kesi

Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. Mayalla ana hali gani mida hii baada ya Mahakama kuipiga chini kesi ya Mdee na Wenzake?

    Huyu jamaa alianzisha thread nyingi sana Kila siku na zisizo na kichwa Wala miguu akiilaumu na kujifanya kuikosoa CHADEMA kwamba eti "hawaijui Katiba ya Chadema Wala ya nchi"! Kama kawaida walijitokeza vilaza wakamsapoti, sasa natamani kufahamu amejisikiaje Baada ya Mahakama kuipiga chini kesi...
  2. Hakika Uchawi Upo: Nimeutumia kwenye Kesi yangu mahakamani na Nimeshinda

    Eeh bwana eeh ni yule yule Mr. Liverpool A.K.A bingwa wa EPL na bingwa wa NBC PL (Mwananchi). NB:- Naleta uzi huu si kwa lengo la kutangaza biashara au vipi ila ni KUTOA USHUHUDA WA MAMBO YA DUNIA..!! FLACK BACK  Mwaka jana mwezi wa 4 nililetewa idea ya biashara na bosi fulani hivi wa huku...
  3. CHADEMA wanapinga NEC kuunganishwa kwenye Kesi ya Halima Mdee na wenzake. Je, ni kwa faida ya nani?

    Mara tu baada ya kuvuliwa uanachama, Halima Mdee na wenzake walitinga mahakamani na kufungua kesi na mmoja wa walalamikiwa ni Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Chadema wanapinga NEC kushitakiwa kwa sababu ni kinyume na katiba. Ila NEC ndio wangetanzua mzozo wa mamlaka iliyowateua akina Halima...
  4. Mwanamke aliyeandika insha juu ya jinsi ya kumuua mume ahukumiwa kifungo cha maisha kwa kumuua mumewe

    Mwandishi wa kitabu chenye jina lisemalo 'Jinsi ya kumuua mume wako' kutoka nchini Marekani aitwaye Nancy Crampton Brophy, mwenye umri wa miaka 71 amehukumiwa kifungo cha maisha baada ya kukutwa na hatia ya mauaji ya mume wake aliyoyatekeleza mwaka 2018. Imeelezwa kwamba tukio la mauaji...
  5. J

    ITV wame suggest wanaopotosha suala la Loliondo wapewe kesi ya uhujumu Uchumi...

    ITV baada ya kutokea sekeseke la Loliondoa waliuliza swali kwenye kipima joto kuwa "wanaopotosha" suala la utiaji mipaka Loliondo wapewe kesi ya uhujumu uchumi..?🤣🤣 Hivi jamani hata tuki assume ni kweli wanapotosha, wapewe kesi ya uhujumu uchumi? Hii kesi si haina dhamana? ITV ombeni radhi
  6. Cristiano Ronaldo afutiwa kesi ya kutuhumiwa kubaka Nchini Marekani

    Kesi ya kudaiwa kumbaka Kathryn Mayorga iliyokuwa ikimkabili Cristiano Ronaldo Nchini Marekani imefutwa na Jaji Jennifer Dorsey aliyekuwa akiiendesha. Kathryn alidai nyota huyo wa Manchester United alifanya tukio hilo walipokuwa hotelini Las Vegas, Marekani mwaka 2009. Ronaldo alikana na kusema...
  7. Mahakama yamuachia huru Lengai Ole Sabaya, yasema ushahidi wa Jamhuri una utata

    Hatima ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi inatarajiwa kujulikana leo Juni 10, 2022. Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha iliyokuwa ikisikiliza kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 27/2021 imepanga kwa mara ya pili kutoa hukumu hiyo...
  8. Hizi kesi za wanaume wa leo ni AIBU sana na hatari kwa jamii na fedhea katika ndoa

    Nawasalimu kwa majukumu ya kila siku. Moja kwa moja kwenye mada Umechagua ulompenda zaidi, Umetoa mahari, umeoa tumeshiriki kwa namna mbali mbali miaka kadhaa imepita. Mwanaume unahudhuru!!!!!!!!!! Siku zinapita umpi mama yoyo nanihii atiii nimechoka mara kazi nyingi unavizia kitandani kwako mke...
  9. Hizi kesi za wanaume wa leo ni aibu sana na hatari kwa jamii na fedhea katika ndoa

    Nawasalimu kwa majukumu ya kila siku. Moja kwa moja kwenye mada, Umechagua ulompenda zaidi, Umetoa mahari, umeoa tumeshiriki kwa namna mbali mbali miaka kadhaa imepita. Mwanaume unahudhuru!!!!!!!!!! Siku zinapita umpi mama yoyo nanihii atiii nimechoka mara kazi nyingi unavizia kitandani kwako...
  10. S

    Utabiri: Sabaya atafutiwa kesi zake zote, na kisha Mama atasifiwa kwa kuwa msikivu na mpango wa Mama kuonekana ana ubinadamu utakuwa umetimia

    Kama wewe ni mfuatiliaji wa siasa za Bongoland na jinsi watawala wa awamu iliyopo wanavyofanya mambo yao, basi utagundua kile kilio cha kina Mama kinaweza kuwa ni tukio la kupangwa ili baadae jambo hilo lifanyiwe kazi na kisha zianze sauti za kusifu na kupongeza pale kijana atapoachiwa huru...
  11. Sabaya afikishwa Mahakamani, Mawakili wake wasema Sabaya ni mgonjwa, yaahirishwa hadi Juni 20, 2022

    KESI ya uhujumu uchumi na rushwa inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne, itatajwa kwa mara ya pili leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi. Ole Sabaya na wenzake, ambao ni Sylvester Nyegu, John Aweyo, Nathan Msuya na Antoro Assey...
  12. Ndugu wa Mwanamke aliyedaiwa kujinyonga akiwa mahabusu Mburahati walifungulia kesi Jeshi la Polisi

    Ndugu wa mwanamke anayedaiwa kujinyonga akiwa mahabusu jijini Dar es Salaam wameliburuza mahakamani Jeshi la Polisi na Hospitali ya Taifa Muhimbili wakitaka uchunguzi wa kina kuhusu tukio hilo. Stella Moses (30) alifariki usiku wa Desemba 20, 2020 akiwa mahabusu katika Kituo cha Polisi...
  13. Tumaini Kweka akemewe aache kutumia kodi za Wananchi kumtengenezea Sabaya kesi za mchongo ili apige pesa

    Hapo vip!! Leo natua kwa huyu mtu anaitwa Tumaini kweka ambaye ni naibu DDP wa serikali,kwanza sitaki nimjue sana kwa sasa napata kichefu chefu. Niwazi huyu mtu amemgeuza Sabaya kama project ya kujitengenezea pesa kutoka katika kodi za wananchi pasipo Samia kujua hilo.Wananchi na wanaccm...
  14. I

    Wakili wa Sabaya aomba michango kwa ajili ya kuendesha kesi

    Hali ya kifedha ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai bwana Sabaya ni tete! Hii inatokana na Wakili wa Sabaya kuomba michango kutoka kwa wasamaria wema ili kuendesha na kumaliza kesi zote zinazomkabili.
  15. Mbunge wa CHADEMA ang'aka kuhusu wahujumu uchumi kuachwa huku wenye kesi ndogo wapo jela

    👇 Haiwezekani watu wana kesi ndogo ndogo wako ndani halafu wenye kesi ya uhujumu uchumi unakaa nao tu (Waziri wa Nishati), huwezi kutofautisha suala la kusababishia hasara serikali katika suala la Symbion na uhujumu uchumi" @halimamdee, Mbunge viti Maalum #LeoBungeni https://t.co/PcCNggoZJ
  16. Kijana wa miaka 24 jela maisha kwa kumbaka mtoto wa miaka 9

    Juwai Magoda, mwenye umri wa miaka 24 Mkoani Iringa amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani na faini ya Tsh milioni moja baada ya kupatikana na hatia ya ubakaji kwa binti wa miaka 9 aliyekuwa akisoma darasa la pili. Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama ya Wilaya ya Iringa, inadaiwa Magoda...
  17. Simiyu: Ajiua baada ya kudaiwa kushindwa kuizima kesi ya ubadhirifu iliyochonguzwa na TAKUKURU

    Karani wa Chama cha Msingi cha Ushirika amedaiwa kujinyonga kwa kinachoelezwa ni kukosa msaada wa kuzimwa kwa kesi yake ya ubadhirifu wa fedha za wakulima wa pamba licha ya kuhonga rushwa mara kwa mara. Kamanda wa Mkoa wa Simiyu, Blasius Chatanda amesema: “Alikuwa na kesi TAKUKURU, ameacha...
  18. Nataka nimfungulie kesi aliyejitambulisha kama Customer care wa Halotel kwa kunitukana bila sababu

    Habari zenu watoto wa mama (SSH) Nimejikuta wiki nzima imeharibika baada ya kupokea matusi kutoka kwa mtu ambaye amejitambulisha ni mtoa huduma kwa wateja (customer care). Nilikuwa nimepumzika zangu majira ya asubuhi ghafla nikapokea simu kutoka kwa mtu aliyejitambulisha kuwa anatoka kitengo...
  19. R

    Mbona DPP hakukata rufaa dhidi ya hukumu ya Sabaya?

    Hii ilikuwa ni one of the major public interest criminal case, of public importance. Umma ulitegemea Jamhuri ikate rufaa. Sasa kimya as if Sabaya hakutenda hayo matendo maobu. Umma unajua kuwa ALITENDA matendo ya kinyama against human beings, inakuwaje serikali isikate rufaa? Mwenendo wa kesi...
  20. Ahukumiwa kwa Kupiga Punyeto mara tatu mfululuzo ndani ya Ndege ikiwa angani inakata Mawingu mazito

    Abiria wa shirika la ndege la Southwest Airlines aliyeshutumiwa kwa kupiga punyeto mara kadhaa wakati wa safari ya ndege kutoka Seattle kwenda Phoenix mwezi uliopita amehukumiwa kifungo cha siku 48 gerezani, waendesha mashtaka wa serikali wamesema. Antonio Sherrodd McGarity, (34) mkazi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…