kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Je, wanasiasa wanasauti kubwa kuliko wananchi ambao ni wenye nchi?

    Sijui ni umbumbu wangu wa kutojua sheria ama ni mtazamo wangu? . Nionavyo mimi wanasiasa wanasikilizwa sana kuliko wananchi , mfano tumeona kesi ya Lissu inaonesha mashirika mbalimbali yamekuwa yakiifuatlia utasema huko gerezani nchinin Tanzania mfungwa ni mmoja peke yake? Pia kuna wananchi na...
  2. Watanzania wameonyesha ukomavu mkubwa kiakili na kisiasa. Gumzo kubwa ni hukumu ya kionevu aliyopewa Lissu wala sio harusi ya mtoto wa Ruto.

    CCM walivyo hawana akili za kisiasa walidhania watanzania watashobokea harusi ya mtoto wa rais wa Kenya huko Mwanza. Lakini kuanzia jana hadi leo hii watu wapo busy kujadili namna Lissu alivyohukumiwa kwa uonevu Huku hasira kali zikielekezwa kwa rais Samia na genge lake ambalo wananchi...
  3. Leo ndo tutajua kama MTU mwenye Elimu kubwa anaweza kukubali kutumika

    Leo ndo siku itakayowapa heshima wasomi au heshima yao kupotea Moja kwa Moja .
  4. M

    Kosa la kuruhusu kuficha majina ya asili ya kiafrika limewapa wahamiaji nafasi kubwa ya kupenya serikalini, jeshini, utawala na hata kuwa majasusi

    Utaratibu wa kubadilisha majina kuwa ya kigeni ni tishio kubwa kwa usalama wa taifa. Kurasimisha mifumo ya majina ya Magharibi au Kiarabu, kama vile George Jackson David Aisha Muhammad Nurdin Uhuru Baraka Amani Judith Christopher Benard Salehe Abdul Ally kunafuta utambulisho wa asili na...
  5. Y

    VIDEO: Leo nimeamini Tanzania na CCM bado tunahazina kubwa ya vijana wanaoelewa ni wapi tunaelekea kama Taifa hasa kwenye kuzitafuta trilioni 2,600

    Wandugu hata kama haumkubali huyu jamaa ila ukweli ni kwamba jamaa anaakili na anapicha halisi ya tunafikaje 2050. 👇🏿👇🏿 UCHUMI WA SHILINGI TRILIONI 2,600. Tanzania imeweka lengo la kujenga uchumi wa dola trilioni moja, sawa na zaidi ya shilingi trilioni 2,600, ifikapo...
  6. Tukio kubwa sana la burudani linaandaliwa kuzima upepo wa Lissu

    CCM kwa sasa wapo bize kuandaa tukio kubwa sana kuwai kutokea Tanzania litalotumika kuzima upepo wa Lissu kufuatia hukumu ya tarehe 6 November 2026. Ni tukio litakaloiteka Africa nzima hakutakuwa na habari za Tundu Lissu mtaani wala mtandaoni. Tukio litafanyika uko pembezoni kwa walugaluga...
  7. Zijue kampuni kubwa za Kichina zinazotengeneza simu maarufu Afrika

    China imekuwa mstari wa mbele duniani kwa utengenezaji wa simu janja (smartphones), ikitoa simu zenye teknolojia ya hali ya juu kwa bei tofauti tofauti (kuanzia za bei nafuu hadi za daraja la juu). Zifuatazo ni brand maarufu zaidi za simu kutoka China zilizogawanyika kulingana na makundi na...
  8. Siasa ni mchezo unaohitaji precision ya hali ya juu katika kuucheza. Godbless Lema kafanya kosa kubwa la kiufundi kama alivyofanya Hezekiah Wenje

    Husemwa kuwa, siasa ni mchezo mchafu... Lakini mimi nasema hivi: Sio kweli, bali siasa ni Sanaa na profesheni halali na ya kawaida kama profesheni zingine katika maisha mfano ualimu, udaktari, unasheria nk. Shida ni kuwa, siasa imebeba watu wachafu kimaadili kwa zaidi ya 95% ndani yake na hawa...
  9. O

    Taharuki Riruta: Nyufa Kubwa Zaibuka Kwenye Jengo la Ghorofa 10, Wapangaji Walazimika Kukaa Nje Bila Mali Zao

    Juma hili, hofu na taharuki zilitanda katika mtaa wa Riruta (Kibiria Road) jijini Nairobi baada ya nyufa kubwa za kimuundo kuibuka kwenye jengo la kisasa la ghorofa 10 linalokaliwa na takriban familia 95. Ingawa jengo hilo halijaporomoka, mamlaka za Serikali ya Kaunti ya Nairobi na timu za...
  10. Nafikiri huu ni mwaka ambao visa na visasi vya issues za kimapenzi vimetia doa kubwa katika jamii. What is next tena baada ya hili tukio la arusha?

  11. Kuanzia tarehe 9/10 November mvua kubwa zitaanza kunyesha

    Hamjambo! Mimi sio TMA. Lakini kama Mwana jiografia, mazingira yananijulisha hapa kuanzia tarehe hizo mvua kubwa zitaanza kuripotiwa kunyesha. Sasa sijui itakuwa ni El nino au mvua tuu za msimu vuli. Haya nimemaliza. Naondoka Kiel nino. Kibabe yaani. TaikonMaster Kwa sasa Dar es salaam
  12. Mfahamu Mwanamitindo mjerumani Martina Big(Malaika kubwa) anayetamani kuwa muafrika.

    Pichani ni model raia wa ujerumani Martina Big Kwa Sasa anajiita Malaika Kubwa pamoja na mumewe. Wanandoa hawa wanadai kuvutiwa na kutamani kuwa kama waafrika ikiwemo kuhamia Africa kabisa. Martina aliamua kuongeza maziwa,kufanya matibabu maalum ya kuchoma sindano za melanin na vichocheo vya...
  13. Watu wajinga ndio wanaoa na kuzaa: Akili kubwa ni kinga dhidi ya ndoa na uzao wa hovyo

    Ukiwa timamu uliyetimia kiakili, rijali wa ubongo, shupavu wa fikra tunduizi, huwezi kamwe, namaanisha kamwe abadani, kubeba mtu, kumchukua kutoka kwao na kwenda kumfuga nyumbani kwako kwa ajili ya ngono na kuzaa zaa hovyo. Jambo zima la ndoa limejengwa katika dhana ya ujinga, hofu, tamaa...
  14. Kama unatafuta watu wa kukuamini kwenye maisha yako, pambana sana ujenge imani kwa wateja wa kike kwenye biashara yako

    Najua unaweza kuona kama ni kitu cha ajabu, lakini ngoja nieleze kitu ambacho nimejifunza kupitia biashara zangu mwenyewe. Mwanamke akipata sehemu ambayo anaweza kununua bidhaa au kupata huduma bila hofu ya kudanganywa, akahudumiwa vizuri na kupata thamani ya pesa yake, kuna uwezekano mkubwa wa...
  15. Hata kama Tanzania ikiongozwa na Likud, Haitapiga hatua kubwa za maendeleo.

    Raia hatutimizi wajibu wetu wa kuipambania nchi yetu. Wachache wanajaribu ila kundi kubwa la watanzania wanajiona hawahusiki juu ya hilo.Leo raia wa Tanzania wamewaachia wakatoliki wafanye maombi, kwao imetosha.Kwa ukubwa wa kilichotokea Oktoba 29 2025kweli hii ndio taswira yake!? Kwa hali hii...
  16. HOJA Chukua Tahadhari, Dodoma Kodi Za Fremu Ni Kubwa Mno

    Habari ,, Huu mji wa Dodoma umekuwa na kodi kubwa sana za fremu zisizo endena na uhalisia wa kibiashara , mfano mwaka Huu 2026 nyumba zilizo rekebishwa maeneo ya mjini katikati Kodi ni 4m,3m,2.5m ,2m na 1.5m kwa mwezi . Walio kuwepo hakuna hata mmoja aliye weza kurudi wamekuja wapya Hizo Kodi...
  17. Magorofa ya Kenya asilimia kubwa si salama japo wanajitapa wanamaendeleo

    Ukiwa Kenya kutokana na ufinyu wa maeneo na kila mtu kutaka kujiegesha penye mkusanyiko wa watu wengi basi ni Nairobi na maeneo mengine. Ujenzi wa Kenya umejaa tamaa kuanzia mmiliki, engineer,mtoa kibari na mwisho mafundi. Hizi habari za kuporomoka majengo huko ni za kawaida na mengine mpaka...
  18. Nyumba ya Bi. Mwamtoro bint Chuma Yenye Historia Kubwa ya Mwalimu Nyerere Imevunjwa

    https://youtu.be/x2tRI9JFItw?si=TPN2hXKMkti1RaR7
  19. Kwa nini post za nje ikihusisha Tz inapata engagement kubwa kubwa ya wabongo mitandaoni kuliko nchi nyingine za Afrika ?

    Moja kwa moja .. Hili nimefuatilia sana ; 1. Kipindi Samata kajiunga Aston Villa , page ya Aston Villa ilijaa wabongo mpaka na aliponyimwa pasi wabongo walimshambulia sana Grealish 2 . Aziz Ki ; alipojiunga Wydad page ya Wydad waarabu walikimbia walijaa wabongo kupiga stori na kumtaka Admin...
  20. Kafulia usijichetue, India na Wachina Wana watu zaidi ya B Moja, ila wanamiliki Chumi kubwa, Afrika haiendelei sababu ya Viongozi wa ovyo ovyo

    MAREKAN Ina watu zaidi ya Milion 300, na wameendelea . Kafulila usione Haya kusema kua "Afrika tuna uçhumi mdogo licha ya Idadi kubwa ya watu kwa sababu ,Ni Afrika tu ndo Mtu anatafuta Urais kama Sifa, Wizi, Ufisadi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…