kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. KERO Tunauziwa maji machafu! DAWASA wote wafukuzwe kazi. Kuanzia Wafanyakazi hadi Bodi

    Nini hiki? Mtasema AI.
  2. Hii kazi ya Customer Care inabidi uwe na Uvumilivu wa hali ya juu

    Nawaonea sana huruma watu wanaofanya kazi kitengo cha customer care. Hawa watu wanabeba lawama za Mataasisi na Maofisi. Mteja anapiga simu anaporomosha matusi, kejeli na lawama kibao. Alafu unakuta huyo mteja ndio mwenye kosa. Mimi nimewai kuona Boyfriend wa mteja alikopa pesa kwenye App...
  3. H

    Kiswahili siyo tu kwamba ni lugha rasmi ya kazi katika mikutano ya Umoja wa Afrika, Jumuiya ya Afrika Mashariki, SADC, UNESCO na taasisi nyingine kubw

    Kiswahili siyo tu kwamba ni lugha rasmi ya kazi katika mikutano ya Umoja wa Afrika, Jumuiya ya Afrika Mashariki, SADC, UNESCO na taasisi nyingine kubwa za kimataifa bali kwa miongo kadhaa, imekuwa ikifundishwa kwa ufahari katika taasisi za kitaaluma za hapa Urusi - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck...
  4. K

    Amepata kazi lodge vipi nimruhusu?

    Wadau kwema aisee nimeona nije nijieleze tu maana maji yamenifika shingoni. Maisha yamekuwa magumu sana kwa upande wetu. Na kama mjuavyo kazi ni kazi tu ili mradi unaingiza chochote kitu vipi nimruhusu? Nashindwa kwelewa
  5. Tuwe na subira,tungoje kwanza tume zimalize kazi zake,ndipo tuanze kulaumu.

    Watanzania wa mrengo ule,wamekuwa wakitupa lawama sana kwa serekali yetu tukufu,juu ya uwajibikaji wake juu ya yale yalitokea 2025 Oktober, At the same time vipo vyombo mahsusi ambavyo bado vinashughulikia suala hili kwa kina na umakini mkubwa katika kupata last solution of the matter...
  6. Sasa kama nyinyi wafuasi wa CHADEMA siyo magaidi, huko nje mnafanya nini na hamna kazi, zaidi ya kukesha mitandaoni 24Hrs mnatutukana sisi Watanzania

    Hebu semeni nyie wafuasi wa CHADEMA nini kinawafanya muondoke nchini kimagendo mbona ss hatuondoki na tuna enjoy tu maisha. Kwanin mkimbie nchi ili hali hakuna anayewafukuza? Jibu ni Moja tu . Mnaondoka kwasababu mnajijua kuwa nyie ni kikundi cha kigaidi kwahyo mnakimbia mkono wa Sheria...
  7. Rais amebakiza miaka mitatu, ya kazi na wa nne ni wa uchaguzi, tuvumilie hili nalo litapita

    Miaka miwili na siku 364 zimebaki
  8. F

    Napinga hoja ya kuwaombea wafu, maombi hayo hayafanyiwi kazi

    Hello! Naomba nieleweke wazi kuwa, mimi binafsi nalaani vikali kitendo cha kuua watu Kwa risasi za moto Kwa sababu za kijinga kwamba unalinda mali za unaowaua,ambapo ilikuwa inawezekana kuzuia hayo yasitokee Kwa kusikiliza hoja zao na kuzifanyia kazi. Sasa twende kwenye mada, wafu hawaombewi...
  9. OpenAI Imezindua GPT-6.1 Terra: AI Model yenye Kasi na Bei Nafuu kwa Kazi za Kila Siku

    Kwa Ufupi ni Kwamba : OpenAI imezindua GPT-6.1 Terra, model ya ukubwa wa kati inayolenga kazi za kawaida za kompyuta kama kuandika, coding na kuendesha programu za kompyuta (computer use). Gharama zake zimeshushwa karibia nusu ukilinganisha na GPT-5.6 Terra. Inapatikana sasa kwa watumiaji wa...
  10. Microsoft Yatoa Ofa ya Kuacha Kazi kwa Hiari kwa Wafanyakazi 60,000 Huku AI Ikichochea Ufanisi

    Mambo Muhimu Takriban wafanyakazi 60,000 wa Microsoft wanastahili kujiunga na mpango mpya wa kuacha kazi kwa hiari (buyout) katika nchi nne(Marekani, Kanada, India na Uingereza) Hatua hii inakuja miezi sita baada ya Microsoft kutangaza mpango wake wa kwanza kabisa wa kustaafu kwa hiari kwa...
  11. Nafasi za kazi UAE, omba sasa kama vigezo unavyo

    📢 TANGAZO LA AJIRA ABU DHABI – UAE 🇹🇿 CHAMA CHA MAFUNDI TANZANIA (CMT) CMT inawatangazia mafundi wote fursa za ajira nchini Abu Dhabi ⚠️ MUHIMU SANA: Kigezo namba moja ni kuhakikisha umejiunga na mfumo wetu wa chama kupitia www.cmt.co.tz .Kama bado hujajiunga hujachelewa bado jiunge leo na...
  12. Wafuasi wa Samia Suluhu wangemuiga Hussein Bashe, wasingekuwa wanamwaga damu ya Binadamu

    Kinacho sababisha watu kuteka binadamu, kuua ni Umasikini. Yaani Matajiri wanatumia pesa zao kuwapa Masikini ili wamwage damu za masikini wenzao na hao Masikini wanaoua wenzao, wanajisifu kwa kumwaga damu ya Binadamu fukara mwenzao ili kumfurahisha Mtawala/ tajiri alowatuma. Yaani masikini...
  13. Mfumo wa kukata tiketi za SGR online uko chini (haufanyi kazi) kwa zaidi ya saa 20 sasa

    Najaribu kukata tiketi ya treni ya SGR lakini tangia jana usiku mfumo haufanyi kazi ,nilitegemea nikiamka nitakuta mfumo umerekebishwa ila cha ajabu mpaka wakati huu hali bado ni ile ile na TRC hawajatoa tamko lolote mpaka sasa. Hili shirika linafikirisha sana kuhusu uendeshaji wake 🚮
  14. Mh.Waziri Aweso Mfute Kazi Meneja Wa MWAUWASA.

    Mwanza. Naandika jambo hili nikiwa na hasira sana,juu ya kero ya maji katika jiji la Mwanza.Sote tunafahamu Jiji hili lina chanzo cha uhakika cha maji (Ziwa Viktoria) Sasa huu ukosefu wa maji kwenye baadhi ya maeneo unasababishwa na nini ? Si Machweo si Mawio,naona watoto wakiume nawa kike...
  15. W

    Mkasa wa Eastleigh wageuka jukwaa la Mosiria kung’ara baada ya kufutwa kazi na Gavana Sakaja wa Nairobi

    Tukio la kuporomoka kwa jengo lililokuwa likijengwa katika mtaa wa Eastleigh, Nairobi, limeibua mjadala mwingine baada ya aliyekuwa Afisa Mkuu wa Ushirikishwaji wa Umma, Ushirikishwaji wa Wananchi na Huduma kwa Wateja katika Kaunti ya Nairobi, Geoffrey Mosiria kufika eneo la mkasa na kupokelewa...
  16. D

    DOKEZO Halmashauri ziangalie Vijana wanaojitolea Vituo vya Afya, wanafanyakazi nzuri lakini wana hali ngumu

    Kuna changamoto kuhusu utekelezaji wa mikataba ya watumishi wa afya chini ya TAMISEMI iliyotolewa mwaka 2025, ambapo baadhi ya watumishi wanalipwa kiasi cha shilingi 100,000 kwa mwezi, huku kukiwa na malalamiko kuhusu kutokuwepo kwa usawa katika malipo ya kazi za ziada (overtime). Baadhi ya...
  17. Pambalu utaiondoaje serikali ya CCM bila kushiriki uchaguzi wa October 29, 2025?, Kazi unayo

    Hebu tutafakari kidogo tu. Chadema walisusa kushiriki uchaguzi wa 2025. Pambalu kwenye hotuba yake kasema kuwa nia yao chadema ni kuiondoa serikali ya CCM madarakani ili wapate mabadiliko ya kweli. Utawezaje kuiondoa serikali ya CCM madarakani bila kushiriki uchaguzi?. Pambalu anayo njia gani...
  18. Dada wa kazi anahitajika Dar.

    Anahitajika dada wa kazi eneo la kazi ni dar es Salaam Umri 18-25 Mshahara 80,000 kwa mwezi Majukumu ni kupika, usafi wa nyumba na kufua basi. Nyumba haina mtoto. Kwa mawasiliano piga 0695830863
  19. Nafasi ya kazi: dereva wa malori (Truck driver)

    NAFASI YA KAZI: DEREVA WA MALORI (TRUCK DRIVER) Kampuni: Multflex General Supplies Limited Mahali pa Kazi: Mwanza, Tanzania Idara: Usafirishaji na Usambazaji (Transport & Logistics) Aina ya Kazi: Ajira ya Muda Wote (Full-Time) Barua Pepe ya Maombi: hr@multflexgeneralsupply.co.tz Kuhusu Kampuni...
  20. A

    HOJA Wafungwa wanaruhusiwa kufanya kazi kwenye kampuni binafsi?

    Wafungwa wanaruhusiwa kufanya kazi kwenye kampuni binafsi? Hiyo kampuni ipo kilosa inaitwa CHINA ESTATE FARM NAOMBA KUELEWESHA WANAWASIMAMISHA WAFANYAKAZI WAO KAZI WANAWAAJILI WAFUNGWA NA ZILE HELA ZA MSHAHARA ANACHUKUA NANI???
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…