kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naomba msaada wa kuujua mji wa Mafinga

    Naomba msaada wa kuujua mji wa Mafinga. Mimi ni kijana nahitaji kwenda kuanzisha maisha mji wa Mafinga. Nina ujuzi wa ICT, kilimo cha mboga mboga n.k, mtaji ni milion 6. 1. Historia yake. 2. Makabila yake, mila na desturi. 3. Huduma za kijamii. 4. Uchumi kwa ujumla.
  2. L

    Kuzaliwa wa kwanza siyo ishu ya wewe kuwa lango la baraka

    Baada ya mtumishi mmoja kufundisha huu ya suala hilo la malango, Mungu anaweza kumtumia aliyezaliwa kwenye familia husika yeyote yule hata kama si wa kwanza kuzaliwa. Kanuni za kiroho ni tofauti na mambo ya kimwili, tuone mfano: Essau na Jacob Reuben hakuchaguliwa Daudi alikuwa ni mdogo kuliko...
  3. B

    Nahitaji ushauri kuhusu mbegu bora ya mahindi

    NI mbegu ipi ya mahindi nikiitumia naweza kupata matunda Bora? Ushauri wenu ni muhimu Sana, #Elimu ya kilimo
  4. Ngara: Marry Chatanda aingizwa mkenge, adanganywa kuhusu CHADEMA

    Mwenyekiti wa UWT inayodaiwa kuwa ni Jumuiya ya Wanawake ya CCM , Marry Chatanda ameingizwa Mkenge huko Ngara , baada ya kukusanyiwa watu wa soko la Ngara na kuelezwa kwamba ni Wanachama wa Chadema walioacha chama chake chao na kuhamia ccm. Katika Utapeli huo Chatanda amekabidhiwa Vitambaa...
  5. Kuhusu vituo vya kulelea watoto: samaki mmoja akioza si wote wameoza!

    Nimeamua kuuleta huu uzi kutokana na mada kadhaa nilizoziona humu JF zinazoongelea vituo vya watoto yatima kwa mtazamo hasi. Baadhi ya watu wametamani hata hivyo vituo visipewe misaada au vifutwe kabisa. Uzi ulionichochea hasa ni wa Bexb alioutoa 04/10/2023 wenye kichwa, NIFAHAMISHE KITUO CHA...
  6. Ufafanuzi kuhusu bei za vifaa vya kielectroniki Zanzibar pamoja na gharama za usafiri

    "Hivi ni kweli Zanzibar ina Unafuu wa vifaa vya Kielectroniki? Na vipi kuhusu gharama za kusafirisha bidhaa?" Ni swali ambalo wengi wamekua wakijiuliza kuhusu unafuu wa bidhaa pamoja na gharama za usafirishaji wa vifaa vya Kielectroniki kutoka Zanzibar kwenda Tanzania Bara. Kwa hili, Naomba...
  7. N

    Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania wanasemaje kuhusu mvua za El Nino?

    Weatherman wa Kenya wamesema kutokana na data za satelaiti, Mvua za El Nino zinazotarajiwa hazitakuwa kubwa kama ilivyotabiriwa hapo awali. Je, upande wa TMA wao data zao za satelaiti zinaonesha nini maana matangazo yao hayana ukweli bali pata potea. Tunaona halmashauri nyingi wapo busy...
  8. NACTVET: Malalamiko kuhusu vyeti yanatakiwa kuwasilishwa kwetu kwa maandishi

    Baada ya malalamiko kutolewe na member kwenye Jukwaa la Habari na Hoja ndani ya JamiiForums.com kuhusu Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) kuwazungusha baadhi ya watu ambao wanafanya mabadiliko ya taarifa za vyeti vyao vya elimu, mamlaka husika imetoa maelezo...
  9. T

    Ni Oktoba sasa anaeijua kinachoendelea kuhusu DP world atujuze

    Karibuni wanajamvi tupeane updates Kulingana na IGA hawa waarabu WA DP si walipaswa kuanza Oktoba?😁😁😁
  10. Papa Francis: Hisani ya Kichungaji itumike wapenzi wa jinsia moja wanapowaomba mapadri baraka

    Nafikiri huu ndio wakati wa wakatoliki kusilimu au kurejea kwenye dini za mababu. Sisemi kuwa miongoni mwa waislamu hakuwa watu wanao fanya mambo hayo? La haha! Mambo hayo yanafanywa na watu wa dini zote wakristu kwa waislamu. Tatizo ni pale taasisi kama taasisi ya kidini inapo yatambua...
  11. Kwa watumishi hawa wa umma, umma usahau kuhusu maendeleo

    Ni chaguzi kuu 6 sasa zimefanyika hapa nchini tangu tupate Uhuru. Ahadi kutoka vyama vyote kwenda kwa wananchi ni zilezile maji, barabara, elimu, na afya. Kwa watumishi hawa ninaowafahamu Mimi kwa miaka 8 sasa wananchi hawatakuja kupata utoshelevu wa mahitaji ya elimu, maji, umeme, miundombinu...
  12. Ukweli kuhusu dini

    Utata wa udini unatokea sana kwa sababu ya baadhi ya binadamu wanaoujua ukweli kujaribu kuwapotosha wengine kwaajili ya kulinda maslahi yao binafsi bila kuzingatia athari kwa watu wengine. Tangu enzi na enzi Mungu amekuwa na utaratibu wa kuwatumia mitume wake ili kuwapatia mafunzo watu wake...
  13. Je, Machinjio ya Vingunguti yalikamilika?

    Ukitaka salamu nenda kwa waswahili wenzio,kwangu utaambulia chuya!. Leo nimekaa nikaikumbuka ile Machinjio ya Kisasa iliyokuwa inajengwa Vingunguti tangu kipindi cha Mwenda Mlama!. Bila shaka itakuwa haikukamilika maana ingekuwa imekamilika ni lazima ningeona kwenye luninga mbwembwe za...
  14. L

    China yaendelea kupaza sauti kuhusu vikundi vya nchi kukwamisha maendeleo ya nchi nyingine

    Kwenye mkutano wa baraza kuu la 78 la umoja wa mataifa uliofanyika hivi karibuni mjini New York, Makamu wa Rais wa China Bw. Han Zheng, alirudia tena mwito ambao China imekuwa inautoa kwa muda mrefu, kwamba hatua za upande mmoja ni changamoto kubwa kwa maendeleo ya nchi nyingine duniani, na...
  15. Kuhusu mkutano wa Dr. Slaa, Mwanza tarehe 4 Oktober 2023

    Sasa hivi ni very late kuzungumza kuhusu maswala haya. Ukiandika saa hizi zinatokea spelling errors nyingi. We will discuss it the morning. Lakini wale wanasema watafanya mkutano bila ruhusa ya Polisi; hii sasa itakuwa mwanzo mwingine tena wa duru ya sarakasi. Kwa nini Sauti ya Watanzania...
  16. S

    Tunaomba ufafanuzi kuhusu tangazo la agizo la kufanyika kwa pre-form one

    Jana limetumwa tangazo la agizo la kufanyika kwa pre-form one, English course kutoka kwa makatibu tawala wa mikoa lililotoka OR-TAMISEMI. Agizo hili limeelekezwa kwa walimu wa shule za sekondari za serikali. Hivi ndani ya OR-TAMISEMI au wizara ya elimu, viongozi hawajui utofauti wa formal na...
  17. Kwa elimu hii ya Tanzania tusahau kuhusu uvumbuzi

    Binafsi darasa la kwanza nilianza nikiwa na miaka 13. Hii ni kwasababu ya kimasingira na kimwamko. University nimemaliza nikiwa na miaka 30 na ushehe kidogo, kwakuwa nilipomaliza six nikahangahikia ajira kwanza, uamuzi ambao mpaka kesho naufurahia. Turudi kwenye mada. Tanzania tunasoma kwa...
  18. Uelewa wa wananchi kuhusu haki, uhuru na demokrasia umeongezeka pakubwa nchini

    Je kuongezeka, kuimarika na kushamiri kwa hali hii ya uelewa mpana wa mambo kwa wananchi, kumechochewa zaidi na nini, ili kusudi pia kichocheo hicho kitumike kuchochea Elimu na uelewa wa katiba iliyopo na inayokusudiwa?
  19. Fikra potofu kuhusu watu weusi (Afrika) ambazo sisi wenyewe tunaziamini bila kutafakari kwa kina

    Habari wadau wote wa JF Hakuna kitu kibaya kama kumwacha mtu akufafanue au kukuelezea kama vile ww mwenyew hujijui. Don't let anyone define you and don't let anyone define your beliefs. Kuna baadhi ya mambo waafrika tunakua tunajiaminisha na kujilaumu bila kutafakari kama "je haya mambo...
  20. Kuna taarifa gani kuhusu JKT kwa kujitolea?

    Nimepata fununu kua mwaka huu JKT raia walioomba ni wengi wanaangaika kuwapunguza. Ndugu zangu, nyinyi mna taarifa gani?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…