Habari wanazuoni, Leo Najaribu kutafakari juu ya;
👉Thamani ya mtu inajulikana kwa kiwango cha juhudi na ufanisi wake katika kazi,Pia tabia ya mtu na utu wake inaoneshwa vizuri zaidi kupitia jinsi anavyotekeleza majukumu yake ya kazi.
Mfano hai
1.Swali la kwanza ukweni kijana anaetaka kumposa...