kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mpira wa Miguu ni Mchezo wenye Maajabu yake Young Africans inayopewa nafasi Kubwa kwenda Makundi Huenda akurumushwa, na Simba isiyopewa nafasi ikafuzu

    Mpira wa miguu una mambo yake wakati mwingine usilotegemea likatokea na unalotegemea lisitoke na ndiyo maana kwenye Betting kuna fedha nyingi sana. Timu yangu ya Young Africans inapewa nafasi kubwa sana ya kushinda kwenye mechi zake za Klabu Bingwa dhidi ya Elh - Melekh na kutinga makundi...
  2. Najua leo Taifa Stars inafuzu AFCON, ila ingefungwa na kutofuzu ningekuwa ni mwenye furaha kubwa

    Kwangu mimi Taifa Stars isiyo na Wachezaji wangu ninaowakubali akina Kapombe, Tshabalala, Feitoto, Kipa Kinda Ali Salim na yenye Wachezaji wabovu akina Mkude, Boko (Mfalme wa Miba Tanzania ) Mzize na Himid Mao Mkami ni batili. Hongereni Taifa Stars kwa kufuzu tena AFCON, ila binafsi kama...
  3. Depo kubwa ya mafuta yalipuka Urusi, tutafika tu

    Taratibu tutaongea lugha moja.... PHOTO: OSTOROZHNO, NOVOSTI On Sunday, 3 September, a big fire broke out at an oil depot in Krasnogvardeysky District, St Petersburg, Russia. Source: Ostorozhno, novosti (Careful, News); Readovka Details: Local residents reported that they heard sounds of...
  4. Usipuuzie ulaji wa matunda. Ina faida kubwa sana kiafya

    Shukrani ziwaendee wote waliotoa mada zinazohusiana na ulaji matunda humu jukwaani. Natumaini kuna walionufaishwa na hiyo Elimu kama nami nilivyonufaika. Nilikuwa ninafahamu kuwa ni muhimu kula matunda kila siku, lakini JF kumeniongezea maarifa na kunihamsisha kuchukua hatua stahiki...
  5. Chama cha Wafanyakazi chaitisha Mgomo kupinga Gharama kubwa za Maisha

    Chama cha wafanyakazi nchini Nigeria cha Labour Congress kinapanga kugoma Sept. 5 na 6, 2023 kupinga gharama ya maisha baada ya serikali kutupilia mbali ruzuku ya bei ya petroli. Chama cha Wafanyakazi wa Nigeria (NLC), ambacho kinawakilisha mamilioni ya wafanyakazi katika sekta nyingi za uchumi...
  6. Rais Samia kwa tamaa kubwa ya Vyeo CCM Kwako, nakushauri uwe Unawaficha wale Uwapendao na unaotaka kuwa nao kuanzia 2025

    Labda nikuambie tu Rais Samia kuna Uteuzi Mmoja wa Kimkakati umeufanya Jana ila sasa Umeshamsababishia matatizo Mhusika kwani kama hajarogwa awe Mweusi kuliko alivyo sasa ili Usiwe unamuona au Kumkumbuka kama yuko basi wanaweza Kumaliza Shughuli kabisa na hiyo 2025 asiione au akiiona atakuwa si...
  7. DOKEZO Responded Kama wewe ni mchawi usije Kigoma kipindi hiki, Kuna operesheni kubwa sana inaendelea

    Niko Kigoma mida hii, ni noma Sana mkoa umekuwa wa Moto balaa, wachawi wanalia Kama watoto wadogo wanatamani Hadi kufa lakini wapi. Baada ya tabia za ovyo za kichawi kuzidi, ilibidi wananchi watoe 'contract' kwa magwiji kutoka Congo na Nigeria Kuja kushugulika nao. Mchakato wa kuwapata hao...
  8. Serikali imkamate na kumuhoji Felix Simbu kwa hujuma aliyoifanya kwenye mashindano

    "Leo nimegundua kuwa kumbe Mazoezi niliyoyafanya hayakuwa sahihi kwangu na nilipofika Kilomita ya 30; kuelekea ya 35 sikuona haja ya kuendelea hadi Kilomita 42 tulizokuwa tunakimbia, hivyo naomba radhi na asitafutwe mchawi, nitajitahidi katika mashindano yajayo," amesema Mwanariadha aliyejivunja...
  9. S

    Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

    Watu wanaachana lakini namba hawafuti. Unajua ni kwanini? Kwasababu ni suala la muda tu ipo siku watatafutana. Nami nakushauri kamwe usifute namba ya ex wako. Ipo siku atakufaa kwa matumizi ya dharura.
  10. Ijue siri kubwa ya mafanikio ya Yanga

    Tunamkumbuka Stephen King kwa maneno yake yenye busara hasa pale aliposema: "Talent is cheaper than table salt. What separates the talented individual from the successful one is a lot of hard work." Ila bwana Kevin Durant yeye akasema "” Hard work beats talent when talent fails to work hard”...
  11. Ubinafisishaji wa Bandari zetu Muendeshaji atapata faida kubwa kuliko Serikali

    Sijui nitumie lugha gani ili wote muelewa. Kiufupi ni kwamba ukibinafisha wowote ule muendeshaji anapata faida kubwa zaidi ya mwenye Mali hasa tunapoongelea sekta nyeti kama bandari Uwezekano wa mwenye mali kuambulia 10% ya makusanyo yote ni kawaida sana.. waendeshaji wengi ni wahuni...
  12. TMA yasema mvua juu ya wastani zinatarajiwa kunyesha. Mvua za Vuli kuanza Oktoba

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mvua za Juu ya Wastani hadi Wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, kusini mwa Mkoa wa Simiyu, kaskazini mwa mkoa wa Kigoma, Dar es Salaam, Tanga, Pwani (ikiwemo visiwa vya Mafia), kaskazini mwa mkoa wa...
  13. Bosi wa Wagner atangaza hatua kuu 'kuifanya Urusi kuwa kubwa zaidi'

    Kundi hilo linafanya kazi kuifanya Afrika kuwa "huru zaidi," Evgeny Prigozhin alisema katika video ambayo inaonekana ilirekodiwa katika bara hilo. Kampuni ya binafsi ya kijeshi ya Wagner inaendelea kuajiri na inafanya kazi kwa bidii "kuifanya Urusi kuwa kubwa zaidi," mkuu wa kundi hilo, Evgeny...
  14. Azam sio huzikamia Simba na Yanga no. Ni timu ambayo wachezaji wake wanaweza kufichwa na kupewa hamasa ili wasihongwe na Timu kubwa

    Azam pamoja na kutikuwa Bora lkn likija swala la Simba au Yanga wanakuwa wamoto mno. Je wanakamia?? Niko!!!! Timu Hizi kubwa kwanza hutaka ushindi kwa namna yoyote na kila timu ndogo viongozi wengi Ni washabiki wa Hizi timu kubwa na hivyo kutumika kuhujumu timu kwenye mechi ngumu. Kama kila...
  15. M

    Sakata la mkataba wa bandari: Kuna kila dalili (kuna asilimia kubwa) kuwa Viongozi wetu wamekuwa "Blackmailed"

    Maana si kwa kukomaa huko! Hivi mtu ukiwa blackmailed unafanyaje kujinasua? Tufanyeje tuweze kuwanasua? Maana kwa kweli naanza kuwaonea huruma na inabidi tuwaombee sana!!
  16. D

    Waraka wa Kanisa Katoliki: Je huu utakuwa mwisho wa ushawishi wa taasisi hii kubwa?

    Kwa miaka mingi kanisa Katoliki limekuwa na ushawishi wa namna yake ndani ya nchi. Wakiongea wao, basi jua wamemulika ukweli na uhalisia wa kile wanachokiongea. Juzi baraza la maaskofu limekuja na waraka ambao unatia walakini kidogo, umekaa kisiasa zaidi tofauti na uhalisia. Ikitokea...
  17. Tafakari yangu juu ya Wasomi-Masikini wa JF

    Juzi kati nilikuwa nazungumza na madogo fulani wawili kuhusu Jamiiforums. Wale madogo wakasema kuwa hawajawahi kuisikia Jamiiforums!! Nilishangaa sana, ni madogo wenye kazi na wako active kwenye mitandao ya kijamii. Yaani mtandao upo tokea mwaka 2006 hawajawahi kuusikia!!? Licha ya hayo...
  18. B

    Jinsi ya kumpima mdada kama ana asilimia kubwa za kukubali au za kukukataa, kabla hujamtongoza

    Hii ni theory yangu nimeiwaza kichwani, sijajua kama ina efficiency ya walau asilimia 98% ya kutoa accurate results: Mfano umempenda mdada ambaye unaishi naye mtaa mmoja, college moja, darasa moja n.k mchunguze anapenda kinywaji gani especially soda za take away, mfano mdada anapenda Kunywa...
  19. R

    Taa ya kuongozea magari Kinondoni Biafra inakaribia kuanguka, kodi kubwa tunazolipa zitumike vizuri!

    Wakuu, Hizi ni taa zipo Kinondoni Biafra, Dar. Moja imejishikilia vizuri wakati nyingine inakaribia kuanguka. Naamini kufanyiwa maboresho sasa ni bora na itakuwa gharama nafuu kuliko kusubiri ianguke iharibike zaidi. Kodi zetu ndio zinawezesha ukarabati huo kufanyika na kama ikiachwa ikaanguka...
  20. Watu wa Mbeya (Wanyakyusa) ni watu makini sana, akili kubwa na hawaogopi kitu

    Hawa watu ni wenye akili sana licha ya kwamba ndani mwao kuna michawa, ambayo kamwe haitakuja kuacha legacy yoyote kwenye uongozi wao. Boniface Mwabukusi: Mwanasheria msomi, mweledi, ambaye amediriki kuupinga kwa dhati hadi mahakamani mkataba mbovu wa bandari ametokea Mbeya. Dr. Ulimboka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…