kesi

Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Kesi ya Mbowe: Madai Mahakamani yathibitishwe Kisayansi

    Leo kumekuwapo shahidi mahakamani kuonyesha Ling'wenya hakuwahi kufikishwa Tazara Polisi. Shahidi huyu ana anayodai kuwa ni detention register kama ushahidi. Baadhi ya kurasa zake zimenyofolewa na nyingine zimeongezwa. Si mageni kusikia polisi wamebambikizia watu kesi, wamewaweka watu rumande...
  2. Mdude Nyagali: Kati ya mashahidi nane kesi ya Mbowe nimewatambua ni wale walioniteka na kunitesa

  3. Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Detective Afande Goodluck atoa Ushahidi, Kesi yaahirishwa hadi Novemba 24, 2021

    Leo tarehe 23/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe inaendelea baada ya kuahirishwa siku siku ya Jumatatu, tarehe 22 Novemba, 2021. Kujua kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 22, 2021. Mahakama yatupilia mbali hoja tatu za utetezi. Kesi...
  4. M

    Baada ya kushinda kesi CAS Bernard Morrison anataka kuishtaki Yanga SC kwa kufoji sahihi yake katika Usajili

    Taarifa za ndani kabisa ambazo KEROZENE nimepenyezewa zinasema ya kwamba baada ya Mchezaji Bernard Morrison Kukerwa na alichofanyiwa na Yanga SC mpaka kumpeleka CAS wakati haki ilikuwa ni upande wake sasa anataka Kuwanyoosha kwa Kesi ya Kufoji sahihi yake ambayo ni Kesi rasmi ya Jinai (Criminal)...
  5. Hukumu kesi ya Morrison hakuna anaepaswa kujiuzulu Yanga?

    Kwanini lazima awepo mtu wa kujiuzulu? 1. Mzee Kikwete aliishauri Yanga iachane na Morrison itafute Wachezaji wengine wa kuwachukua, alipuuzwa. 2. Wanachama na mashabiki waliaminishwa uongo na viongozi wao. 3. Mashabiki walikuwa na hamu kubwa kusikia majibu ya cas yakiwa positive kwa muda...
  6. Mahakama na wanasiasa wa Tanzania wana la kujifunza kwa Wazambia kuhusiana na kesi za matokeo ya uchaguzi

    Mwaka huu nimetokea kuvutiwa na siasa za Zambia na kuamua kufuatilia mambo kadhaa kupitia mitandao ya kijamii. Kuna jambo limetokea siku za hivi karibuni ambalo limenishangaza sana na ni somo kubwa sana kwa siasa za Tanzania na mhimili wa mahakama. Wote tunakumbuka uchaguzi wa wenzetu...
  7. Shahidi kesi ya Sabaya aieleza mahakama alivyotoa Sh90 milioni

    Mfanyabiashara Francis Mrosso (44) anayedaiwa kuombwa rushwa ya Sh 90 milioni na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita, ameanza kutoa ushahidi wake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, akidai kuwa alitishiwa asipotoa fedha hizo atafunguliwa kesi ya uhujumu uchumi...
  8. B

    Kesi ya Mbowe: Yanayoendelea ni taswira ya Uongozi tulionao

    Alisikika Jaji Mkuu kwenye hafla ya kuapishwa Jaji Siyani: "Hukumu zenu zizingatie mitizamo ya mihimili mingine." Tulipo sasa tumemalizana na shahidi ambaye ushahidi wake umepokelewa kama ulivyo. Hii ni pamoja na kukutwa akiwa na maandiko ya chabo yaliyo batili kizimbani. Huyu ni shahidi...
  9. R

    Hivi maamuzi ya leo ya kesi ndogo ya Mbowe et al yalihusu nini? Issue Estopel? Res judicate? au Functus Officio? CA ina rejea ya hayo isome hapa chini

    What was the issue of contention, what was Liganga supposed to decide? Kama ni issues hizi: Estopel? Res judicata? au Functus Officio? Mahakama ya Rufaa ilishaweka msimamo kamili: ina rejea ya hayo isome hapa chini Jaji kakosea katika maamuzi yake ya leo? Ni ya Kiingereza labda itafsiliwe na...
  10. Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 22, 2021. Mahakama yatupilia mbali hoja tatu za utetezi. Kesi imeahirishwa hadi Novemba 23, 2021

    Leo tarehe 22/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea baada ya kuahirishwa siku siku ya Ijumaa, tarehe 18 Novemba, 2021. Kujua kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 18, 2021. Kesi imeahirishwa hadi Novemba 22, 2021 Ungana nami katika...
  11. Chanjo ya UVIKO-19: Wasiotaka kuchanjwa wafunguliwe kesi ya kutaka kujiua

    Wadau, Dunia sasa linaingia katika wimbi la nne (fourth wave) ya maambukizi ya korona, kama tunavyosikia na kuona kupitia vyombo vya habari vya kimataifa, Ujerumani maambukizi yamefikia takriban 52,000+ ndani ya masaa 24 ambacho ni kiwango kikubwa ukilinganisha na waves zilizopita huko nyuma...
  12. Mpangaji ataifisha nyumba kwa amri ya mahakama/ kesi ya madai

    Wakuu habari, Week iliyopita bwana nikiwa kwenye misafara yangu kule maeneo ya kunduchi ununio, Sasa nikakuta vurugu pale kunduchi mtongani, Polisi purukushani na Raia, Sasa hiko ivi: KUNA jamaa pale mtongani ana nyumba mbele Ina mafremu ya biashara Kama matatu hivi, Kuna fremu moja...
  13. Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 18, 2021. Kesi imeahirishwa hadi Novemba 22, 2021

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 18/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea baada ya kuahirishwa siku ya jana. Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 17, 2021: Kesi yaahirishwa mpaka tarehe 18/11/2021 saa tatu asubuhi Ungana nami...
  14. Kesi za kusadikika shuleni

    KESI ZA KUSADIKIKA SHULENI Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Kesi ya leo huko shuleni ndio imenifanya niandike uzi huu, yaani kesi zingine zinachekesha sana, nitaandika kama nazungumza mwenyewe huku natembea barabarani, wewe utachora mazingira ya Taikon nikiwa natembea pembezoni mwa barabara ya...
  15. Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 17, 2021: Kesi yaahirishwa mpaka tarehe 18/11/2021 saa tatu asubuhi

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 17/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea baada ya kuahirishwa siku ya jana. Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe: Jaji aahirisha kutoa uamuzi mpaka tarehe 17/11/2021 saa tatu asubuhi Ungana nami katika uzi...
  16. Kesi ya Mbowe inalichafua Taifa na kuzidisha ugumu kwenye ulinzi

    Katika hali ya kawaida watanzania wanafikishwa mahali pabaya na utawala wa CCM. Kuibinya demokrasia kwenye taifa kunasababisha taifa kupata raia wakakamavu sana bila sababu. Utawala wa makaburu, wareno, Idd Amin, au Gadaffi ulizaa raia wakakamavu sana kwenye mataifa hayo. Kazi ya ulinzi...
  17. CHADEMA wanavyochangishana kununua chakula mahakamani kesi kina Mbowe

    Wafuasi wa CHADEMA wanaofika katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi kufuatilia kesi ya Mwenyekiti wao Freeman Mbowe na wenzake watatu wamebuni utaratibu wa kuandaa na kupata mlo wakiwa mahakamani hapo. Mbowe na wenzake wanakabiliwa na mashtaka sita ya uhujumu uchumi...
  18. M

    Upotoshaji mkubwa sana unaoenezwa Mbowe amebambikiziwa kesi kwasababu ya mambo ya kisiasa

    Nauona upotoshaji mkubwa sana unaoenezwa mitandaoni na mitaani kuwa ndugu Mbowe amebambikiziwa kesi kwa sababu ya mambo ya kisiasa. Mi nadhani kama kweli ingekuwa hivyo basi alikuwa tishio awamu za nyuma kwani nakumbuka huko nyuma Chadema pekee kiliwai kuwa na wabunge 70 na ushee ambapo kisiasa...
  19. Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe: Jaji aahirisha kutoa uamuzi mpaka tarehe 17/11/2021 saa tatu asubuhi

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 16/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea. Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri kesi ya Freeman Mbowe na wenzake Nov 15,2021 Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani. UPDATES; - Jaji ameingia Mahakamani.. -...
  20. Dar: Mahakama yatupa mbali pingamizi katika kesi ya Mbowe

    Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imetupilia mbali pingamizi lililowekwa na mawakili wa utetezi katika kesi ya ugaidi inayomkabili mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu. Akisoma uamuzi huo leo Jumatatu Novemba 15, 2021 Jaji Joachim Tiganga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…