kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwitiko wa Serikali Kuhusu Maporomoko ya Katesh-Hanang: Matumizi ya 'kanuni ya sera duni' katika kukabili maafa yameonekana, yapongezwe, yaendelezwe!

    https://youtu.be/FHNY4s5ekxk "Mnamo saa kumi na mbili asubuhi, nilikuwa nimelala ndipo mume wangu aliponiamsha, akiuliza, 'hilo si tetemeko la ardhi?' Mimi na watoto wetu tulianza kukimbia nje, lakini tulijikuta tumezungukwa na matope kila mahali, na yalianza kutuburuta. Tulikwama kwa saa...
  2. J

    Mwana JF unamaoni gani kuhusu mjadala wa Dini ulioandaliwa kati ya Dkt. Sule na Pastor Ndacha tarehe 16 na 17 December 2023

    Wanazuoni wa Dini za Kikristo na Kiislam (Dr Sule na Pastor Ndacha ) wameandaa mdahalo wa Dini hizi mbili hapo Ukumbi wa PTA tarehe 16 na 17 December 2023. Katika mahojiano yao kupita Vivo online tv, wamejinasibu kuwa mdahalo huo utakuwa wa kistaarabu na wenye kuimarisha imani za waumini wao...
  3. Unapata hisia gani ukifikiria kuhusu Umri wako?

    Unazeeka au nikuache kwanza? 🙆‍♂️. 1983 - 40 1984 - 39 1985 - 38 1986 - 37 1987 - 36 1988 - 35 1989 - 34 1990 - 33 1991 - 32 1992 - 31 1993 - 30 1994 - 29 1995 - 28 1996 - 27 1997 - 26 1998 - 25 1999 - 24 2000 - 23 2001 - 21 2002 - 20 2003 - 19
  4. Wivu wa wanaume kwenye ndoa ni sababu ya wake zao kuhamisha mapenzi kwa watoto

    Wanaume wengi hawaelewi uhusiano uliopo kati ya mke wake na watoto wako (mama na mtoto), na hivyo huwaonea wivu wake zao baada ya kujifungua .(kupata mtoto) Watu wanapooana, miezi ya mwanzoni huona ndoa kuwa tamu sana ila sababu za ugomvi mwingi katika ndoa ni pale mtoto anapopatikana, wanaume...
  5. V

    Msaada kuhusu tatizo la koo kuhuma (persistent sore throat)

    Habari ndugu zangu wa JF ..kama heading inavyojieleza naomba msaada wenu kwa ushauri najua JF ina kila aina ya watu nimeamua Nije apa kwakuwa nina amini hii ni nyumba ya kila kitu. Tatizo langu la koo kuhuma lilianza takribani miezi 6 iliyopita..Nilianza kusikia maumivu ninapomeza chakula,shida...
  6. Huu Hapa ukweli kuhusu Utata wa selemani aliyeimbwa na Mbosso..

    Wengi wanamfananisha Selemani na Mtoto lddi,...Mnakosea sana.... Historia kamili hii hapa, Miaka ya themanini Kalubandika wa bendi ya Orchestra Maquis Original, Aliingia katika mahusiano na binti mmoja hivi jina limenitoka,baada ya kumpa ujauzito huyu binti, Kalubandika aliukataa. Bahati...
  7. Ripoti kuhusu ufisadi unaoendelea huko Zanzibar

  8. R

    Kwanini hakuna salam wala msaada kutoka nchi zinazotuzunguka kuhusu janga lililotokea huko Katesh Manyara?

    Tumekuwa wepesi kupeleka watu,mali na kutoa salam za pole pale janga au maafa yanapowakumba majirani zetu. Leo ni siku ya tatu hakuna jirani aliyetukimbilia aidha kwa misaada au hata pole ya maandishi. Hawa majirani hawana taarifa ya matatizo haya wanayopitia ndugu zetu? Lakini pia hakuna...
  9. R

    CCM wakataa Baba yake Sabaya kuhojiwa kuhusu kuchoma nyumba za Wamasai akiwa DC, wasema hilo siyo swali

    Sabaya ni watu wakatili na wamefanya ukatili kwa vipindi tofauti. Baba akiwa DC alichoma nyumba za wafugaji huko Arusha akaondolewa kwenye nafasi hiyo. Mwanaye akiwa DC wa Hai alifanyia watu ukatili na alipohojiwa mahakama alitamka kwamba alikuwa anatenda hayo kwa kutumwa na JPM. Leo Mzee...
  10. Jifunze kuhusu DeX na CeX pamoja na hasara na faida Zake katika Cryptocurrency.

    Kama unapitia thread hii naamini unaelewa kuhusu cryptocurrency kwahiyo sitaelezea kuhusu introduction to Cryptocurrency kwasabu naamini hizo mada zipo humubau waweza kuzikuta Google. Katika Cryptocurrency wadau wengi wamekua wakiamini ni njia Moja salama zaidi ktk kufanya miamala salama na...
  11. Taarifa zinazokinzana kuhusu jumla ya wanajeshi wa Israel waliouawa katika Ukanda wa Gaza

    Wanaukumbi, Tuliambiwa kuwa Jeshi la Israel limechukua umiliki wa Gaza na wanakamilisha vitu vidogo vidogo kumaliza vita, lakini cha kushangaza mbona kila siku tunasikia vifo vya Wanajeshi wa Israel IDF hawajahi kutuonyesha maiti za Hamas zaidi ya kuona Maiti za Watoto na wanawake. DF...
  12. R

    Wenye uzoefu wa safari za nje ya nchi naombeni kueleweshwa hapa kuhusu Yellow fever card

    Wakuu mimi nilichoma YELLOW FEVER zamani..nakumbuka niliambiwa inakaa mwilini miaka 10. Kipindi nachoma ilikua zile passport za zamani. Nimechoma 2016 hivyo kimsingi haijaisha mwilini kinga yake itaisha 2026. Sasa nauliza kuna haja ya kuchoma tena au kutoa pesa nipewe kadi mpya ambayo...
  13. C

    Naomba kujua kuhusu Akuzamu International Church

    Wasalaam wana jamvi Nimekuwa nikipita bango la Akuzamu International Church maeneo ya njia panda ya Bahari Beach kila mara. Naomba kujua zaidi kwa mwenye undani au ufahamu wa hili kanisa. Asanteni.
  14. Kosa alilofanya Mgunda Simba ni Kuongea na Mo kuhusu mkataba kamili kihalali kabla viongozi hawajaweka cha juu

    Inasemekana baada ya kupewa timu kwa Muda. Mo aliridhika na kiwango cha Timu. Akaamua kumpigia kujua vitu anavyotaka ili awe kocha. Mgunda akasema gharama zote na mahitaji. Mo akaona huyu ndio anayefaa sasa. Kwasababu viongozi hawakupata cha juu zikaanza figisu. Kuchonganishwa na baadhi...
  15. S

    Maoni ya Fundi Samico kuhusu ukamataji wa makahaba kiufundi; Tujifunze pamoja

    Heshima kwenu ndugu zangu! Nashawishika kuandika maoni haya Leo nikitambulika kama fundi Samico, Fundi bora kabisa wa umeme na ujenzi kwa bei nafuu kwa watu wote na taasisi! Wateja wangu ni wengi wakiwemo hata makahaba wenyewe! Napatikana kwa simu 0711756341 au Instagram tafuta...
  16. M

    Mwenye swala lolote kuhusu Technology ya AI

    Mwenye swala lolote katika maswali ya AI ili tuweze kushare knowledge
  17. Ushauri kuhusu mbao nzuri za kujengea makabati ya jikoni ukutani

    Habari za humu? Nilikuwa naomba kujuzwa mbao gani ni nzuri kwa kujengea makabati ya ukitani na pia Jikoni. Natanguliza Shukurani
  18. Naomba msaada kuhusu dawa za PEP

    Kwa wenye experience wa hizi dawa za PEP naomba kuuliza kwa nini nikinywa hizi dawa nakuwa napatwa na homa na najisikia kuchoka sana naomba mnijuze hii ni kawaida au?
  19. T

    DOKEZO Responded TAKUKURU chunguzeni Halmashauri ya Mji wa Kibaha pananuka wizi kuhusu ardhi

    Nawapa alarm TAKUKURU, Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoa wa Pwani inanuka wizi wa fedha za wananchi kupitia urasimishaji wa makazi na upimaji wa viwanja katika kata mbalimbali ndani ya Mji wa Kibaha hasa, Kata ya Pangani kwenye mitaa ya Kidimu, Lumumba na Mkombozi. Kwanza awali wananchi...
  20. Ukimya na Usiri wangu unanifanya nionekane Usalama wa Taifa

    Iko hivi 1. Mimi sinywi pombe, sigara wala siendi club hivyo sina sababu ya kwenda sehemu za starehe kama bar. 2. Sina ushabiki wa mpira, hivyo sina sababu ya kujichanganya kwenye stori za mpira au mabanda ya mpira. 3. Sina account ya mitando ya kijamii kama instagram, Facebook au Twitter, nk...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…