kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Naomba Nafasi ya internship.

    Habari viongozi, nimesoma Accounting with IT nimemaliza mwaka jana, nlikua natafuta sehemu nayoweza kufanya internship kusharpen skills. Kama kuna nafasi sehemu tupeane Deals
  2. Nataka kuanza safari yangu ya kuwa Data analyst unanishauri nini katika safari yangu?

    Habari zenu Mabro Mda mrefu sana nimekuwa namatani hii kitu sasa huu mwaka nimedhamiria kabisa niongeze hii skills ya data analysis Ili nikitoboa hili jalamba la Degree hapa niwe vyema kote kote Mwaka huu nimeugawanya katika quarter 4 kila quarter moja najifunza Skills moja na niliyopanga...
  3. J

    Je ni dhambi kufanya kazi ya udalali?

    Je ni dhambi kufanya kazi ya udalali? Udalali ni nini Dalali ni mtu anayeuza kitu kwa niaba ya mwingine na kisha kuchukua asilimia fulani ya faida ya kile kilichouzwa. Dalali pia anaweza kuwa mtu mwenye kutafuta soko la bidhaa ya mtu mwingine na kisha kuchukua asilimia ya faida inayopatikana...
  4. 2026 Natafuta kazi bado sijapata wakuu

    Nipo Arusha, Naombeni connection yeyote tafadhali 🙏🏽
  5. Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

    Hello members Naomba kushare nafasi mbalimbali za kazi ninazokutana nazo huko mitandaoni, sihusiki directly ila naona wahitaji ni wengi na mnaoniulizia ni wengi pia. I hope hii itawasaidia wahitaji. Best Regards, Seran🖤
  6. Msichana anaomba kazi yoyote halali

    Habar wapendwa Kuna huyu dada angu ana miaka 25 Elimu kidato cha one Amesomea utalii ngazi ya certificate Anaomba muamsaidie kazi yoyote halali ambayo anaweza kujiingizia kipato Anapatikana moshi kilimanjaro Anaweza kufanya kazi mahali popote yupo tayar Mawasiliano+255760119470
  7. R

    Mwigulu: Aliyeharibu asihamishwe afukuzwe kazi, hizi ni fedha za watanzania wanajibana

    "Inawezekana watu wanakuwa na ujasisri namna hiyo kwa sababu wanajua watukuwa protected mnawezaje kuwa na ujasiri wa kupindisha uamuzi kwa kiwango hicho. Nimeambiwa hawa watu wako kazini mpaka sasa kwaiyo yanakuja maneno hayo hayo kwmaba ni maneno ya wanasiasa. Sasa naelekeza hawa wasimamishwe...
  8. Maeneo makuu ya kazi ya usalama wa taifa

    Kazi kuu ya usalama wa taifa ni kukusanya na kuchambua habari za kiusalama Kuna maeneo makuu manne ambayo yanafanywa usalama wa taifa 1. Ujasusi Inahusu ukusanyaji wa taarifa za kiusalama nje ya nchi hususani nchi adui. Usalama wa taifa huwa wanatumwa kimkakati kwenda nchi fulani ambayo hua...
  9. A

    KERO Halmashauri ya Masasi – Mtwara haijawalipa Watendaji wa Vijiji waliosimamishwa kazi tangu Awamu ya 5

    Halmashauri ya Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara haijawalipa Watendaji wa Vijiji waliosimamishwa kazi kipindi cha Serikali ya Awamu ya 5 kutokana na suala la vigezo vya elimu. Tumefanya jitihada kuwasiliana na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo kwa njia ya WhatsApp lakini hajajibu badala yake amedai...
  10. A

    KERO Elimu bure lakini Shule ya Nyampulukano – Sengerema kuna upigaji mkubwa. TAKUKURU walifanya kazi yao, 'wakapozwa' wakaingia 'mitini'

    Shule ya Secondary Nyampulukano iliyopo Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza ili kupata nafasi ya kuhamia pale au kwa Wanafunzi wanaoanza kidato cha kwanza wanatozwa Tsh. 320,000 au unapeleka mifuko 10 ya saruji pamoja na Nondo nne, kitu ambacho ni kinyume kabisa na utaratibu wa elimu bila malipo...
  11. Nina ADO naomba kazi ya kuuza pharmacy au NURSE kwa Dispensary

    Heri ya mwaka mpya wana JF, kwa mwenye uhitaji wa mtu wa kuuza pharmacy au NURSE anicheki, nina cheti cha ADO na nimesoma Medical Attendant, nina uzoefu mkubwa wa hizo kazi zote zilizomention hapo juu, mawasiliano yangu 0672498183, KITUO CHA KAZI KIWE DAR ES SALAAM, asanteni
  12. Jaji Mkuu: Mahakama haiwezi kuwa huru kama Watendaji wake hawana uhakika wa mishahara na mazingira bora ya kazi

    Jaji Mkuu George Mcheche Masaju amezungumzia kuhusu maslahi ya Watendajiw a Mahakama mbele ya Rais Samia Suluhu ambaye anafungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, leo Januari 13, 2026.
  13. TEMESA: Kivuko MV Kazi kuanza kutoa huduma leo Januari 13, 2026 baada ya ukarabati kukamilika

    Serikali imetangaza kuwa Kivuko cha MV Kazi kitaanza rasmi kutoa huduma mchana wa leo Januari 13, 2026 baada ya kukamilika kwa ukarabati wake, hatua inayolenga kurejesha usafiri wa uhakika kwa Wananchi wanaotumia feri ya Kigamboni na Kivukoni. Akizungumza jijini Dar es Salaam, jana Januari 12...
  14. Tanzania tunavyombo vya kuzuia WIZI, havifanyi KAZI analaumiwa Dr Samia ambaye hata course ya Umumugambo Hana so stupid.

    Rais Samia sidhani kama hata course ya Umumugambo anayo lakini analaumiwa. Nchi kila sehemu Ina vijitu vinatwa usalama wa taifa Nyerere aliviwekega mpaka barabarani na vilifanya KAZI nzuri sana , Tuna polisi ofkozi Hawa wapo vituoni kwao hawaingiii hata OFISI yoyote ningumu kujua kama IKULU...
  15. A

    TANGAZO LA KAZI

    Anaitajika mfanyakazi mwenye taalum izi Diploma ya business management Diploma ya business handling Social skills Market idea na usafi KAZI ni ya mini super market pamoja na butcher ivyo awe na idea ya kutunza nyama na samaki pia awe anaweza ku park vizur number ya sim 0763390302 Mwisho wa...
  16. A

    Tangazo la kazi

    Anahitajika mfanyakazi mwenye taaluma zifuatazo: Diploma ya business management Diploma ya business handling Social skills Uelewa wa masoko na usafi Kazi ni ya mini supermarket pamoja na butcher, hivyo mwombaji awe na uelewa wa kutunza nyama na samaki na awe anaweza ku-pack vizuri...
  17. A

    KERO Baraza la Uuguzi na Ukunga (TNMC) halijanitendea haki, nimeachishwa kazi, familia yangu inateseka

    Mimi naitwa Matson Mathias Ngonyani ni Baba wa Watoto wanne na nina ulemavu wa masikio, kitaaluma ni Afisa Muuguzi niliajiriwa na Wizara ya Afya Mwaka 2019 kisha nikahamishiwa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) kwa mpango wa kuazimwa Mwaka 2021. Nilipohamia Dodoma katika Ofisi ya TNMC...
  18. Padri ahoji Je hii ndio Kazi na Utu? Alihesabu miili 13 ya waliouawa MO29 mbele ya Kanisa

    Kwa nini ionekane ni kosa kwa Kanisa kukemea mauaji? Kwani nini
  19. Dkt. Bashiru anapata wapi ujasiri wa kufanya kazi na serikali hii ili hali Polepole haijulikani alipo!

    Dk Bashiru Kakulwa alituaminisha kuwa mmoja wa watu ambao hawataki siasa za kihuni. Nashangaa sana kumuona ameungana na wahuni wa CCM kiasi cha kutokuwa na huzuni juu ya kilichompata Humphrey Polepole. Au ndio amendekeza njaa na kuungana na wahuni? Hyocrites pharisees
  20. Wizi kila kona, watanzania kazi wanayo

    Kila kona wizi,huko mwalimu Nyerere watoto wamepata 100% ya mkopo na ada wanalipiwa yote ila wameambiwa lazima walipe ada ya awali. Wamefanya medical examination za uhakika huko walikotoka lakini wamefika chuo wanaambiwa walipe hela chuoni then fomu tu inajazwa bila vipimo. Aloo hili li-nchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…