kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. "Tunataka maendeleo ya watu badala ya vitu," kauli ya CHADEMA ambayo imeshafanyiwa kazi na Rias Samia

    Mwaka 2020 kwenye kampeni za uchaguzi mkuu kulikuwa na kauli maarufu sana ya CHADEMA kwamba wanataka maendeleo ya watu badala ya maendeleo ya vitu. Hoja yao ilimaanisha kwamba serikali ya awamu ya tano ilijikita kwenye miradi ambayo ilikuwa haimgusi mwananchi moja kwa moja. Miradi kama ujenzi...
  2. Kazi au internship ya uhasibu

    Habari! Nimemaliza bachelor ya Account lakini piah nina diploma ya Account Msaada kwa yoyote mwenye ufahamu wa kampuni au ofisi inayohitaji mhasibu iwe nafasi ya kazi au volunteer kwa level ya diploma au degree nipo tayari kufanya mawasiliano yangu 0655731336
  3. Jamaa aoa wake 3 wa kizungu, aombwa asifanye kazi yoyote akae nyumbani kwa ajili ya kuwastarehesha kitandani

    Huko nchini Marekani Mwanaume aliyeoa wake watatu amepata umaarufu na kutajwa kuwa mfano wa mwanaume mwenye familia bora iliyoshikamana na wake hao watatu wanaoishi kwa amani na mume wao ambaye siku zote hubaki nyumbani wakati wake zake wanatoka kwenda kufanya kazi. Mkewe wa kwanza alifunguka...
  4. Hii ni Kwa wale mnaoona wenzenu Hawana kazi za kufanya!

    HII NI KWA WALE MNAOONA WENZENU HAWANA KAZI ZA KUFANYA! Anaandika, Robert Heriel Wakati nasoma, Sisi wengine tulikuwa kundi la wale vijamaa ambavyo huwezi kutuona tumeshika Daftari wala begi la shule. Kutandikwa kisa hatujaandika Notes ilikuwa ni kitu cha kawaida Sana,. Kelele mwanzo mwisho...
  5. India: Kampuni yalazimisha wafanyakazi waondoke ofisini muda wa kazi ukiisha

    Kampuni moja imeanzisha utaratibu huo maalum kwenye mfumo wa kompyuta za ofisini ambao dakika 10 kabla ya muda wa kazi kumalizika unatokea ujumbe ulioandikwa “Muda wa kazi umeisha, mfumo utazima baada ya dakika 10 NENDA NYUMBANI” na ukifika muda huo mashine zinazima. Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya...
  6. M

    Sababu gani watumishi wengi hutaka mabosi wanaume maeneo ya kazi?

    Naomba tujadili hii mada. Ni kwasababu gani watumishi wengi hupenda kuongozwa na mabosi wanaume kuliko mabosi wanawake katika maeneo ya kazi?
  7. Askari anayenyanyasa wananchi kuhamishwa kituo cha kazi, kunajenga picha gani?

    Jumatatu 20 Februari 2023, Jeshi la Polisi lilitoa taarifa kuwa limewafukuza kazi Askari wake sita mkoani Arusha (ambao hawajatajwa majina yao) katika kipindi cha miezi sita, kutokana na makosa mbalimbali ya utovu wa nidhamu yasiyoendana na maadili ya Jeshi hilo. Siku moja baadae, Jumanne 21...
  8. Mkuu wa Polisi (OCD) na Afisa Upelelezi Kilombero wasimamishwa kazi kwa Unyanyasaji

    Umauzi huo umefanywa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi #HamadMasauni dhidi ya Mkuu wa Polisi Wilaya (OCD), SSP Shedrack Kigomanya na Ofisa Upelelezi Wilaya ya Kilombero, SP Daud Mshana. Sababu zilizotajwa ni malalamiko ya Wananchi kuwa wamekuwa wakinyanyaswa na Viongozi hao ambapo Waziri...
  9. Kama ni mwanafunzi wa lugha(Kiswahili) UD na upo chuoni ni PM unisaidie kazi fulani hapo chuoni.

    Habari. Kama ni mwanafunzi wa UDSM na una muda mchache wa kufanya kazi fulani nicheki PM. Mwanafunzi anayesomea masomo ya kiswahili. Natanguliza shukrani.
  10. Askari Polisi sita wafukuzwa kazi Arusha

    JESHI la Polisi Mkoani Arusha limewafukuza kazi askari wake sita katika kipindi cha miezi sita, kutokana na makosa mbalimbali ya utovu wa nidhamu yasiyoendana na maadili ya jeshi hilo. Akiongea na vyombo vya habari ofisini kwake jana,bila kuwataja majina ya askari hao, Kamanda wa polisi mkoani...
  11. Kama unafanya kazi Mahale Mountains National Park, naomba msaada

    Habari za Leo wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Ni hivi, mimi ni mdau wa tafiti za viumbe waishio porini na mambo yote yanayoendana na mambo hayo. Kuna jambo la msingi sana ningependa kufafahamu kutoka eneo Hilo la hifadhi ya wanyamapori. Nimepitia mtandaoni sijapata...
  12. Adui mkubwa wa Simba ni mganga wao, aliwaaminisha ameshamaliza kazi muongo mkubwa sana huyo sangoma! Nitamtaja!!!

    Simba timu yangu msipoacha uchawi hakika mtazidi kupata aibu ! Tabia yenu ya kumtegemea huyo sangoma wa kike hapo klabuni niyakipumbavu sana ! Mbaya zaidi mnampa na pesa kabisa awasaidie kuloga mechi hayo mambo niyakipuuzi sana na hamtafanikiwa kamwe!! Aliwaaminisha wachezaji ameshamaliza kazi...
  13. M

    Nahitaji kazi katika duka, kiwanda au supermarket

    Ndugu zangu habarini, Mimi naitwa Caroline ni mwanachama wa mda mrefu wa JF natafta kaz yoyote halali, katika Duka, kiwandani, supermarket n.k Elimu yangu nina degree ya human resource naombeni ndugu zangu mnisaidie ambae ana connection ya kazi anibebe.
  14. Namshukuru Mungu, nimekamilisha kazi tatu mpaka sasa.

    Wakuu kwema! Napenda kuwashukuru nyote Kwa namna ya pekee. Mmekuwa sehemu muhimu katika kazi zangu na Maisha yangu. Mungu awabariki Mno. Katika Kampuni yangu ya Taikon Publisher ambayo inahusika na mambo ya Uandishi katika program yetu ya WritingLife Coaching Programs ambayo imesaidia Vijana...
  15. N

    Msaada wa kazi wakuu

    Habari za mida wakuu, niende moja kwa moja kwenye mada. Nahitaji kupata kazi yoyote ya kufanya itakayo nisadia kupata chochote kitu, yaani nipo tu kitaa, sina kazi. Pia hatakama una kazi yako unaweza nisaidia kwa kunifundisha pia, yaani mpaka sasa sina fani yoyote. Nina hali ngumu balaa. Mie...
  16. Tunafanya kazi saa moja hadi saa saa 12, Kuna watu wanataka wagome

    Standard working hours
  17. M

    Wana Simba SC wote tumeshamaliza Kazi Kesho Mwarabu atatafuta wapi akimbilie

    Kwa tulichokifanya Mwenyezi Mungu tunakuomba utusamehe kwani hakuna namna tunahitaji Ushindi Kesho.
  18. Mimi Mwalimu wa Chemistry, natafuta kazi

    Mimi ni Mwl wa Chemistry na biology O level natafuta kazi. Nina uzoefu wa miaka 15 kazini. Nipo Dar es Salaam. Contact: 0764 727890
  19. Kujitolea kufanya kazi katika kampuni mbalimbali za umeme, Dar es Salaam

    Habari wakuu. Mimi ni mwanachuo wa DIT mwaka wa kwanza,ngazi ya Ordinary Diploma in Electrical engineering. Katika kipindi hiki cha likizo ya wiki mbili,nilikuwa naomba connection kama nitaweza kupata sehemu nikajiegeza kwa ajili ya kupata ujuzi nje ya workshops. Sehemu iwe yoyote...
  20. Naomba kazi yeyote, niko Bagamoyo - Pwani

    Ni kijana wa miaka 26, mwenyeji wa mbeya ambae kwa sasa ninaishi Bagamoyo-Pwani. elimu yangu ni.kidato cha sita PCB, ninaweza computer vizuri katika shughuli za video library, kuflash simu na shughuli za kisteshionali. Nina nguvu ya kufanya kazi yeyote kwa maelekezo kiasi. kwa yeyote aliepo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…