kuanzisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Hivi hakuna vigezo vya kuanzisha kanisa, mbona makanisa ya kilokole yanaanzishwa kiholela sana?

    Nyumba za ibada ni muhimu na ni huduma kama zilivyo hospitali,shule n.k. inatakiwa kuwe na vigezo na masharti ya kuyafata kwa mtu anayetaka kuanzisha.sio hivi ilivyo sasa! Hivi sasa makanisa ya kilokole yamekuwa yakianzishwa kiholela sana.hakuna utaratibu kabisa. watu wanapaswa kuabudu kwa...
  2. C

    Nime wiwa kuanzisha uzi lakini sina kitu kichwani

    Leo nilikua na ndoto ya kuanzisha uzi lakini sikujaliwa kitu cha kuongea
  3. Kaka yake shetani

    Fursa ya biashara Tanzania: Kuanzisha mfumo wa self-storage – maghala madogo ya kukodisha kwa ajili ya kuhifadhi Mali

    Self-Storage Business ni mfumo wa biashara ambapo mtu, familia au kampuni inakodisha chumba, kontena au eneo maalumu kwa ajili ya kuhifadhi mali zake kwa kulipa kodi ya kila mwezi. Mfumo huu unaweza kuwa fursa nzuri ya biashara nchini Tanzania, hasa katika miji inayokua kwa kasi kama Dar es...
  4. L

    Safari ya Kiya ya kuanzisha kampuni yake ya biashara ya bidhaa za kilimo inayoanzia China

    Akiwa mbele ya darasa na wanafunzi wenzake, Kiya Esatu kutoka Ethiopia, anaangalia kwenye laptop yake kwa makini, mara akageukia ubaoni na kuanza kuwasilisha mada yake inayohusu matokeo ya majaribio yake aliyofanya shambani. Kabla ya hapo mimi na Kiya tulikuwa katika shamba alilokuwa akifanya...
  5. Wizara ya Ardhi

    Serikali kuanzisha mamlaka ya milki Tanzania

    Serikali iko mbioni kuanzisha Mamlaka ya Milki Tanzania kwa lengo la kuimarisha usimamizi, udhibiti na uendelezaji wa sekta ya milki nchini. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Leonard Akwilapo, amebainisha hayo leo Novemba 23, 2026, jijini Dar es Salaam, wakati wa kikao kazi...
  6. C-C Digital Pro

    Jeshi la Polisi kufutwa kabisa na CIVILIAN-COIN na kuanzisha DBS ya Wananchi siku akiwa RAIS wa Tanzania

    Msanii wa music nchini Tanzania anayewakilisha nchi hiyo Kimataifa katika sanaa ya muziki na Uandishi, hivi karibuni alitangaza nia ya kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Mgombea binafsi, Civilian-Coin Nalimi Kisandu amesema akiwa Rais wa Tanzania atafuta na kuondoa kabisa...
  7. Yoda

    Halikuwa lengo la Yesu au wanafunzi wake wa mwanzo kuanzisha Ukristo kama dini.

    Halikuwa lengo la Yesu kuanzisha Ukristo kama dini mpya inayojitegemea ni mtazamo unaoungwa mkono na wanahistoria wengi wa dini, wataalamu wa Biblia na baadhi ya wanateolojia. Haya ndiyo mambo makuu yanayofafanua mtazamo huu kihistoria na kiteolojia: 1. Utambulisho wa Kiyahudi; Yesu alizaliwa...
  8. C

    Nataka kuanzisha biashara ya chips

    Je vifaa vyake vina gharimu shngapi kimoja baada ya kingine Je siku ya kwanza nikaange kiasi gani Nataka niwe nakaanga mwenyewe mwanzoni lakini uzoefu ni 0 je nitaanzaje kwa namna hii ?
  9. L

    Mafunzo ya STB ya China yaibua ndoto za wanafunzi wa Afrika kuanzisha mashamba yao ya kilimo

    Asubuhi na mapema Benson Phiri anatembea kwenye shamba la mipesheni, huku akiwa anaangalia majani ya mmea wa pesheni kisha akashika polepole kwa mkono wake wa kulia tunda moja lililo mtini, na kusema “angalia tunda hili linakaribia kuwiva”. Benson Phiri (28) ni mwanafunzi kutoka Malawi ambaye...
  10. youngkato

    Biashara ya photo studio: mtaji, vifaa, faida na jinsi ya kuanzisha

    Mwongozo kwa vijana na wajasiriamali wanaotaka kuanzisha biashara ya upigaji picha na kuikuza hatua kwa hatua. 1. Utangulizi: Je, biashara ya Photo Studio inalipa? Katika kipindi hiki ambacho picha zinatumika kwenye biashara, ajira, mitandao ya kijamii na matukio mbalimbali, upigaji picha...
  11. Mlinzi Shujaa_

    Wazo la kuanzisha ngao combat

    Mwaka 2019 katika mkoa wa dar es salaam tanzania, kulikua na matukio mengi sana ya panya rodi kuvamia watu mitaani na majumbani, kupiga watu mapanga ya kichwani, mikononi na kupora mali zao kama vile simu, pesa, na vito vya thamani na wengine hadi viatu na nguo walikuwa wanavuliwa. watu wengine...
  12. Ndagullachrles

    Hongera UWT Moshi mjini kuanzisha mradi wa ushonaji ,Jumuiya nyingine za CCM ziige mfano huu

    Moshi Hatua ya Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT)Moshi Manispaa kuanzisha mradi wa ushonaji nguo zikiwamo sare za Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni hatua ya kupongeza. Pia hatua hii ya kuanzisha mradi huo ni mfano wa kuigwa na Jumuiya zote za Chama Cha Mapinduzi (CCM),ikiwamo umoja wa vijana wa...
  13. Think2

    China kuanzisha sheria mpya ya taraka

    China inampango wa kuanzisha sheria mpya ya talaka ambayo hakutakuwa na mgawanyo wa mali kwa 50/50 bali kila mtu atachukua alichokitafuta mwenyewe. In africa girls bring their nyashi and wants to get mansion,car wachina wako mbele ya muda
  14. Idugunde

    Wameshindwa kukusanya kodi ili watengeneze barabara, sasa wanampango wa kuanzisha tozo za barabara.

    Tozo ya barabara.why?👇
  15. Carlos The Jackal

    Hongereni sana Kanisa KATOLIKI kwa kuanzisha Rasimi safari ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Oktoba 29 2025, Japo Serikali na CCM wanatamani Hilo lisiwepo !!

    Kanisa linapobeba jukumu kama hili zito ,linaonyesha kwa namna gani Kanisa linajali Watu !!. Moja ya kumbukumbu ambazo CCM watataman maisha yake yote isahaulike ni haya Mauaji ya Oktoba 29 2025. CCM wako tayari kUfanya namna yoyote ile wanayoweza ili mradi tu KUDOGOSHA Mauaji haya ,ionekane...
  16. M

    Je, una mpango wa kuanzisha biashara ya shisha?

    FAHAMU MTAJI WA KUANZIA NA FURSA ILIYOPO KWENYE BIASHARA HII! Je, umewahi kuona watu wakivuta Shisha kwenye Bar, Club, Beach au Restaurant, ukajiuliza biashara hii inafanyikaje na inahitaji mtaji kiasi gani? Leo nakupa mchanganuo wa vifaa, gharama za kuanzia na makadirio ya mauzo ili uweze...
  17. Jemima Mrembo

    Hii ni fursa ya kubadilisha maisha yako. Kwa mtaji mdogo, unaweza kuanzisha fleet line yako mwenyewe.

    Hebu fikiria ni vijana wangapi wafuasi wa uwekezaji wa Sativa wanavyopiga hela za mdosi lakini baada ya siku chache wanakuwa wamemaliza mahela yote kwenye starehe. Weee ni mkamalia, umepata mijihela yako njoo uchukue daladala yangu hii kwa bei poa. Starting price ni 21 million, maongezi pia...
  18. T

    Baada ya Serikali kuanzisha Sewage Treatment Plant kila jiji nimeamua kuuza magari yangu!

    Watanzania Tunapenda maendeleo bwana. Baada ya Serikali kuanzisha Sewage Treatment Plant kila jiji nimeamua kuuza magari yangu ya maji taka! Tena kwa bei chee kabisa... Unakatibishwa inbox
  19. sepema

    Naombeni utaratibu wa kuanzisha Gulio/soko

    Nawasalimu nyote. Nipo Kwa majumu ya kikazi katika kata flani ambayo ina wakazi wengi na imechangamka kwa kiasi cha kuridhisha. Changamoto nikwamba kata hii haina gulio au soko ambalo wakazi wahapa wanaweza kupata bidhaa ndogo ndogo ambazo kwa kawaida hupatikana magulioni. Ili kupata...
  20. Roving Journalist

    Tafiti Na Gunduzi Za Wanasayansi Chipukizi Zinaunga Mkono Lengo La Kuanzisha Shule Za Amali - Prof. Shemdoe

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amesema tuzo za tafiti na gunduzi katika maeneo ya ubunifu, sayansi, kilimo, nishati, mazingira na afya zinazotolewa kwa wanasayansi chipukizi na Shirikisho la Wanasayansi Chipukizi...
Back
Top Bottom