Hali hii haikutokea kwa bahati mbaya wala hayakuwa mapenzi ya Watanzania kuchagua wenyewe dini wanayotaka
Ukashangaa kutokuona Wachaga Waislamu au Waswahili Wakristo?
Mgawanyiko wa Dini na Historia ya Jamii nchini Tanzania
Katika jamii ya Tanzania, imekuwa jambo linaloonekana la kipekee na la...
Watu wanaoitwa Robert mara nyingi ni watu wenye IQ kubwa sana akili kubwa sana .
Kuna watu wengi duniani wanaoitwa Robert ambao wameacha alama kubwa katika historia ya sayansi, teknolojia, biashara, uchumi, sanaa na uongozi.
1\. Robert Oppenheimer
Alikuwa mwanafizikia aliyeongoza kisayansi...
WATANZANIA 10 WENYE AKILI KUBWA: KUJIFUNZA KUTOKA KWA WATU WENYE UWEZO MKUBWA WA KUFIKIRI NA KUTEN
Utangulizi
Akili kubwa si lazima ipimwe kwa kiwango cha elimu, vyeti au uwezo wa kufanya vizuri darasani pekee. Akili inaweza kuonekana katika uwezo wa kuchambua matatizo, kutengeneza mifumo...
Sikuwahi kuwaza kuwa mtu mwenye ulinzi Mkubwa kama Nchimbi aweza kutekwa na kupotezwa na kunyamazishwa kirahisi vile.
Tukaambiwa na akina Pascal Mayalla kuwa, ndugu Nchimbi atatokea kukabidhi ofisi, ikapita hivyo hivyo, Sasa ulisema alipotezwa hujakosea.
Ilifika mahali mfungwa Tundu Lissu...
MOJA YA KOSA KUBWA KIJANA UNAJIFANYA NI KUOGOPA KUOA KISA MAMBO HAYAJAKAA SAWA. KOSA KUBWA SANA.
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli
Baba
Niliwahi kukuambia kamwe usijicheleweshe. Wala usikubali mtu akucheleweshe. Nilikuambia.
Nikakuambia tena, yapo mambo ambayo utatakiwa uyafanye ukiwa na...
Ndugu wateja ,
Na sisi tuna jambo letu kubwa tarehe 26, na tunawahitaji mlifuatilie kwa karibu!
Tukisema ni historia, mtasema tunajisifu wajivuni.Tukisema ni surprise, mtataka spoiler! 😂
Basi kwa heshima kabisa, tunawaomba tarehe 26 macho na masikio kwa admin.
Tarehe isiguswe hiyo...😆
Mwaka 2014, Dola 1 ya Marekani ilikuwa inauzwa takriban Naira 156 nchini Nigeria. Kufikia Februari 12, 2024, Dola hiyohiyo iligonga Naira 1,534 kwenye soko rasmi (na kufika hadi ₦1,830–1,900 kwenye soko la mtaani/parallel market). Kufikia Novemba 19, 2026, kiwango rasmi kimekaa karibu na Naira...
Kuna member mmoja alifungua uzi wa kuonesha appreciation kwa kuwatambua(appreciate) watu wenye IQ kubwa hapa Jamiiforums. Ila cha ajabu kuna member kama watano wameanzisha nyuzi kuonesha hawakubaliani na baadhi ya members kwenye hiyo IQ list. Ninachotaka kusema ni kwamba humu kumejaa wivu na...
kuna familia zinaua watoto wao wa uzao wa kwanza kama kafara wakiwa wachanga kabisa ,
kuna familia baba anawagonga wanae wa kike mpaka kuwazalisha,
kuna famila mama anafanya mapenzi na watoto wake wa kiume,
Kuna familia watoto wanaoana wao kwa wao na kuzalishana kabisa,
kuna familia zina...
Kuna jamaa ananishangaa sana ninapojikakamua kumsomesha mwanangu IST, anasema hio hela bora nikamuwekee bank.
Umasikini unaanzia akilini especially pale mtu anavyoshindwa kujua kazi ya hela na hela inafanya kazi vp. Hio ada nikiiweka bank hadi aje amalize shule tyr haitokua na thamani...
IQ kubwa inapimwa na output leo ukifa mtoto aliyezaliwa mwaka 2040 atakuwa inspired na maisha yako
Tanzania watu wenye akili wapo wengi sana tatizo hatujapata watu watakaoleta mabadiliko makubwa ndo maana bado ni maskini
Wako wanaojaribu ila bado hawajafanikiwa kuwa kwenye group la watu wenye...
Serikali badala ya kulinda ndiyo hao hao watekaji wa watu
Serikali ndiyo hao hao wanabambikizia kesi watu
Serikali hiyo hiyo ndiyo wanaiba kura za watanzania
Halafu tunasema tuko sawa😂😂
Watafiti wanabashiri ifikapo mwaka 2035,Uislam utakuwa dini kubwa zaidi duniani ikiipiku Ukristo.
Utafiti huo uliofanywa na kituo cha utafiti cha Marekani cha Pew kinaonesha kuwa idadi ya Wakristo bado inakua lakini idadi jumla ya Waislamu inakua kwa kasi zaidi kutokana na kasi ya kuzaana...
Huyu mama misimamo yake ilitosha kuwashawishi wakubwa wa wizard na idara ya polisi kumpatia nafasi kubwa ya maamuzi ndani ya polisi.
Binafsi kwa sasa sijui aliishia wapi mara baada ya kuchomoza na hotuba zilizo trend sana kipindi kile Jiwe yupo magogoni.
Soma Pia: Rais Samia asante Kwa Uteuzi...
Biashara nyingi hazikui kwa sababu mwanzilishi wake anataka kufanya kila kitu mwenyewe. Anataka kuwa mmiliki, meneja, mfanyakazi, muuzaji, mhasibu, Customer Care na msimamizi wa kila jambo.
Matokeo yake, biashara inakuwa inamtegemea mtu mmoja. Akiondoka, mambo yanasimama. Akiumwa, biashara...
Je, umewahi kufikiria kuanzisha biashara ya PlayStation?
Biashara ya PlayStation ni mojawapo ya biashara za burudani unazoweza kuanzisha kwa mtaji kulingana na ukubwa unaotaka. Unawapa watu nafasi ya kucheza video games kwa kulipia muda fulani, kwa mfano dakika 30 au saa moja.
Wateja wako...
Khanga kubwa nzito za Zanzibar zinapatikana.
Bei ya rejareja: sh 20,000/=.
Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga tatu.
Tunapatikana tabata Kinyerezi (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery.
Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja.
Delivery unalipia sh 3,000/= ndani ya dar.
Mawasiliano...