kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Natamani kuacha kazi ila sijui nitaanzia wapi

    Wakuu sina amani kabisa na hii kazi ninayoifanya natamani kuacha kazi kabisa unapata sifa kubwa kwa kuwahudumia wagonjwa na kuwatibu lakini mifuko iko empty no allowance za kueleweka hauthaminiwi,ukifanya msala watu mzima inakugeukia wewe hasa hasa WaTanzania walivyowanafiki na hila. Unafanya...
  2. D

    Ninaomba kazi yoyote nipo dar es salaam nina degree ya petroleum chemistry

    Habari za wakati huu na samahani ,nilikuwa naomba kama naweza pata kazi ambayo itanisaidia kwa namna moja ama nyingine kikubwa iwe ya halali nipo dar es saam na pia nina uzoefu wa kufanya kazi maabara na kiwandani elimu yangu ni degree .msaada🙏🏻🙏🏻tafadhali Namba yangu ni 0798449559
  3. T

    Kabila/Mkoa wako haushobokei kazi licha ya wasomi rundo na wanafanya kazi kwenye taasisi nyeti

    https://youtu.be/EpVJwcWzFao?si=q5OWMvW-6moza26v
  4. Kikao kazi

    Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Kaspar Mmuya akiwa katika kikao kazi na wataalamu wa sekta ya Ardhi wa Mkoa wa Dodoma, kilichofanyika tarehe 18 Novemba 2026 jijini Dodoma.
  5. Kikao kazi

    Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu, Bi. Salome Cyril Kessy, akizungumza wakati wa kikao cha Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na wataalamu wa sekta ya Ardhi wa Mkoa wa Dodoma, kilichofanyika tarehe 18 Novemba 2026 jijini Dodoma.
  6. Jinsi Hati Fungani (Treasury Bills & Bonds) Zinavyofanya Kazi

    Kuna usemi unasema "Serikali ina hela", lakini je, unajua kwamba unaweza kuikopesha Serikali hizo hela zako na ikakulipa faida nzuri tu, na kwa usalama mkubwa? Hii inafanyika kupitia kitu kinachoitwa Treasury Bills (T-Bills) na Treasury Bonds. https://youtu.be/CiVSpA24V8Y Kwenye uchambuzi mpya...
  7. B

    Websites 10 bora za kutafuta kazi tanzania kwa ufanisi

    Tovuti 10 Bora za Kutafuta Kazi Tanzania (2026) Kupata kazi nchini Tanzania kunaweza kuwa changamoto, hasa kwa wahitimu wapya wa vyuo, wataalamu wenye uzoefu na watu wanaotafuta fursa bora za maendeleo ya kitaaluma. Kwa bahati nzuri, kuna majukwaa mbalimbali ya mtandaoni yanayowasaidia watafuta...
  8. B

    Tovuti 10 bora za kutafuta kazi tanzania

    Tovuti 10 Bora za Kutafuta Kazi Tanzania (2026) Kupata kazi nchini Tanzania kunaweza kuwa changamoto, hasa kwa wahitimu wapya wa vyuo, wataalamu wenye uzoefu na watu wanaotafuta fursa bora za maendeleo ya kitaaluma. Kwa bahati nzuri, kuna majukwaa mbalimbali ya mtandaoni yanayowasaidia watafuta...
  9. C

    Natafuta kazi za saidia fundi

    Wakuu habari za muda, nimekuja kwaajili ya kutafuta kazi za usaidizi wa fundi kwenye ujenzi, tiles, umeme nk. hapo kwenye umeme mimi ni fundi professional kwaiyo wewe kama fundi hapo nitakusaidia kwa uprofessional kabisa. 📍Dodoma, Makulu
  10. Hata kama una Degree/Masters: kama huna kazi jitahidi uwe na CV hizi ili angalau maisha yaende. Sio dhambi kujishusha kwa muda.

    Hata kama unadegree na huna kazi. Jitahidi uwe na CV pembeni ya -STD 7. -ya Form 4. -ya Form 6 au Diploma. Maisha hayajanyooka kama unavyodhani. Wakati unasubiri kazi au biashara ya ndoto lazima uishi. Kuishi inabidi uwe tayari kwa lolote. Kuna jamaa aliitwa Interview akasweka vyeti vyote. CV...
  11. Usipompiga mkuyenge binti wa kazi jitahudi kumpa off kila weekend atoke out vinginevyo unampoteza

    Mtu umebahatika kupata mdada mchapa kazi, mrefu, mweusi tii ana dimpoz kiuno chembamba shape matata halafu unamfanyisha kazi bila kumpa off hata 1 kila wiki unategemea nini? Kibaya zaidi humpigi mkuyenge unategemea atapunguza vipi genye zake?
  12. C

    Tetesi: Baraza la Mawaziri 2030 kusheheni vijana wa kazi wanaojua siasa.

    Waziri 2030 tulidhani hii kazi haipo CCM - Ndani ya Balaza La Mawaziri
  13. T

    Dada wa kazi anahitajika Dar

    BINTI WA KAZI ANAHITAJIKA, DAR ES SALAAM , - Umri Miaka 19-26 -Majukumu yote ya nyumbani -Elimu yoyote Ajue kusoma Mawasiliano PIGA O726441506
  14. U

    Kadinali Angel Arcebi mwenye umri wa miaka 101 anaendelea kuchapa kazi kama kawaida

    THIS IS THE OLDEST LIVING CARDINAL IN THE WORLD Meet Cardinal Angelo Acerbi of Italy, currently the oldest living member of the College of Cardinals in the Catholic Church. Born on September 23, 1925, Cardinal Acerbi is now 101 years old! But his story is not just about longevity. He was...
  15. T

    Waziri mkuu anatumia nguvu nyingi kuaminisha umma kuwa anafanya kazi ila mpaka sasa mwaka na zaidi nani kaona jambo kubwa amelifanya!?

    Sijui kama ni mimi tu nashindwa kuelewa mambo au ni kitu gani Nimeona mahali mahali watu wanampongeza waziri mkuu kwa kufikisha mwaka mmoja wa uwaziri mkuu na hata huko njombe nimemsikia mbunge mmoja kampugia hadi magoti waziri mkuu, ila kwa upande wangu eti uniulize ni jambo gani ambalo...
  16. Costa Rica:fursa za kazi na maisha

    ningependa kufahamu fursa zilizopo nchini humo, hasa za ajira katika fani za uhandisi (Engineering). Je, ni rahisi kwa Mtanzania kupata kazi au huko? Lugha ya Kihispania ni kikwazo kwa mtu anayezungumza Kiingereza? Vipi kuhusu gharama za maisha na taratibu za kuhamia? Kama kuna Mtanzania...
  17. E

    Inakuwaje mtu anafanya kazi ya kuajiriwa maisha yake yote?

    你好,你们好吗? Wadau sipingi ajira,hata mimi nimewai kuajiriwa,na ajira ndiyo source ya mtaji wa kuanzia biashara kwa mtu ambaye hana cha kuanzia.Kinacho nishangaza ni inawezekanaje mtu anaajiriwa akiwa na umri wa miaka 25 mpaka anafikia umri wa kustaafu miaka 60 kakomaa tu na ajira? Hivi huyu mtu...
  18. O

    CBC Kenya: Kila Mzazi Anapaswa Kuelewa Nini Kuhusu Mfumo Huu?

    Mfumo wa elimu wa Competency-Based Curriculum (CBC), unaojulikana pia kama Competency-Based Education (CBE), ulianzishwa nchini Kenya mwaka 2017 kuchukua nafasi ya mfumo wa zamani wa 8-4-4. Mfumo huu unalenga kumsaidia mwanafunzi kupata maarifa, kukuza vipaji na kujifunza ujuzi anaoweza kutumia...
  19. Mheshimiwa Deogratius Ndejembi anapiga kazi kwelikweli

    Nafuatilia ziara za Makamu wa Rais kwa kweli anapiga kazi ya maana sanaa hadi wale waliokua wanashaka naye wameanza kumkubali.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…