    Tundu Lissu hajagoma kula na hakuna wakili wake aliyezuiwa kuingia gerezani

    Kuna taarifa inayosambaa kupitia mitandao ya kijamii iliyotolewa Oktoba 26, 2026 na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Brenda Rupia ikijulisha umma kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu ameanza mgomo wa kula chakula kuanzia Oktoba 26, 2026...
  12. The Khoisan

    Kuunga Mkono Mgomo Kula wa Lissu, Nimeaamua Kufunga kwa masaa 18 mpaka 21 kwa siku mpaka siku Lissu atakapoaanza tena kula.

    Leo ni siku ya pili ....
  13. Parabolic

    Lissu aanza mgomo wa kula. CHADEMA yasema mawakili wake wamezuiwa kumwona gerezani

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa Mwenyekiti wake, Tundu Lissu, ameanza mgomo wa kula kuanzia Oktoba 26, 2026, huku chama hicho kikilalamikia kuzuiwa kwa mawakili wake kumwona gerezani. Hatua hiyo inafuatia taarifa iliyotolewa na Mwanasheria Mkuu wa chama hicho, Dk...
  14. Manyanza

    Kutoka Tundu Lissu hadi Gandhi: Je, migomo ya kula huwa na matokeo?

    Kiongozi wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu, anatarajiwa kuanza mgomo wa kula leo, akipinga kile ambacho mawakili wake na chama chake wanaeleza kuwa ni ukiukwaji wa haki yake ya kuwasiliana kwa faragha na wanasheria wake akiwa mahabusu, wakati akisubiri hukumu ya kesi ya uhaini...
  15. M

    Lissu atangaza mgomo wa kula chakula kuanzia Jumatatu, 26/10/2026

    Mwenyekiti amesema kuanzia Jumatatu ya tarehe 26/10/2026 anaanza mgomo wa kutokula chakula kwa sababu amenyimwa haki yake ya kukutana na Mawakili kwa sababu anasimamia maamuzi ya Mahakama Kuu ya Tanzania huo ambao ulitolewa wiki iliyopita kuwa ana haki ya kukutana na mawakili. "Hayo ameyaeleza...
  16. Zack Abdul

    Mandela wa mabua anagoma kula!

  17. Zack Abdul

    Mnyika, hakuna watanzania wajinga watakaogoma kula

    Jana Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika akizungumza na vyombo vya habari, ametoa wito kwa watanzania kugoma kula lengo likiwa kumuunga mkono mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu. Kuna maswali ambayo yanastahili kuulizwa pale viongozi wa kisiasa wanapotoa wito kwa wananchi kuchukua hatua za...
  18. britanicca

    Siasa za kitapeli tuziache, Mnyika nakukubali sana Ila kusema tugome kula wakati tunakula si njia sahihi

    Why doth CHADEMA perpetually resort to jocularity in matters of fundamental import? Ye remain passive, not active! It is meet and proper for Lissu to abstain from nourishment, yet for us without to engage in a hunger strike is devoid of significance. We ought to proceed unto the penitentiary...
  19. L

    Kiza Besige Aligoma Kula Chakula hadi kudondoka Mahakamani na kukondeana lakini aliendelea kukaa ndani hadi akaanza kula mwenyewe. Lissu asibembelezwe

    Ndugu zangu Watanzania, Lissu asibembelezwe hata kidogo Yaani tena ikiwezekana asipewe kabisa chakula kama hataki kula ili kupunguza na kuondoa usumbufu wa kutembea kumbembeleza ili ale chakula . Yeye kama hali na hataki kula basi aaachwe akae hivyo hivyo bila kubembelezwa kwa namna yoyote...
  20. G

    Mbinu ya Lissu kugoma kula ni dhaifu sana kulinganisha na mahasimu wake walivyo makatili. Wanafurahia hiyo mbinu

    Chadema tafuteni mbinu yenye impact haswa Kwa mlioko nje sio Mwenyekiti . Kwa mahasimu ambao wanatamni unyongwe ufe mbinu ya KUACHA kula haiwezi kuwatisha hata kidogo Huu ni ushauri Kwa Chadema na Mwenyekiti Lissu Mod usiunganishe uzi
Back
Top Bottom