kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Natafuta ajira ndani na nje ya Tanzania, nina shahada na uzoefu na kazi za bandari

    Habarin Wana JF heshima yenu wote 🙏🏾 natumaini wote ni wazima kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa uzima anao tujaalia kila siku itwapo Leo.... Ndugu zangu mbele yenu ni kijana mtanzania nina ishi dar es salaam nime hitimu bachelor degree in shipping and logistics management mwaka 2022 Nina...
  2. Walimu wa Taifa Secondary watanyanyaswa sana na wakubwa wao wa kazi

    Kwa matokeo waliyoyapata katika mtihani wa taifa wa kidato cha nne yaliyotangazwa leo, natabiri walimu wa shule hiyo watanyanyaswa mno na wakubwa wao wa kazi. Yaani watafokewa kuanzia na wazazi,diwani wa kata yao, mbunge, afisa elimu kata, afisa elimu wa wilaya, afisa elimu wa mkoa, wizara za...
  3. Muda wa kusubiri kabla ya kutuma ujumbe mwingine, unaghadhibisha. JF ifanyieni kazi

    Wasalaam Wakuu. Umewahi kufanya mawasiliano na Mtu (PM) au kwenye uzi wa kawaida kisha ukishaandika na kutuma inakupasa usubiri ndani ya muda fulani? Nawapongeza uongozi na watumishi wote wa JF kwa kazi nzuri na ngumu wanayoifanya. Kwa hakika wanajitahidi mno. Lakini pamoja na hilo, kuna...
  4. Natafuta Kazi

    Naitwa Kenedy Joel nipo Dodoma natafuta kazi yoyote halali umri wangu 27 nimesoma mpaka form 6 Mawasiliano 0765198643
  5. Ushauri: Serikali mrejesheni haraka mwalimu aliyesimamishwa kazi

    Tunaua kizazi cha sasa na kesho kwa sababu ya kuchekea chekea watoto. Sisi mbona tulichapwa fimbo mpaka 50? Sisi mbona tuliteswa uko JKT baada ya kumaliza form six? Tulikufa au tulikuwa tunafundishwa Maisha? Tunatengeneza taifa la mashoga kwa upumbavu wetu. Shule ni amri kama ilivyo kwa...
  6. DOKEZO Magu S/Msingi: Biashara kazini saa za kazi kwa walimu

    JMT; Kazi iendelee. Nilishaandika mara kadhaa kuhusu udhaifu wa uongozi wa Shule ya Msingi Magu; nikiomba uongozi wa Elimu Msingi (W) urekebishe hali hiyo, lakini kila uchao inakuwa kama heri ya jana. Sasa hivi baadhi ya waalimu wanafanya biashara shuleni hapo (wao wenyewe), tena wakati wa...
  7. Je, Tundu Lissu ana mahusiano na mwanamke wa kizungu?

    Nguli wa siasa nchini, bwana Tundu Antipas Lissu leo ameondoka Ubelgiji kurejea nchini. Wakati anaondoka ameonekana anaagana 'Kimahaba' na mwanamke wa kizungu uwanja wa ndege. Je, haitamletea shida kisiasa ikizingatiwa anayo ndoa rasmi na Alice Magabe na kuzaa nae watoto wawili? Nini...
  8. Ni sababu zipi za msingi zilizosababisha Wakuu wa Wilaya wengi kiasi hiki kuhamishwa vituo vyao vya kazi?

    Nimestushwa Sana na taarifa iliyotolewa Ikulu, ikionyesha kuwa wakuu wa wilaya 48, wamehamishwa vituo vyao vya kazi. Hivi Rais anawezaje kuwahamisha wakuu wa wilaya 48, Ili waende kwenye vituo vyao vipya vya kazi? Pia nimuulize Rais, je alipokuwa anafanya uteuzi huo, hakujua mapungufu ya...
  9. Natafuta kazi za pharmacy kwenye hospital pharmacy au community pharmacy

    Habari, mimi ni Pharmtech Tech., nina liseni, nilikuwa nahitaji kazi. Naishi Dar es Salaam-mwenge, pia naweza fanya kazi as full time, part time and night shift. Napatikana kwa number 0765607650 au email: jaelynebless@gmail.com
  10. Waziri Ndumbaro azindua kitabu cha kuboresha mazingira ya kazi, asisitiza wazawa kuandika zaidi

    Waziri wa Katiba na Sheria, DR. Damas Ndumbaro ameshiriki katika uzinduzi wa Kitabu cha COMPREHENSIVE ISSUES OF EMPLOYMENT AND LABOUR RELATION AND LABOUR LAW; Practice for Modern Business in Tanzania. Kitabu hicho kinahusu masuala ya ajira na masuala ya uhusiano kazini kikiwa na kurasa zaidi ya...
  11. Jinsi Koneksheni inavyoweza kurahisisha jambo lako

    Habari za muda huu Mpwa! Ni siku nyingine tena tunakutana katika kuangalia yale mambo kadha wa kadha ambayo yanagusa maisha yetu. Mpwa, leo nimekuja na jambo moja tu ambalo ndio limekuwa muhimili wa sasa katika maisha ya leo yaani 'Connection'. Ni neno la kawaida sana ukilisoma na kulitamka...
  12. N

    Nafasi mbalimbali za kazi Konfa Enterprises Limited

    Nafasi ya kazi Konfa Enterprises limited 1. Online sales supervisor 2. Office respetionist 3. Shop manager 4. Assistant Shop Manager, Human Resources Manager etc ========= KONFA ENTERPRISES LIMITED General Trading Company established in 2006, Konfa has vast network of professionals...
  13. Y

    Je, kuna uhamisho wa kuhama Sekta moja kwenda nyingine?

    Habari wakuu ningependa nieleweshwe taratibu kamili za kufuata ili uweze kuhama sekt moja kwenda nyingine. Mfano.sekta ya maji kwenda sekta ya madini.
  14. Frank Lampard afukuzwa kazi na Everton

    Frank Lampard, aliyekuwa kocha wa Everton ametimuliwa baada ya kupata matokeo mabovu kwa kipindi kirefu katika ligi kuu ya Uingereza. Klabu ya Everton inategemea kutoa taarifa rasmi hivi punde.
  15. Nashauri Serikali ya Awamu ya 6 tuiache ifanye kazi. Maana katika Mikutano yetu tutaikosoa Awamu ya 5

    Mpaka sasa hatuna cha kukosoa Serikali ya Awamu ya 6. Ndio maana ukija kwenye mikutano yetu tunaizungumzia zaidi serikali ya awamu ya 5 ambayo haipo. Hata kwenye Kampeni 2025 tutaiponda tutakuwa tunashindana na Serikali ya Awamu ya 5 ambayo haipo kuliko ya Awamu ya 6 ambayo ipo. Sababu ya Awamu...
  16. L

    Rais Samia aendelea kuiteka mioyo ya wana CHADEMA kwa uchapa kazi wake, wasafiria nyota yake kupata uungwaji mkono Kanda ya Ziwa

    Ndugu zangu Watanzania, Hakika Rais Samia Haepukiki Wala Hazuiliiki katika mioyo ya watanzania,Huwezi ukafanikiwa kulitawala jukwaa la kisiasa na kupata wasikilizaji ikiwa utajifanya kumshambulia na kutokutambua juhudi za mh Rais wetu mpendwa mama Samia, kwa kuwa Ni Rais Samia ndiye...
  17. H

    Natafuta kazi, mimi ni mwalimu pia nina uzoefu wa Ulinzi na Udereva

    Ndugu wanafamilia wa Jamii forums, nawasilimu kwa jina la Jamhuri, Maji yamenifika shingon mwenzenu, mim ni mhitimu shahada ya ualimu tangu 2016 , nimejaribu kupambana niwezavyo kutafuta ajira bila mafanikio. Baada ya kuona ajira zinakuwa ngumu, nikatafuta kazi kwenye kampuni ya ulinzi...
  18. Kijana 26 years natafuta kazi yeyote halali

    Mimi ni kijana umri miaka 26, mwenyeji wa mkoa wa songwe ambako ninaishi mpaka sasa. Nimemaliza kidato cha nne na kupata div 2 point 20 mwaka 2015, nilifaulu vizuri masomo ya sayansi hivyo nikajiunga na advance kwa tahasusi ya pcb hapo sikufanya vizuri kwani nilipata division three point 14...
  19. D

    Jeshi la polisi hivi mnauhakika wale Trafiki pale mwenge (bagamoyo road) wanafanya kazi ya usalama barabarani?

    Nahisi kuna matumizi mabaya ya sare za jeshi la polisi trafiki pale Mwenge mataa, tank bovu, interchik n.k (bagamoyo road) Ukiwatazama utafikili wapo siliazi kabisa kufanya kazi ya jeshi la polisi, wanasimama na vimashine na vikaratasi vyao kukamata madaladala. Kinachonishangaza ni vile wako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…