kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Uzi maalumu kwa vijana wa kuomba kazi TAKUKURU

    Wakuu nafasi zimetoka 500 kwa bachelor na diploma naomba Uzi huu uwe maalumu kupeana abc za taratibu za kuomba ajira nk
  2. Tangazo la nafasi za kazi TAKUKURU

    Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba kuajiriwa nafasi za kazi katika ofisi za TAKUKURU Wilaya kama inavyoonekana hapo chini: 1.0 AFISA UCHUNGUZI (NAFASI 250) 1.1 Sifa za Mwombaji: 1.2 Sifa za Kitaaluma: Muombaji awe...
  3. Mna uhakika Rais Samia amesomea uchumi kweli?

    Huyu mama hata hesabu za darasa la pili zinamshinda Hivi kweli nusu ya laki moja ni 556? Hebu msikilizeni wenyewe Na bado anaendelea kukopa na hajui hata kuchagua maneno ya busara ya kujustify upuuzi wake Juzi tu katuambia Marekani mafuta lita moja ni dola 8000 sawa na Tsh milioni 20 😂😂...
  4. Natafuta kazi, nina BSc Chemistry

    Habari Wana jf. Mimi ni mwajiriwa kutokana na maslahi madogo natafuta kazi field ya chemistry. Nina uzoefu kwenye steel industry mwaka mmoja na nusu.
  5. M

    Naombeni kazi yoyote ya Kariakoo kama ya kuuza duka

    Habarini nilikua naombeni kazi yoyote ya kariakoo kama ya kuuza duka, kupeleka mizigo ,kutumwa hapa na pale ili nipate chochote kama utawezq kuniunganisha pia nitashukuru sana
  6. Inakuaje vijana Wamarekani hawana hamasa na kazi za jeshi Marekani?

    Jinsi ambavyo huwa naona hapa bongo watu wanavyogombania kazi za jeshini hadi wengine wanahonga, wanaenda kwa vimemo na wengine kutapeliwa huwa nashangaa sana jinsi jeshi la Marekani linvyoshindwa kufikia malengo yake ya kuajiri wanajeshi wapya hadi inabidi kubembeleza watu au kushusha vigezo...
  7. Tuliopata kazi na kupangiwa Halmashauri njooni tushauriane

    Habari wakuu! Naomba kujua changamoto ya kufanya kazi halmashauri ambazo ziko chini ya TAMISEMI na kushauriana namna ya kuukwepa umasikini kwa kupeana michongo ya fursa mbalimbali. Ahsante.
  8. Maombi ya Kazi

    Ndugu wana JF na yeyote atakaeona uzi huu, Kwa unyenyekevu mkubwa naomba kuleta kwenu ombi kwa anaefahamu au mwenye connection au umesikia sehemu kuna nafasi za kazi naomba nina vijana wangu wawili wamemaliza masomo yao (Bachelor degree) Mmoja ya Project Management na mwingine ya Urban...
  9. JF tuanzishe mpango wa kuwapa au kuwatafutia kazi za kufanya. Sasa inakuaje mtu yupo online JF masaa yote 24/7. Kazi anafanya saa ngapi?

    Kichwa cha habari kinajieleza chenyewe, sina mudi ya kuandika sana Kuna watu humu muda wote wapo online tu wanacomment sasa muda wa kufanya kazi wao wanautoa wapi jamani Kuna mengi sana yananishangaza mno na bado yanakuja chafya ngumu min -me
  10. G

    Binafsi niwapongeze Pro Iran wanafanya kazi ngumu sana kutetea Iran ambayo hata intelligence inashindwa kulinda mkuu wa Intelligence

    Kiukweli Iran imewangusha sana wafuasi wake kote duniani Kwa aibu kubwa aliyoipata ya kushindwa kulinda viongozi wao Wanazidiwa hadi na mchwa wanaolinda Malkia wao Kwa gharama kubwa Pili intelligence Yao imeonyesha udhaifu mkubwa Hongereni sana team Iran mmeamua kufa na tai shingoni msife...
  11. SI KWELI John Heche nikiteuliwa kuwa CAG nitashauri sekta zenye hasara kufanya kazi bila usimamizi

    Kumekuwepo na machapisho kadhaa yanayosambazwa kwenye kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii hususani facebook kufuatia kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche, alipozungumza na vyombo vya habari. Mojawapo ya machapisho hayo linadai kuwa amesema:
  12. A

    KERO Nimefanya kazi Kampuni ya Wachina kwa miaka 10 bila mkataba, wameniondoa kazini bila kosa lolote, nafanyaje kupata stahiki zangu?

    Mimi nilikuwa Mfanyakazi kwenye kampuni ya Wachina inayojihusisha na michezo ya kubahatisha inaitwa BONANZA, ni kampuni maarufu sana na huenda ikawa ya kwanza kuingia nchini, nimefanya kazi takribani miaka 10 na bila mkataba wowote. Niliahidiwa kusainishwa mkataba kila siku zinapoenda mwisho wa...
  13. Mwanaume wa sasa Bongo ukiwa huna kazi na biashara imefeli utashambuliwa kwa uvivu na maneno makali na nchi nzima

    Mazungumzo ya wachungaji, mashehe, wanasiasa ni kana kwamba mwanaume kukoswa pesa ni jambo la kujitakia na uzembe. Mtu wa namna hii hupuuzwa na kushambuliwa kama ni mvivu hata kama ni kipindi cha mpito anapitia. Hii tabia inawaweka wanaume wenye changamoto za kiuchumi katika hali ngumu sana...
  14. I

    Mayahudi wanamuambia Amerika kaa kando...hii kazi tuachie sisi. Kinawaka kwa Magaidi wa IRGC

    Hii haina kuomba poo. https://www.instagram.com/p/DWuEMZgkncp/?igsh=b3RiYzgyYmpuaTl0
  15. Hivi kwanini watanzania wengi wanapenda kuombea ama kusali kwa kitu wanachoweza kukifanyia kazi?

    Hapa namaanisha kwamba. Unakuta mtu anamikono na miguu na ana afya njema kabisa, lakini mtu huyo anatoka kwenda kusugua makoti kwenye nyumba ya ibada ili tu amuombe Mungu amshushie rizki, sasa.... unawezaje kupata rizki kama haufanyi kazi? Huu ni mfano wa kwanza, lakini kuna midano miiingi...
  16. Kuacha kazi kwa ajili ya ndoto zako ni ujasiri au ujinga !

    Kuacha kazi kwa ajili ya ndoto zako ni ujasiri au ujinga !
  17. Nafasi za kazi ya Udereva Grade II 340 - Mwisho tar 4 April, 2026!

    Natumaini kila mwenye sifa au ndugu mwenye sifa amfikishie taarifa. Nafasi 340+ ni nyingi sana. Probability ya kupata ni kubwa. Ajira Portal afanye Application
  18. R

    UPDATE: Trump amfuta kazi Mwanasheria Mkuu Pam Bondi kwa kutoridhishwa na utendaji wake wa kazi na alivyoshughulikia faili za Epstein

    Kupitia Mtanadao wake wa Truth Social Rais Donald Trump alitangaza kumuondoa Mwanasheria Mkuu Pam Bondi kwenye nafasi hiyo akisema atamuamisha kwenye nafasi nyingine ya sekta binafsi, akimsifia kama rafiki mzuri na Mzalendo Trump alieleza kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu, Todd Blanche, ambaye...
  19. IT and communication officer, ni muhimili Mkuu wa Taasisi yoyote hasa katika Wakati huu wa kidigitali

    Habari ya wakati huu, IT and Communication Officer ni Mtu wa muhimu sana kwenye Taasisi yoyote hasa katika ulimwengu wa Sasa wa teknoligia IT and communication Officer anafanya Kazi Kama Usimamizi wa mifumo ya komputa, Usimamizi wa mtandao(networking), Usalama wa Taarifa, IT support, Kuratibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…