kikuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu acha 'Kujishtukia' na 'Kujihami' tunakujua Wewe ndiyo 'Kirusi' Kikuu ndani ya Klabu yetu

    Kama kuna sehemu ambayo GENTAMYCINE nilikuwa nakutamani ujilete Mwenyewe na nikuparure Kihasira kama Simba Mnyama afanyavyo Msituni ni hii uliyoingia ( uliyojiingiza ) Mwenyewe. Mwenyekiti wa Wanachama Simba SC Murtaza Mangungu hivi karibuni umekuja na Shutuma kuwa kuna Watu ndani ya Simba SC...
  2. C

    Na nyie mnaamini wazazi ni chanzo kikuu cha panya road?

    Ni moja ya sababu lakini sababu kubwa ya kuwepo kwa panya road ni hali ngumu ya maisha, mfumuko wa bei, kukosa ajira na kunyimwa mazingira ya kujiajiri hasa 'umachinga'. Wanaokamatwa sasa hivi siyo watoto ni vijana wakubwa na wengine ni wababa kabisa, bado tu kuna sababu ya kuwatupia lawama...
  3. P

    SoC02 Chama Cha Walimu Tanzania Anzisheni Chuo Kikuu cha Walimu na Bodi ya Walimu Ili Kuondoa Upungufu wa Walimu na Kuthibiti Ubora wa Walimu Tanzania

    Chama cha Walimu Tanzania (CWT) ni chama cha wafanyakazi chenye sifa pekee zifuatazo kulinganisha na vyama vingine vya wafanyakazi nchini Tanzania: Ndiyo chama chenye wanachama wengi kuliko vyama vingine vyote vya wafanyakazi Tanzania; Ndiyo chama ambacho wanachama wake wote ni wasomi...
  4. L

    Chuo kikuu Cha Dar es Salaam kimpe Rais Samia Udaktari wa Heshima katika uongozi na mahusiano ya kimataifa

    Ndugu zangu hayo ni mapendekezo yangu binafsi baada ya kuwa nimekaa kwa muda mrefu nikifuatilia utendaji kazi wa mh Rais Samia na kufikiria namna mh Rais wetu mpendwa alivyoipokea na kukabidhiwa nchi yetu Katikati ya wingu zito la majonzi na simanzi kubwa ya kuondokewa na Rais wetu Hayati...
  5. N

    Matendo yangu ndiyo chanzo kikuu cha kukosa furaha na amani ya moyo, najuta

    Nawasalimu wana Jamiiforums. Kwa kulinda faragha yangu kuna baadhi ya taarifa zitazisema direct. Sehemu ya kwanza. Nilihitimu mwaka 2018 Diploma ya Ugavi na manunuzi CBE Tawi la Dodoma, kutokana na ugumu wa upatikanaji wa ajira, ndugu walinifanyia mpango wa kazi za viwandani mikoa ya kaskazini...
  6. Mtoto wa Jicho, Kisukari ni chanzo kikuu cha Upofu Kanda ya Ziwa

    James Shimba, Daktari Bingwa wa Macho kutoka Hospitali ya Rufaa Bugando amesema uchunguzi wao umebaini kuwa magonjwa ya Mtoto wa Jicho na Kisukari ndio chanzo kikuu cha Upofu kwa kwa Mikoa ya Kanda ya Ziwa. Shimba ameeleza kuwa Hospitali hiyo kwa mwezi inapokea Wagonjwa wa Macho zaidi ya 1000...
  7. Njia za kupata elimu bila kwenda chuo kikuu

    Teknolojia imekuwa muhimu na msaada kwa kila mtu, jinsi inavyoszid kukua na ndivyo inavyoleta mabadiliko. Leo nataka tuangazie njia kadha unazoweza kuzitumia kupata elimu bila kwenda chuo kikuu. watu wengi wana ndoto ya kufanya vizuri katika elimu lakini kwa namna moja ama nyingine huwa...
  8. Shaka: Kinana ni Chuo kikuu cha siasa kinachotembea, mtakaochaguliwa au kuteuliwa jifunzeni kwake

    KINANA NI CHUO KIKUU CHA SIASA KINACHOTEMBEA "Komredi Kinana ni gwiji la siasa za ndani na nje, amekulia na kulelewa ndani ya TANU na leo CCM. Mzee Kinana ni mwana majumui (panafricanist) mtiifu na mwadilifu sana ,Kwa vijana wenzangu mliyo madarakani na ambao mnatarajia kuingia, Tujifunze...
  9. Najuta kwa madhambi niliyoyafanya nikiwa Chuo Kikuu, naomba Mungu watoto wangu wasipite njia ile

    Ukiwa kama mzazi naomba usome na kuelewa nini huwa kinatokea kwenye mabweni ya wanachuo wengi wa kike. Nilipokuwa chuonI UDSM, niliishi Mabibo hostel kabla sijapata mwanaume aliyenipangia nyumba. Pale hostel nilijifunza mambo mengi mabaya, machafu na ya hovyo. Nikiwa pale nilijifunza usagaji...
  10. Namanage Account za Forex

    Habari Wana jamii forums Mimi ni kijana wa kitanzania na pia ni muhitimu wa chuo kikuu Cha Iringa. Nilipokuwa masomoni nilibahatika kukutana na Idea mbalimbali za kutafuta pesa na hii yote ni katika kujiandaa kwamba nitafanya shughuli gani pindi nitakapo maliza masomo, ndio nilipokutana na hii...
  11. Nashukuru Chuo Kikuu changu bora Tanzania nzima cha 'SAUT Mwanza' ndicho hakina 'Upuuzi' huu

    SERIKALI imevitilia shaka baadhi ya vyuo vikuu ikisema vinatumia vibaya muundo wa wastani wa alama katika ufaulu (GPA) ili vipate wanafunzi wengi. - Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda alisema hayo kwenye sherehe za siku ya Chuo Kikuu cha Iringa (IUCo) zilizohusisha...
  12. Wenye majukumu ya kazi, biashara na familia jiungeni Chuo Kikuu Huria cha Tanzania

    WENYE MAJUKUMU YA KAZI BIASHARA NA FAMILIA JIUNGENI CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA Kama wewe ni mtu ambaye una majukumu ya kazi, biashara au ya kifamilia na unapenda kujiendeleza kielimu, njoo Chuo Kikuu Huria cha Tanzania ndipo mahali pake. Chuo hiki cha umma kinaendeleza watumishi wa umma na...
  13. L

    Wasichana wang’ara na kuwaburuta wavulana kwenye matokeo ya mitihani ya kuingia chuo kikuu

    Pili Mwinyi Katika kipindi cha kuanzia mwezi Juni wanafunzi wengi wanaojiandaa kuingia chuo kikuu wanakuwa wameshafanya mitihani yao ya kumaliza, na wengi wao wanakuwa wamepata matokeo ya mtihani. Kadiri miaka inavyosonga mbele ndivyo inaonekana kwamba maendeleo ya elimu kwa wanawake yanazidi...
  14. Maombi ya chuo kikuu kwa wahitimu wa diploma

    Kila nikiingiza equivalent namba napata meseji hii "Only post request with a payload is allowed" Ambapo equivalent namba natumia namba yangu ya chuo niliyofanyia mtihani. Au nakose? Mwenye uelewa tafadhari!
  15. Nafasi za kazi wahadhiri chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).

    Chuo kikuu cha Dar es Salaam kimetangaza nafasi mbalimbali za wakufunzi. Shime kwa wale wenye vigezo, nia na raghba ya kufundisha vijana, tafadhali changamkieni fursa hizo. Tangazo la ajira ni kama ifuatavyo:
  16. D

    Course ya kusoma Chuo Kikuu

    Wakuu habari. Kuna mtu kaniomba ushauri hapa course za kusoma kwa vyuo vikuu vilivyo hapo Dar. Yeye ni mhitimu wa kidato cha sita mchepuo wa HKL, ni course gani asome yenye tija wakuu. Kujipanga mapema ni kheei zaidi maana wengi hukosea kwa kukurupuka pale wanaporuhusiwa kuomba. Ushauri wenu...
  17. Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimetangaza nafasi 221 za ajira katika kada mbalimbali

    Chuo Kikuu cha Dodoma kupitia utumishi kimetangaza nafasi 221 za ajira. Watu mbalimbali wanatakiwa kujaza nafasi mbalimbali ikiwa ni pamoja na Tutorial Assistants, assistant lecturers, lecturers, technicians, transcribers n.k katika fani mbalimbali. Wenye sifa nafasi hii. Hivi lilikuwa ni...
  18. Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi

    Habari zenu mabibi na mabwana, naomba kuuliza, juzi tarehe 10 Juni, 2022 UTUMISHI wametangaza ajira Chuo cha Ushirika Moshi, Je, kwenye barua address unatumia ile ya wao UTUMISHI ama address ya Chuo cha Ushirika Moshi, maelezo ya lugha pale chini yamenichanganya Msaada wenu tafadhali
  19. Kitabu cha baba wa taifa katika mjadala Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam 26 Mei, 2022

    Kulia Prof. Issa Shivji, Prof. Saida Othman Yahya, Dr. Ng’wanza Kamata katika mahojiano na Mohamed Said (out of sight) kuhusu Mwalimu Nyerere wakati wa utafiti wa kitabu chake.
  20. B

    Mfanyabiashara Mo Dewji atunukiwa Ph.D ya heshima ktk Chuo Kikuu cha Georgetown

    21 May 2022 Mohammed Dewji to Graduates: Recognize the Power in Community Two decades ago when Mohammed Dewji (B’98) crossed the stage at Georgetown University’s commencement ceremony, he asked himself an important question – ‘is the world ready for me?’ In many ways, the answer was yes...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…