Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.
Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).
Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.
Gharama ya umeme inatarajiwa kupanda tena kwa mara nyingine kwa watumiaji wa majumbani na viwandani.
EPRA imezindua tozo mpya zitakazoongeza bei kwa takriban Sh4.16 kwa kila uniti (kWh) kwa mita zote zitakazosomwa Septemba 2026.
Ongezeko linachangiwa na tozo ya mafuta (KSh 3) na mabadiliko ya...
Taarifa kuhusu sera mpya ya madini zimeibua dhana kwamba Kenya imepiga marufuku kabisa export ya dhahabu, hivyo gold yoyote inayochimbwa nchini haiwezi tena kuuzwa nje.
Kenya imeshuka kutoka nafasi ya 127 mwaka 2025 hadi nafasi ya 132 kati ya nchi 163 katika Global Peace Index (GPI) ya 2026, kulingana na takwimu zilizotolewa na Institute for Economics & Peace (IEP). Alama ya Kenya pia imebadilika kutoka 2.392 hadi 2.447, ambapo alama ya juu inaashiria kiwango...
M-Pesa attendant mmoja Garissa alidhani anasaidiwa kufanya line upgrade. Dakika chache baadaye, line yake ilikuwa imeswap na fedha zikahamishwa kwenda account nyingine.
Polisi sasa wamemkamata Edwin Mugoi, ambaye DCI inamtuhumu kujifanya Safaricom agent na kuwalenga M-Pesa attendants katika...
Mwanaume mmoja wa Machakos aliingia kwenye ndoa ya Kamba customary akiwa ametumia zaidi ya Sh1.16 milioni, lakini ndani ya mwezi mmoja, ndoa ilikuwa imevunjika.
Alienda mahakamani akitaka si tu divorce, bali pia refund ya Sh1,169,650 aliyosema alitumia kwa mahari, mifugo, chakula, sherehe...
Chuo kikuu cha Jomo Kenyatta cha Sayansi na Teknolojia kime kataa kuwa Mbunge anaitwa Barasa sio mhitimu wa pale. Hii Autonomy yao vyuo vikuu vya Kenya nimeipenda.
Je ingekuwa hapa kwetu mbunge au kiongozi amefoji elimu yake kwenye CV vingeweza kuweka wazi ?
Kenya imepata grant kutoka Asian Infrastructure Investment Bank (AIIB) kusaidia maandalizi ya barabara ya Mau Summit–Eldoret–Malaba, project inayokadiriwa kugharimu karibu Sh130 bilioni.
Rais William Ruto amesema takriban Sh300 milioni zimepatikana kwa advanced feasibility study ya corridor...
DCI imevamia godown moja Canaan, Kasarani, na kufichua kile inachodai kuwa operesheni kubwa ya kupakia upya unga wa mahindi kwa kutumia vifungashio vinavyofanana na vya brands maarufu nchini.
Watu saba walikamatwa katika operesheni hiyo ya Septemba 15.
Ndani ya godown, detectives walipata...
Mahakama Kuu imeunga mkono sheria inayozuia Rais mstaafu kushikilia nafasi rasmi ya uongozi katika chama cha kisiasa zaidi ya miezi sita baada ya kuondoka madarakani.
Justice Lawrence Mugambi alitupilia mbali kesi iliyokuwa inapinga Section 6 ya Presidential Retirement Benefits Act, akisema...
Airtel Africa inafunga Airtel Kenya Telesonic, kampuni yake ya wholesale fibre na internet nchini Kenya, baada ya biashara hiyo kushindwa kupata revenue na kuendelea kurekodi hasara.
Financial records zinaonyesha Telesonic ilirekodi hasara ya Sh16.1 milioni mwaka 2025, kutoka Sh2.9 milioni...
Wachezaji wa zamani wa Nairobi City Stars wameibua madai kwamba bado wanadai mishahara na allowances walizopata katika msimu uliopita—takribani miezi mitatu baada ya kuahidiwa kuwa arrears zao zingelipwa.
Mmoja wa wachezaji, ambaye ameomba kutotajwa, anasema club iliwalipa mshahara wa mwezi...
Kenya sasa imerekodi visa 1,298 vya Mpox na vifo 19 katika counties 40, huku serikali ikiongeza maandalizi dhidi ya Ebola kutokana na kuendelea kwa mlipuko huo katika ukanda wa Afrika.
Takwimu za Ministry of Health zinaonyesha Mombasa ndiyo inaongoza kwa visa 452, ikifuatiwa na Nairobi yenye...
Rais William Ruto anasema serikali yake imekopa kidogo kuliko tawala zilizomtangulia.
Lakini rekodi rasmi za serikali zinaibua swali: Ikiwa tumekopa kidogo, kwa nini deni la Kenya limefika zaidi ya Sh13 trilioni?
Ruto aliingia madarakani Septemba 2022 wakati public debt ikiwa karibu Sh8.76...
Takribani Sh219.3 milioni zinaripotiwa kulipwa kama fidia ili kuikomboa meli iliyokuwa imebeba mbolea kuelekea Kenya, baada ya kutekwa na maharamia katika pwani ya Somalia kwa zaidi ya miezi minne.
Meli hiyo, MV Sward, ilitekwa Aprili 26, 2026 ikiwa njiani kuelekea Mombasa. EU Naval Force...
Kenya imesaini makubaliano ya kuagiza tani 540,000 za mahindi kutoka Zambia ili kuongeza upatikanaji wa nafaka hiyo baada ya uzalishaji wa mahindi meupe nchini Kenya kushuka hadi kiwango cha chini zaidi katika kipindi cha miaka saba. Kwa zingatio la makubaliano hayo, Zambia itauza mahindi ya...
Kumekuwa na video zinazosambazwa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa kumefanyika maandamano nchini Kenya kupinga hatua ya Serikali ya kuwaondoa wageni wanaojihusisha na biashara ndogo ndogo nchini humo.
Katikati ya mjadala unaoendelea kuhusu wageni wanaofanya kazi na biashara nchini Kenya, swali moja muhimu limejitokeza: Mgeni anapata wapi ruhusa ya kufanya kazi Kenya, na anahitaji nini?
Kwanza, kuruhusiwa kuingia Kenya hakumaanishi moja kwa moja kwamba mtu ameruhusiwa kufanya kazi au...
Mzee mmoja nchi Kenya kaunti ya Kisii amelazimika kuvunja nyumba yake baada ya madai ya Bikira Maria kutokea katika moja ya ukuta wa nyumba yake sehemu ya jiko kusababisha kufurika kwa mahujaji Wakatoliki na kuleta usumbufu na tahuriki kubwa katika makazi ya familia yake kiasi cha kushindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.