kesi

Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. Kesi ya Lissu; Mashihidi upande wa mshitakiwa tuanze na Samia

    Baada ya serikali kufunga ushahidi leo Ushauri wangu kwa Lissu na jopo lake ndio. Itakafuka wakati wa mashahidi wenu, basi tuanze na shahidi Samia Suluhu
  2. A

    Kesi za Mchango unaliweka wapi Jeshi la Polisi, Offisi ya Mwendesha Mashtaka na Mahakama zetu.

    Hivi karibuni kumekuwepo na kesi ambazo tunaweza, kusema ni za mchongo, Kwani Hazina uhalisia na tuhuma zinazo chagizwa dhidi ya watuhumiwa iwe ni ugaidi au uhaini . Sasa
  3. Serikali inekana inautamani sana ugaidi maana sio kwa kesi hizi wanazo tupiwa hawa watu wawatu ambao hawajui hata majina ya bunduki.

    Serikali imeona njia pekee ya kupambana na upinzani ni kuwapa lesi za ugaidi na uhaini nadhani wana hamu sana na ugaidi wenyewe na inaonekana wanautamani sana
  4. WAKILI MAARUFU MADELEKA KUPEWA KESI YA UGAIDI ?

    Kwa kile kinacho onekana kuendelea kukomoa raia yeyote anae enda kinyuma na usawa na haki , Mhimili wa Dola , Mahakama na Polisi wameamua kufungulia kesi za Ugaidi wote watakaoisema serikali ya Samia vibaya. Huku Jeshi la Polisi likiwa kinara kupin point anaefuata wa kupewa kesi ya Ugaidi jambo...
  5. MAHAKAMA hiyohiyo Kesi ya Lissu, inatoa Amri, Serikali haifuati , hamna kinachotokea. Alafu Madeleka anakamatwa kwa kutofata Amri ya Mahakama

    Ukistaajabu ya Mussa!!
  6. Katibu UDASA: Dkt. Kaijage aliniambia Mkipata nafasi msaidieni mke wangu

    Katibu Mkuu wa UDASA, Dk. Dominicus Makukula, amesema wakati alipomtembelea Dk. Melikisedeki Kaijage, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) anayekabiliwa na kesi ya ugaidi, alitoa ujumbe mmoja muhimu. Kwa mujibu wa Dk. Makukula, Dk. Kaijage alisema: “Mkipata nafasi, msaidieni mke wangu.”...
  7. Kesi ya lisu kwann mashahidi wote ni wanaume na wengi ni mapolisi??

    Wanajamvi habar kwenu? Nimetafakari kwa mujibu wa ufuatiliaji wangu dhidi ya kesi hii ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa chama Cha demokrasia na maendeleo chadema. Nilichogundua wote waliokwisha kutoa ushahidi wote ni mapolisi na bodaboda na bajaji? Pia hakuna mwanamke yeyote mpaka Sasa...
  8. G

    UPDATE kesi ya Lisu inampa umaarufu zaidi na kuonyesha udhaifu mkubwa wa mihimili yetu wakiwemo WATUMISHI wengi vilaza turudi TU kwenye maridhiano

    #UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 241 Mhe. Lissu anaendelea kumdodosa Shahidi wa kificho wa Jamhuri. Mhe Lissu: Ulisema mlikuwa na Camera ya Sony NX, Kweli si kweli ? Shahidi wa kificho P: Kweli Mhe Lissu: Kwenye kielelezo mlikuwa na camera tatu, sasa kuna mashahidi wamekuja hapa Mahakamani...
  9. Yaliyojiri Leo mahakamani kwenye kesi ya mchongo ya TUNDU LISSU..soma hapa

    #UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo Agosti 13, 2026 Jana tuliishia part 236 so leo tunaendelea na -; Part 237 Hatimaye, mida hii ya saa. 11:07 Asubuhi, Mahakama inaanza. Wanaingia Mawakili wa Serikali, Anaingia Mhe. Lissu na kundi la askari magereza, leo akiwa na vibe la kutosha kama kawaida...
  10. Mahakama zetu ni huru 100% Mawakili Wapigwa Stop Kuongea Kesi za Mahakamani!

    Katika hali ya kufurahisha, mawakili wamefurahia sana kwa kitendo cha Mahakama zilizokosa weledi hupenda kufurahisha anayewateua majaji na si kufurahisha sheria. Kanuni hiyo inakiuka ibara ya 18 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano Watanzania. Hivyo kanuni hiyo haina uhalali wowote wakuendelea...
  11. O

    Besigye ashindwa Kesi ya kumrejeshea Martha Karua na Lukwago katika timu yake ya Mawakili

    Mahakama Kuu ya Kampala nchini Uganda imekataa ombi la Dkt. Kizza Besigye na Obeid Lutale la kurejesha mawakili Martha Karua na Erias Lukwago katika timu yao ya utetezi. Jaji Simon Peter Kinobe, katika uamuzi wa kurasa 42 uliotolewa Jumanne, amesema kuondolewa kwa Karua nchini Uganda na...
  12. G

    Update kesi ya Lisu Naona Leo wamefungua box la Pandora la tarehe Ile mbaya kuliko zote tangu tupate uhuru Bora tufanye maridhiano

    #UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo Agosti 12, 2026 Kesi ya uhaini dhidi ya Mhe. Lissu inaendelea katika Mahakama Kuu ya Dar es salaam ambapo Mhe. Lissu anaendelea kumfanyia Cross Examination Shahidi wa Jamhuri ACP Amin Mahamba. Jana tuliishia part 231 so leo tunaendelea na Part 232. Imepigwa high...
  13. O

    Watu Sita Wakamatwa Ruiru Baada Ya Wahindi 3 Kuokolewa Katika Kesi Ya Usafirishaji Binadamu

    Watu sita wamekamatwa huko Ruiru, Kaunti ya Kiambu, baada ya maafisa wa upelelezi kuwaokoa raia watatu wa India waliokuwa wameripotiwa kutoweka baada ya kuwasili nchini Kenya tarehe 5 Agosti 2026. Uchunguzi wa kitengo cha Operations Support Unit (OSU) cha DCI uliwawezesha maafisa kuwafuatilia...
  14. T

    Hasara ambazo taifa linaingia kwa kesi ya lisu!!. Mamilioni yanateketea kwa jambo ambalo halina uhalisia.

    Hii kesi ya ndugu lisu ni kesi inayopoteza fedha za walipa Kodi zilizopaswa kuelekezwa kwenye maendeleo. Nikiwa naandika hapa kuna watoto hawana madawati kuna hospital hazina dawa, kuna maeneo hayana maji kama hapa goba ninapoishi tangu October hatuna maji, kuna maeneo umeme haupo haya ni kutaja...
  15. Lissu alivyomkaanga Mpelelezi Mkuu wa kesi yake

    Leo Agosti 11, 2026 katika Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam, Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anayeshitakiwa kwa kesi ya uhaini, ameendelea kumhoji shahidi wa 16, Kamishna msaidizi wa Polisi (ACP), Amini Mahamba. Kesi hiyo inasikilizwa na majaji watatu, wakiongozwa na Jaji Dastan...
  16. R

    Mwenye update ya kesi ya Lisu atuwekee hapa. Naona Hilda "amekabwa koo"

    Tusaidiane mlioko Dar mahakamani mtupe dondoo kidogo.
  17. Hii kesi hii sijui kama anaweza chomoka!?

    *Maneno yake kabla ya lolote kutokea, *maneno yenye nia na dhamira ovu, -Tutakinukisha -Uchaguzi tutauvuruga -Uchaguzi hautafanyika. -Tunajua tutauzuiaje! *Outcomes yake! -Uchaguzi ulikuwa na ghasia -Tafrani kubwa ikatokea -Mali za umma zikachomwa moto!
  18. R

    Update kesi ya LISU leo hakuna?

    Tujuzane what happened, sioni updates za proceedings za leo! Kulikoni
  19. R

    Tuleteeni yanayojili mahakama kuu - Kesi ya TAL

    Wana JF naomba aliye na updates za kesi hii atuwekee hapa maana wengine huko Dar ni mbali sana kutoka hapa tulipo
  20. O

    Watuhumiwa 3 Kesi Ya Mauaji Ya Dr Mutiso Kufikishwa Mahakamani

    Watuhumiwa watatu wanaohusishwa na mauaji ya mwanasaikolojia wa kliniki Dkt Victoria Nthunya Mutiso wanatarajiwa kufikishwa mahakamani leo, Jumatatu, Agosti 10, 2026. Watatu hao ni afisa wa polisi, dereva wa bodaboda na mtu anayedaiwa kuwa kiungo muhimu katika njama hiyo. Wachunguzi wanataka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…