Nyumba za ibada ni muhimu na ni huduma kama zilivyo hospitali,shule n.k.
inatakiwa kuwe na vigezo na masharti ya kuyafata kwa mtu anayetaka kuanzisha.sio hivi ilivyo sasa!
Hivi sasa makanisa ya kilokole yamekuwa yakianzishwa kiholela sana.hakuna utaratibu kabisa.
watu wanapaswa kuabudu kwa...
Katika mazingira ya Sasa ambapo serikali yetu imepoteza uungaji mkono wa wananchi wengi kwa maoni yangu Mh waziri Mkuu yuko sahihi Kwa hayo anayoyafanya
Kusikiliza na kutatua kero za wananchi.
Haya anayoyafanya waziri Mkuu ndo Moja ya njia ya Kuirudisha imani ya wananchi kwa serikali yao. Kwa...
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Kaspar Mmuya akisikiliza hoja na kero mbalimbali zilizoibuliwa na wananchi wakati wa mkutano wa hadhara katika ziara ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Novemba 25, 2026 mkoani Morogoro.
Habari za asubuhi wakuu wa JamiiForums,
Tunaomba kupaza sauti zetu kupitia jukwaa hili huenda kilio chetu kitawafikia viongozi wa Wizara ya Uchukuzi, Uongozi wa Juu wa TAZARA, na Serikali kwa ujumla ili tupate msaada wa haraka.
Sisi ni abiria tulioanza safari kutoka kituo cha Mbeya kuelekea...
Kuna usumbufu mkubwa sana na urasimu unapotaka kulipia ushuru wa magari kwenye mipaka yetu.
Pesa ya kodi unayo ila kuna jamaa yangu yupo mpakani tunduma siku ya tatu na alishakamilisha nyaraka zote.
Inashangaza sana kama nchi tunaimbiwa kulipa kodi halafu mtu anataka kulipa anazungushwa na...
Pembezoni mwa barabara kuu, mkabala na jengo la Millennium Tower, Makumbusho Dar es Salaam, kuna chemba inayotiririsha majitaka kwa zaidi ya wiki moja sasa. Hali hii imekuwa ikijirudia mara kwa mara.
Tunatoa wito kwa mamlaka husika, hususan DAWASA, kufuatilia kero hii na kuitafutia suluhu ya...
Habari wadau, kwa muda mrefu Tabata Kimanga kumekuwa na kero ya obovu wa barabara kipande cha Chama mpaka Savanna pale.
Hivi karibuni serikali imesikia kilio cha wakazi wa eneo hilo na kuweka mkandarasi ajenge kipande hicho.
Maendeleo ni mazuri kwa ujumla lakini kuna namna lazima utaratibu...
Soko la mifugo linakabiliwa na changamoto mbalimbali, mojawapo ikiwa ni utegemezi mkubwa wa madalali katika kuwaunganisha wafugaji na wanunuzi.
Mfugaji hutumia muda, fedha na nguvu nyingi kuzalisha mifugo, lakini anapofika wakati wa kuuza mara nyingi hulazimika kutafuta dalali ili kumpatia...
Strategies Insurance, ifikie mahali mjiheshimu! Acheni huu ujinga na uzembe unaoendelea kwenye huduma zenu.
Haiwezekani mgonjwa anatumia muda mrefu kupita kiasi kwenye registration—mara kupiga picha, mara taratibu kibao zisizo na tija—kiasi kwamba muda wa kusubiri na kujaza taarifa unazidi hata...
Naomba mamlaka zinazohusika na usimamizi wa vyuo nchini, hususan NACTVET, zifuatilie kwa haraka suala hili linalohusu usalama wa wanafunzi wa kike katika City Institute of Health and Allied Sciences (VIDETE), iliyopo Chanika, Dar es Salaam.
Katika ziara tuliyoifanya chuoni hapo usiku wa...
Anonymous
Thread
chanika
health
kero
kike
mlinzi
nactvet
uchunguzi
usiku
usimamizi
wanafunzi
wanafunzi wa kike
Baada ya Mwananchi kutoa neno kuhusu Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu (Simiyu RRH), akieleza kuwa Changamoto ya wizi Hospitali ya Rufaa Simiyu (Simiyu RRH) ipo muda mrefu, ishughulikiwe vizuri ujumbe umetolewa kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo.
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Said Mtanda ameandika...
Wakazi tunaoishi maeneo ya jirani na misikiti tunakujulisha kwamba tunkabiliwa na changamoto ya kelele zinazotokana na shughuli mbalimbali za ibada(mara tano kwa siku), hali hii imekuwa ikiathiri kwa kiasi kikubwa maisha yetu ya kila siku, ikiwemo kupumzika, kufanya kazi, na kupata usingizi wa...
Barabara ya Samunge (Arusha) inayoanzia roundabout ya samunge kuelekea roundabout ya Fire inazidi kuwa kero kubwa kila siku kwa sababu ya hiace zinazosimama barabarani kuchukua abiria....
Mbaya zaidi askari wakati mwingine huwepo maeneo hayo bila kuchukua hatua zozote.
Mara kadhaa waziwazi...
Stand kuu ya mabasi msamvu vyoo vyake vinatoa harufu mbaya sna upande wa mabasi yanayoelekea dsm huwezi kukaa kwa sababu ya harufu inayotoka mule usimamizi wa stand tunaomba mmwage dawa ya kukata harufu abiria tunateseka
Vyoo vya Stendi Kuu ya Mabasi Msamvu vinatoa harufu kali na mbaya kiasi cha kuwafanya abiria washindwe kukaa kwa amani katika eneo la mabasi yanayoelekea Dar es Salaam.
Hali hiyo inasababisha usumbufu mkubwa kwa abiria wanaosubiri usafiri, kwani harufu inayotoka kwenye vyoo hivyo imeenea hadi...
Ilikuwa Jamuari 25, 2026 nilipoleta hapa changamoto iliyopo Stendi ya Mabasi Shinyanga, ya kutorudishiwa chenji kutoka kwa wahudumu waliopo kwenye choo Cha Stendi hiyo.
Lakini nilizungumzia pia changamoto kama hiyo iliyopo kivuko Cha abiria Kisorya Wilayani Bunda Mkoani Mara na Ukerewe Mkoani...
Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Mkanada, Kata ya Wazo, Wilaya ya Kinondoni. Kwa muda sasa, tumekuwa tukikabiliwa na kero kubwa ya kelele zinazotokana na kiwanda cha kutengeneza matofali kilichopo katika eneo letu, hali inayotunyima utulivu na kuathiri maisha yetu ya kila siku.
Mashine zinazotumika...
Anonymous
Thread
kero
kinondoni
kiwanda
kuhusu
mazingira
tofali
wakati
wakati mgumu
wazo
KERO YA BAA YA MTIPESA ILIYOPO KIMARA TEMBONI-MTAA WA SARANGA KWA MAKOFIA NDANI YA WILAYA YA UBUNGO.
Je mmiliki wa baa ya Mtipesa iliyopo Mtaa wa Saranga kwa Makofia ndani ya Wilaya ya Ubungo ana nguvu, mamlaka na haki kuliko wakazi/wananchi wote wa mtaa husika?
Wakazi wa mtaa tajwa tumekuwa na...
Anonymous
Thread
kero
kimara
ndani
saranga
ubungo
wilaya
wilaya ya ubungo
Hii tabia na namna ya utangazaji, inashusha hadhi na heshima ya Radio Maria. Utangazaji una maadili yake yanapokiukwa inakuwa Kero kwa Wasikilizaji! Nipo nasikiliza kipindi hapa inakera sana Watangazaji wa kipindi hiki wanajichekeshachekesha ujinga mtupu.
Ujumbe huu ni kwa ajili yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.