kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msaada kuhusu DHL, UPS NA Fedex

    Ipi huduma bora na nafuu kati ya hizo? Je, DHL huwa wanachaji gharama unapopokea mzigo? Mzigo wangu NI bahasha tu ya documents. Ninaipokea kutoka Afrika Kusini.
  2. Ushauri kuhusu kurudi chuo kwa ajili shahada ya Computer Science

    Yes
  3. Baadhi ya imani potofu kuhusu kunyonyesha

    Maziwa ya kwanza ya mama si mazuri kwa mtoto yanapaswa kumwagwa Kunyonyesha humfanya mama anenepe kupindukia Maziwa ya mama pekee hayawezi kumridhisha mtoto wa umri wa miezi 0 hadi sita. Baadhi ya vyakula si vizuri kwa wanawake wanaonyonyesha Ni lazima mtoto mchanga anywe maji mara baada ya...
  4. B

    Msaada wa kisheria kuhusu mgawanyo wa fedha za malipo ya marehemu

    Habari humu ndani naomba kupata mwongozo kidogo Baba yangu alikuwa na mji hapa dar na amefariki sasa mji wake umetwaliwa na TRC kwa ajili ya ujenzi wa SGR sasa malipo yake ndio naitaji kujua mgawanyiko wake unakuwaje tuko watoto sita na mama , kuna jambo moja nataka kuongeza hapo sisi watoto...
  5. K

    Msaada kuhusu NSSF

    Habari Hivi claims status kwenye account ya NSSF ikibadilika na kusomeka APPROVED. Huwa inachukua siku ngapi mpaka kuingiziwa pesa zako?
  6. Naomba ushauri kuhusu huyu bodaboda

    .
  7. Uongo tulioaminishwa kuhusu fedha

    UONGO TULIOAMINISHWA KUHUSU FEDHA Nafahamu wengi wetu tumejaribu kwa namna mbalimbali kutafuta kanuni ya fedha. Hebu jiulize binafsi ni vitabu vingapi umesoma, semina ngapi umehudhuria, maombi mangapi umeomba, ushauri ngapi umefuata. Lakini huoni matokeo yeyote. Bado umestuck kwenye shughuli...
  8. Kwanini Makamba anajiingiza kwenye majukumu ya Wizara ya Kilimo kuhusu kupanda kwa bei mbolea

    Waziri wa Nishati, Makamba amempigia simu Waziri wa Kilimo kuhusiana na suala la tatizo la kilio kikubwa cha bei ya Mbolea akiwa kwenye mkutano wa wananchi Ludewa, inamaana Bashe hawezi kusimamia majukumu yake hadi asaidiwe na makamba au Bashe hawezi kufanya ziara Ludewa kuzungumza na wakulima...
  9. Urusi walalamika kuhusu uwepo wa wanajeshi wa Marekani wanaoelekeza namna ya matumizi ya HIMARS

    Maana kwamba HIMARS ni too advanced kutumika na wanajeshi wa Ukraine wenyewe bila kuwa na waelekezaji, ni zana ambazo zimesababisha majanga makubwa sana kwa Urusi na kubadilisha mkondo. Mpaka sasa zimetumika kulipua maghala 50 za silaha za Warusi pamoja na maangamizi mengine, Warusi wanazisaka...
  10. Ukweli kuhusu mateso ya UTI kwa wanaume

    Habari zenu wakuuu hope mko poa sana. Leo nimeamua kuja na mda tajwa hapo juu naandika ukweli wa asilimia mia moja kuhusu hawa dada zenu na ugonjwa wao wa UTI unavyo tutesa. Nianze moja kwa moja nimekuwa mtu wa toto mbili tatu na kujichanganya sana na wanawake, ila katika miaka ya nyuma sija...
  11. Jifunze kuhusu "Stock Market"

    Habari wana JF! Napokea message PM kuhusu platform ya ku invest stock market kwa watanzania, platform nyingi za stock market especially US STOCKS ni kama hakuna zaidi ya TRADING212 ambayo mimi nilijiunga 2020 nilitaka kununua US STOCKS kama AAL, PK, OIL STOCKS. Ambazo zinafanya vizuri sana...
  12. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutoa ufafanuzi kuhusu nyongeza ya mishahara jioni ya leo

    Watumishi mjiandae kutega sikio
  13. Fahamu kuhusu kirusi mbaya zaidi wa kompyuta(ransomware)

    Ransomware ni programu (Kirusi) iliyoundwa kumnyima mtumiaji au shirika ufikiaji wa faili kwenye kompyuta yake. Kwa kuloki faili hizi kwa njia amabyo huwezi fungua na kisha kudai malipo ili uweze kufungua faili zako, wavamizi (Hackers) wa mtandao huweka mashirika katika hali ambayo kulipa fidia...
  14. Changamoto anayopitia Rayvanny, wacha sasa apambane mwenyewe

    Jana niliandika Uzi kumhusu rayvanny, kuanzia support aliyopata Kwa Diamond , behind the scenes ya hyo backup , na nikaunganisha pia Kwa harmonize jinsi ambavyo wote Kwa pamoja mond aliwabeba na kuwatambulisha vyema ...!! Harmonize akaona isiwe tabu ikabd ajikate, njia aliyopitia sio rahsi...
  15. D

    Naomba ushauri kuhusu mwanangu

    Bila shaka Wote Mpo salama. Naomba ushauri wenu, Mwanangu kwa sasa ana miaka mitatu na nusu ila nimeamua nisimpeleke shule hizi za kawaida kusoma Darasa la kwanza Hadi la Saba na kuendelea. Nimeona ikiwezekana nimpeleke akasomee ufundi moja kwa moja Kwa vitu ambavyo ataweza kuvifanya hata...
  16. Hatari: UN yatoa tahadhari kuhusu UKIMWI

    Umoja wa Mataifa umesema jana kasi ya kupunguka kwa AIDS imepunguka. KUNDI LA MSINGI LILILOATHIRIWA Nchini Marekani, mashoga wa kiume wamejumuisha zaidi ya robo tatu ya visa vyote vya UKIMWI. Asilimia ya mashoga kati ya jumla ya wagonjwa wote wa UKIMWI imebakia kluwa vile vile. Ulaya, mashoga...
  17. Ushauri wenu wabobezi kuhusu gharama za TRA kulipia 20ft Container kutoka China

    Wadau katika kutaka kujikomboa kimaisha nimeona Alibaba.com kununua mzigo na kusafirisha hadi BONGO siyo gharama kubwa ,issue ikabaki kwangu je wazee wa Kaisari -TRA hapo ndio kikwazo mara nyingi.Kwa maelezo hayo naomebi wabobezi wa biashara kutoka CHINA na ambao wana shop at ALIBABA.COM...
  18. SoC02 Wananchi wamepata elimu ya kutosha kuhusu sensa ya watu na makazi, kwa maendeleo?

    Sensa ya Watu na Makazi inatarajiwa kufanyika Agosti 23 mwaka huu kote nchini, wengi tunaamini na kufahamu Sensa ni muhimu kwa maendeleo ya nchi yetu. Bila shaka kuna baadhi ya watu hawajatambua umuhimu wa Sensa katika taifa letu la Tanzania licha ya zoezi hilo kuwasaidia Wananchi hao na...
  19. Uchambuzi wa kina kuhusu kozi za computer - IT, Computer science, Computer Engineering, Software engineering na Cyber security

    Uchambuzi wa kina kuhusu utofauti wa IT, Computer science, Computer Engineering, Software engineering na Cyber security. Post hii nimewandalia hususan wanafunzi waliomaliza sekondari wakitarajia kwenda vyuoni kusomea kozi za computer ila kwa sababu ya ugeni wa elimu ya chuoni pamoja na muda...
  20. Ewe Msanii/Kijana wa kitanzania sahau kuhusu mafanikio endapo huna nidhamu

    Nawasalimu kwa jina la Chama Pendwa (CCM). Leo nimeamua niandike kuhusu suala zima la nidhamu kwa wasanii wetu pamoja na vijana wote wa kitanzania. Vilio ni vingi kuhusu hali ngumu ya maisha huku wanaofanikiwa wakiwa wachache. Sababu ni nyingi sana ila mimi nitajikita kwenye kitu kinaitwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…