kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Kurejea kwa Vitendo vya Uhalifu. Rais wangu Samia acha polisi wafanye kazi

    Hivi karibuni kumetokea kuongezeka kwa vitendo vya kihalifu hasa katika jiji la Dar es Salaam. Leo hii kwenye taarifa ya habari imetangazwa kuwa wahalifu hawa wameua mtu mmoja eneo la Kawe. Haya yanatokea kukiwa kumemalizika kikao cha wakuu wa polisi ambapo Rais Samia aliwaeleza mambo mengi...
  2. Zaidi ya wafanyakazi 150 wapoteza kazi baada ya kusitishwa ujenzi wa hoteli

    Wafanyakazi 150 wa Mradi wa ujenzi wa hoteli ya nyota tano Blue Amber, wamepoteza kazi baada ya Wizara ya Ardhi kusitisha mkataba wa ukodishaji ardhi kwa Kampuni ya Pennyroyal Zanzibar licha ya kuwapo amri ya Mahakama ya kutaka ujenzi kuendelea. Wakizungumza na waandishi wa habari, wafanyakazi...
  3. Ushauri KWA Tundu Lisu;-Samehe yote,Rudi nyumbani,ujumuishwe kwenye kikosi kazi cha mkandala mchango wako ni muhimu,Muda wa kukaa ughaibuni umeisha!

    Wazalendo wote popote mlipo!nitumieni ujumbe huu kwa ndugu yetu Tundu lisu,Taifa lako linahitaji uchapakazi wako na taaluma YAKO ya sheria, sahau yote na urudi NYUMBANI ufanye kazi ya kulijenga Taifa lako Tanzania. Team yenye Warioba ndani yake,Tundu Lisu,Mkandala na wadau wengine ni team nzuri...
  4. Hizi ni kazi ambazo zilikuwa zinaheshimika zamani lakini kwa sasa zinachukuliwa poa

    Kwangu mimi nimetupia jicho kwenye hizi mbili, nawe waweza kuongeza zingine... 1. Waandishi wa habari na watangazaji - Zamani hii kazi ilikuwa na heshima sana nadhani kwasababu wahusika wengi walikuwa na taaluma makhsusi na kupitia training, Kwa sasa kazi hii imevamiwa na vijana wengi ambao...
  5. DOKEZO Hela za kujikimu kwa waajiriwa wapya ziko wapi 2022

    Wakuu uzima upo kwenu? Leo niseme kero tuliyo nayo waajiriwa wapya wa ajira za afya kwa mwaka 2022. Viongozi wetu mbona hatuwaelewi inakuaje mtu aliye pangwa kituo cha kazi toka mwezi wa 6 mpaka leo hajapewa pesa ya kujikimu? Kuna mikoa kama Kagera kuna wilaya bado hatujapewa hela za kujikimu...
  6. Ripoti UN: Watu Milioni 50 wapo kwenye ndoa na kazi za kulazimishwa

    Utafiti uliofanywa na Mashirika ya Umoja wa Mataifa ya Kazi, Uhamiaji na Walk Free Foundation umebaini kuwa hadi mwaka 2021, watu milioni 28 walikwama kwenye kazi za kulazimishwa huku milioni 22 wakiishi kwenye ndoa kwa kulazimishwa. Mkurugenzi wa Shirika la Kazi Duniani (ILO) Guy Ryder...
  7. Natafuta kazi, nina cheti cheti cha Kidato cha Nne

    Habari za wakati huu Wana JamiiForums wote. Naitwa Peter John, Nina umri wa miaka 20, nimehitimu kidato cha nne mwaka 2020 na kupata ufaulu wa daraja la 2. Natafuta kazi yoyote ya halali Kama vile kazi za viwandani, usafi maofisini/nyumbani ama yoyote ile ya halali Nipo Dar es Salaam, maeneo...
  8. Kwanini Polisi wameanza kufanya kazi za Trafiki?

    Tofauti na tulivyozoea, polisi kitengo cha trafiki wenye uniform nyeupe ndio wawe wanashugulika na mambo ya magari, kwa sasa polisi wa vitengo vingine wanaingia barabarani kufanya kazi za matrafiki. Mbaya zaidi inaonekana wazi lengo ni kucheza mchezo uleule wa matrafiki!
  9. J

    Karagwe: Waziri Aweso amsimamisha kazi Meneja wa RUWASA kwa kushindwa kusimamia miradi

    WAZIRI AWESO AMSIMAMISHA KAZI MENEJA WA RUWASA KARAGWE KWA KUSHINDWA KUSIMAMIA MIRADI Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso amemsimamisha Kazi Meneja wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijini RUWASA wilaya Karagwe, Mhandisi Magai Kakuru kwa kushindwa kusimamia miradi ya Maji inayoendelea...
  10. Natafuta kazi yoyote ya halali, nimesoma Stashahada ya Ualimu Chemistry na Biology. Naweza fundisha Sekondari na Msingi

    Kama kuna mtu anahitaji mtu wa kufanya kazi yoyote ya halali, nipo hapa napatikana mkoa wa Arusha. Kwa yeyote mwenye connection ata Dar es Salaam naweza kuja kama kuna mwenye kazi tafadhali.
  11. Nini kilikufanya ukimbie kazi/kibarua chako cha zamani?

    Nilipata kazi baada ya msoto wa miezi kama mitatu hivi lakini hiyo kazi ilikuwa ni saa moja asubuhi hadi saa mbili usiku kila siku kasoro Jumapili, na mshahara ulikuwa ni elf 80. Hapo nauli pekee ilikuwa elf 10, msosi elf 30, geto nikiongezea bili ni elf 30, mwenye nyumba mpare hataki maneno...
  12. SoC02 Nani kasema kazi hakuna?

    "Je nisomee kazi gani itakayonipa ajira kwa haraka?" Limekuwa ni swali ambalo linaleta changamoto sana kwa wanafunzi waliowengi kwani halina majibu ya moja kwa moja. Kutokana na hali ya maisha kubadilika na wasomi kuwa wengi siku hizi, basi ajira zimekuwa ngumu kuzipata. Hali hii imefanya...
  13. Mlioomba kazi shirika la Church World Service (CWS) tukutane hapa

    Habari wadau, Mimi ni miongoni mwa waliotupia kwenye nafasi zilizotangazwa za Caseworker n.k Naomba tupeane mbinu.
  14. EALA: Waliopitishwa CCM, ni Kwa Haki!, Tulioachwa ni kwa Haki, Tumezidiwa Vigezo!. Thanks4 for Support, Nimekubali Matokeo Kiroho Safi! Kazi Iendelee!

    Wanabodi, Ubunge wa EALA ni mara yangu ya pili kujaribu kugombea kupitia CCM, mara ya kwanza nilijaribu Ubunge jimbo la Kawe, nikashauriwa ili kuchaguliwa ni lazima 'uwaone' wajumbe 'ujitambulishe', 'wakujue' ndio utapata kura za wajumbe!. Kusema ukweli, mimi sikumuona mjumbe yoyote...
  15. Kati ya Nguvu za kiume, Six Packs, Hela, Elimu, kazi au Mali, unachagua kipi?

    Hili swali ni kwa ajili ya vijana waliomo Humu JF. Kati ya kuwa na Nguvu za Kiume, kuwa na mwili uliojengeka misuli (Six Packs), Kuwa na Hela, kuwa na Elimu, Kufanya kazi, au kumiliki mali, kipi unaona ni muhimu kwako? Kama ukiambiwa uvipange kwa kufuata mtiririko kipi kingekuwa Namba...
  16. Wachezaji wenye majina makubwa kung'olewa Taifa Stars

    Hii ndio kauli mpya kutoka kwa Serikali ya Tanzania aliyoitoa Waziri wa Michezo Mh Mchengerwa , akiongea na wanahabari amesema kwamba wachezaji wenye majina makubwa (Hakuwataja majina) hawajitumi kwa ajili ya Nchi yao , hivyo hawapaswi kuwemo kwenye Timu ya Taifa. Bali amesema kwamba tayari...
  17. Vijana kunufaika na fursa za mafunzo ya uzoefu wa kazi na uanagenzi

    VIJANA KUNUFAIKA NA FURSA ZA MAFUNZO YA UZOEFU WA KAZI NA UANAGENZI. Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi Taifa Cde. Victoria Mwanziva amefika Wizara ya Vijana, Kazi na Ajira na kukutana na Mkurugenzi wa Ajira na ukuzaji ujuzi Ndugu. Ally Msaki; Lengo likiwa ni kuona namna gani vijana...
  18. Burundi: Rais amfuta kazi Waziri Mkuu, Waziri wa Usalama kuchukua nafasi yake

    Rais Evariste Ndayishimiye amewafuta kazi Waziri Mkuu Alain Bunyoni na Msaidizi wake Mkuu bila ya kutoa sababu za hatua hiyo baada ya hotuba ya kuonya kuhusu njama ya "mapinduzi" dhidi ya Serikali yake hivi karibuni Katika kikao cha dharura, Wabunge waliidhinisha Uteuzi wa Waziri wa Usalama...
  19. Hivi Usalama wa Taifa wanajua matatizo ya Taifa la Tanzania?

    Ninavyofahamu mimi taasisi hii lazima kuwe na wachumi, wanasheria, madokta, engineer nk., ibaki kusema hii idara kama kuna uwezekano ilitakiwa kuifumua na kuisuka upya, kwa haya matatizo tulikuwa nayo utafikiri nchini hakuna Usalama wa Taifa. Nchi kuna matatizo mengi tu au mnafikiri matatizo...
  20. Kama unatafuta Ajira kwa kusambaza CV Ofisi za Umma na hujui nafasi ya Mlinzi hupati kazi ndugu yangu

    Habari! Katika kuhudumia watu (wateja) kama mlinzi ndani ya miaka 6 napenda kuteta na vijana mnaosaka ajira. Ratio ya ajira na wasomi sasa imekuwa tofauti sana. Sasa kinachomata ni connection na akili. Kuna ofisi watu wana hela mpaka huna wa kumuhonga. Imagine mpaka Mimi mlinzi unanikuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…