kero

  1. L

    Wabunge Wote Wangeruhusiwa kuendelea Kupewa vibali kufanya Mikutano ya Hadhara Majimboni Mwao ili kupokea kero za Wapiga Kura wao na Kutoa Mrejesho

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Maoni yangu na kwa Ushauri wangu katazo la kufanya mikutano yote ya siasa kwa vyama vyote vya Siasa hapa Nchini lisingewagusa Wabunge wa Majimbo. Wabunge wote kutoka Majimbo yote Bara na visiwani wangeendelea kupewa Vibali vya kufanya Mikutano Majimboni Mwao...
  2. A

    KERO Wananchi wa Wilaya ya Ruangwa tunakumbana na changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji safi

    Wananchi wa Wilaya ya Ruangwa tunakumbana na changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji safi. Kwa sasa, maji yanapatikana mara moja tu kwa wiki, na hata yanapopatikana hutoka kwa saa chache pekee, hali inayosababisha usumbufu mkubwa kwa wananchi katika shughuli zetu za kila siku. Tunaomba Mamlaka...
  3. A

    KERO Kero Ya Maji kwa Wakazi wa TABATA

    Kwa Takrabani mwaka sasa wakazi wa Tabata Tumekua katika Mgao wa Maji kwa siku Tatu ndani ya wiki Jumanne, Jumatano na Alhamisi. Lakini kwa muda mrefu ratiba zimekua hazifuatwi na mara Nyingi maji yakitolewa kuanzia saa 6 Usiku na kukatika baadha ya masaa machache. hii uladhimu kina mama na...
  4. A

    KERO Kero ya Barabara za Sumve: Miaka 31 Bila Rami!

    Tanzania hii kama Kuna majimbo yaliyobaguliwa basi ni Jimbo la SUMVE wilaya ya KWIMBA mkoa wa Mwanza. Jimbo hili toka uchagaguzi wa kwanza wa vyama vingi vya siasa Tanzania 1995 mpaka waleo hii limekuwa na wabunge watatu pekee lakini halijawahi kuwa hata na millimeter 1 ya kipande cha rami hii...
  5. A

    KERO Kero ya usafiri kwa wakazi wa Chang’ombe, Temeke

    Kumekuwa na tabia ya madereva wa daladala kupaki magari na kupakia abiria nje ya vituo hususani kituo kidogo cha mabasi Keko Bora (maarufu tameco), Maduka Mawili na Serengeti kwa daladala zinazotoka mjini kuelekea Temeke kupitia njia ya Chang'ombe. ‎ Kero hii imekuwa ikisababisha foleni na...
  6. A

    KERO Tanroads na Mkandarasi wa Barabara ya Kibada - Mwasonga - Kimbiji Kushindwa Kutekeleza CSR badala yake kusababisha Kero kwa Wakazi wa Mtaa wa Tumaini

    April 24, 2025 Liliwekwa jiwe la Msingi wa Ujenzi wa Barabara ya kibada - Mwasonga - Kimbiji yenye urefu wa Kilomita 41, ambapo jiwe hili liliwekwa na Raisi wa Zanzibar Mh. Hussein Ali Mwinyi. Kazi imefanyika vizuri sana ila Changamoto Kubwa Mtaa Wetu wa Tumaini umeelekezewa Maji kiasi kikubwa...
  7. A

    Responded Wakazi wa Kimara King'ongo tumekuwa tukiteseka kwa kukosa huduma ya maji

    Wakazi wa Kimara King'ongo tumekuwa tukiteseka kwa kukosa huduma ya maji. Tangu maji yalipotoka Juni Mosi baada ya kulalamika Makao Makuu, hayajatoka tena. Hili si jambo la kwanza kutokea. Mara nyingi hatupati maji hadi tupige simu na kulalamika, kana kwamba huduma hiyo ni ya bure. Cha...
  8. TANESCO yatolea ufafanuzi wa Kero zilizowasilishwa na Wadau kutoka JamiiForums, hatua za maboresho zimechukuliwa

    Tanesco imetolea ufafanuzi wa Kero zilizowasilishwa na wadau hapa JamiiForums, baadhi ya sehemu maboresho yameanza. Pia soma ~ KERO - Mwaka wa 3 sasa TANESCO hawajaweka Transfoma hapa Msambiazi-Korogwe, tunateseka umeme kukatika ~ KERO - TANESCO Iringa Mjini wanakata umeme laini ya viwandani...
  9. Aliyeitengeneza Hii video ya hii ngoma alikuwa hadi kero.

    Sijui ni hansacana au Dr Adam juma wa Visual lab?https://youtu.be/DkoeNLuMbcI?si=rzXCMpXgCfm7y2dl
  10. Aliyeitengeneza Hii video ya hii ngoma alikuwa hadi kero.

    Sijui ni hansacana au Dr Adam juma wa Visual lab?https://youtu.be/DkoeNLuMbcI?si=rzXCMpXgCfm7y2dl
  11. KERO Nyaya za fiber zimekuwa kero

    Wahusika wa usambazaji wa Fiber kazi yenu nzuri ila imekuwa kero, nguzo zenu zinadondoka sana, nyaya zenu zinalegea mno, hebu fanyeni kitu ziwe sawa, vinginevyo tutaanza zikata ili mje kuweka vizuri upya
  12. Kero za Wananchi: Je, Ni "Petty Issues"?

    Kuna jambo ambalo John Heche, Sigrida Mligo na Ado Shaibu wanapaswa kulijibu kwa Watanzania. Wamekuwa wakibeza ziara za Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba wakisema anashughulika na "petty issues", anasikiliza mambo ambayo yangetatuliwa na viongozi wa ngazi za chini au kwamba anatoa majibu mepesi...
  13. Kero ya Muungano: Tanganyika yaanza kutawaliwa na Zanzibar? Wabunge hili hamulioni?

    Tanganyika ndani ya Tanzania sasa imeshakuwa kichwa cha mwenda wazimu. Kila Mzanzibari anajifunza kunyoa Tanganyika, na hili ni kero inyoweza kuathiri kwa kiasi kikubwa mustakabali wa Tanganyika. On a serious note, kwa matamshi tuliyosikia kutoka kwa Mawaziri ndani ya serikali ya Zanzibar...
  14. KERO KERO: CRDB BANK na makato hewa HEWA

    Guys guys guys, hawa CRDB hawako serious ni wezi aisee. Nina akaunti nao lakini sina kadi, baada ya kadi yangu kuisha muda siku renewe coz mda mwingi nafanya transfers pekee. Sio mtu wa kwenda ATM. Cha ajabu kila mwezi wanakata makato ya kadi kutoka kwenye akaunti yangu. Sielewi kwa kweli maana...
  15. A

    KERO Kero ya Kelele za kanisa katikati ya makazi ya watu. Ni Kigamboni darajani mtaa wa Nyerere karibu na Daraja la Nyerere

    Habari kuna kanisa lipo kigamboni darajani mtaa wa nyerere karibu na daraja la Nyerere, kanisa hilo limekua kero sana kwa sisi wakazi wa eneo hili. Wamekua wakifanya mazoezi ya kwaya hadi usiku wa saa3:30 tena kwa sauti kubwa sana jambo ambalo linatukera wakazi wa mtaa huu maana ni kelele kali...
  16. E

    Muungano Huu Shaghalabaghala: Mzanzibari ni Mtanzania, ila si kila Mtanzania ni Mzanzibari

    Kumekuwa na kauli tata kutoka kwa viongozi wa Zanzibar kuhusu Muungano, wakionyesha ubaguzi wa wananchi kutoka Bara kupata huduma au kushiriki fursa za kiuchumi, hali inayozua maswali. Kauli hizo zimekuja wakati kukiwa na mjadala wa kwa nini raia wa upande mmoja (Tanzania Bara/Tanganyika)...
  17. A

    KERO Responded NACTVET wana huduma mbovu katika kuwasiliana na wateja wao

    Nina malalamiko yangu kwa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) kuhusu huduma ya mawasiliano kwa wateja. Kumekuwa na changamoto kubwa ya kutopokelewa simu tunapowasiliana na ofisi zao kwa ajili ya kupata msaada au ufafanuzi wa masuala mbalimbali. Mara nyingi...
  18. DOKEZO Bandari wanazuia mizigo ya watu kama bidhaa ulizoleta zinafanana na za tajiri fulani

    Kumekuwa na tetesi kwamba baadhi ya matajiri wanazuia mizigo ya watu kupitia maafisa wa bandari wasio waaminifu. Iko hivi kama unaleta kontena ya viatu basi tajiri alieshika viatu hapa bongo anawaelekeza bandari wasitoe mzigo wako. Unawekewa ushuru mkubwa ambao hata ukiulipa hutaweza kuuza huo...
  19. K

    KERO Madereva wa mwendokasi terminal ya Kivukoni wanachelewa kuondoka bila sababu za msingi

    Hapa terminal ya Kivukoni Bus ikitoka Kimara lazima dereva apaki kwa dakika 10 au 20 bila sababu za msingi wakati abiria wapo wa kutosha na kusababissha usumbufu kwa watumiaji. Madereva badilikeni
  20. KERO Haya malori yanayopaki barabarani yamekuwa kero

    Hivi hawa jamaa wanajiamini sana! Kiasi kwamba wanaweza kuvunja sheria za mamlaka. Hapa maeneo ya Zakhem Mbagala kuna maroli yanapaki kuanzia service road, barabara ya waenda kwa miguu, mpaka njia moja ya barabara kuu. Hili jambo linasababisha foleni kuwa kubwa na kulazimisha magari ya kawaida...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…