kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. J

    Wakuu wa Wilaya kipindi cha Samia hawachapi kazi kabisaHawachapi kazi kama awamu ya 5

    Kipindi kirefu sana sasa sijasikia DC amemsweka mtu ndani kwa saa 24 au 48 Kipindi cha Magufuli ilikuwa ni kawaida kusikia DC kamsweka mtu ndani sababu kadhaa DC inakuita anakuhoji akiona umemzidi kwa hoja basi anaagiza uwekwe ndani..😂😂😂 Ilikuwa wafanyabishara, wanasiasa, viongozi wa dini...
  2. R

    Rais aliwaasa viongozi waandamizi kufanya KAZI Kwa kujiamini, DC Sumbawanga kafanya Kwa kujiamini akatumbuliwa. Bado kuna tatizo sehemu

    DC Sumbawanga ametumbuliwa Jana Bila Sababu yakumbuliwa kwake kuwekwa wazi. Mitandao ya kijamii imeandika kwamba zoezi la utayari lililoandaliwa na Askari WA kike ndicho chanzo cha kutumbuliwa kwake. Wakati vyanzo vikinyetisha kwamba zoezi la utayari Ndilo lililomtumbua naomba tutumie Sababu...
  3. Rais Samia, kuhusu Katiba Mpya sisi wasomi tupo tayari kukusaidia kazi ili tupate Katiba nzuri na bora

    Mama naomba uandae fungu zuri ili sisi wasomi tukusaidie Kazi maana tutayatafta makundi yote na kuyapa Elimu na kuchukua maoni ya kila Mtu. Wala usipate shida Mama wewe andaa fungu la kutosha tu Mambo mengine tuachieni sisi wasomi. Huu ndo Muda sahihi wa kulikomboa Taifa letu kupitia Elimu...
  4. Sudan Kusini: Rais Salva Kiir amfuta kazi Waziri wa Mambo ya Nje

    Mayiik Ayii Deng amefutwa kazi kupitia tangazo lilitolewa kupitia Runinga ya Taifa bila kuwepo kwa taarifa zaidi za sababu ya kuondolewa kwake. Waziri huyo ni mtu wa karibu wa Rais Kiir na amewahi kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais. Kiir amechukua uamuzi huo ikiwa ni Wiki moja tangu amfute kazi...
  5. Naomba Connection ya Kazi

    Habari zenu Wakuu. Jamani kama amekosekana wa kunishika mkono kupata KAZI) Kibarua, Tafadhali nisaidieni majina na location ya viwanda ambavyo wanapokea vibarua. Nawaomba sana, Nikipata kazi ya kulipwa kwa siku angalau 5,000. Naishi Dar es salaam, Najua kutumia Kompyuta vizuri sana, Elimu...
  6. R

    Wanufaika Migogoro na vurugu kati ya Serikali na CHADEMA Tafuteni kazi nyingine. Rais Samia ameliheshimisha Taifa

    Namna watu walivyokuwa wakinufaika kutokana na migogoro kati ya serikali na Chama kikuu cha Upinzani. ➡️Kupata per diem ili kuendesha operesheni haramu dhidi ya watanzania wenzao ➡️Kwa kupachika watu kesi haramu za uongo kutokana na ugomvi binafsi ili wakiulizwa waseme huyu ni mpinzani wa...
  7. Kuna limbukeni mmoja anatamka huko bodaboda sio kazi

    Hawa ni bodaboda katika nchi iliyoendelea (first class country). Ulimbukeni ni janga kubwa sana! Sisis bodaboda tunakwambia Lema tuombe radhi, tutaichukia CHADEMA mazima usipotuomba radhi.
  8. Mbunge Janeth Mahawanga awahamasisha wanawake kufanya kazi kwa bidii, ubunifu na kuchangamkia fursa

    MBUNGE MHE. JANETH MAHAWANGA AWAHAMASISHA WANAWAKE KUFANYA KAZI KWA BIDII, UBUNIFU NA KUCHANGAMKIA FURSA Mbunge wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janeth Elias Mahawanga kuwahamasisha Wanawake wenzangu kuendelea kufanya kazi kwa bidii, ubunifu, kuchangamkia fursa katika kilele...
  9. Nahitajii mtu wa kunishika mkono niweze kupata kazi

    Habarii wakuu, Mimi ni kijana wa miaka 28, ni mhitimu wa stashahada ya Uhandisi Ujenzi (Ordinary Diploma in Civil Engineering) mwaka 2020 na kufanikiwa kupata upper second class kutoka chuo Cha ufundi Arusha (ATC). Nimejaribu kutafuta kazi sehemu mbalimbalii ila bado sijafanikiwa kupata...
  10. Serikali inabidi kuwa 'think tank' ya wananchi na kumpa Mwongozo mwananchi na sio kupigia debe Kazi uchwara

    Serikali imejaa ujanja yaani unataka msomi wa degree umgeuze msukule eti awe mchuuzi? Hizi rasilimali tulizonazo zinabidi. Kulisaidia Taifa kwa watu wote . Hizo Kazi za bodaboda wapeni watoto wenu huko CCM wavunjike Miguu wawe walemavu wapate Tb n.k yaani hamna Huruma Wala utu.
  11. Mmoja ya watu ambao wataiua CHADEMA ni Godbless Lema

    Ukimsikiliza Lema haongei kwa bahati mbaya. Anachoongea na anachofanya sasa ni kufitinisha Wanachama na Chama Cha CHADEMA. Alianza na kusema waendesha Boda boda wamelaaniwa. Hivyo, hata kula zao hahitaji. Sasa anasema wasajili line za simu wafukuzwe makwao maana hawana wanachofanya. Lakini...
  12. Msaada wa kupata connection ya kazi nje

    Wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale.wakuu yeyote ambaye ana mwangaza wowote au connection za kwenda nje hata kuzamia kutafuta life naomba anisaidie sababu na ndoto ya kutafuta life katika nchi za Europe, USA,Canada. Kama utaguswa kunisaidia nitashukuru sana.Nina miaka 24 nimesomea maabara...
  13. Njia rahisi ya kuua upinzani ambayo Hayati Magufuli hakuitaka. Inafanya kazi vizuri

    Magufuli alikuwa mbishi tu. Alishauriwa kuwa hawa wapinzani kula nao. Usiwaache na njaa. Hizi kelele ni sababu wana njaa. Hakusikiliza akasema yeye hawezi ishi kinafiki. Matokeo yake tukayaona. Ila wenzie wanajua..ni kula nao tu. Kwa sasa tunamshukuru Rais Samia hana baya. Anakula nao...
  14. Nionesheni bodaboda aliyeagiza gari Japan au China kwa kipato cha bodaboda niache kazi ya utumishi wa umma ndani ya saa 24

    Hii sasa ni too much Unamfananishaje mtu anayekufa kama nzi hapa jijini Dar es Salaam na mtumishi wa umma? Unamfaninishaje bodaboda ambaye akipata ajali kubwa tu anakimbizwa Kijijini kwa mama yake akafie huko na mtumishi wa umma ambaye ana bima ya watu 6? Mtu akistaafu anakunja mpaka milioni...
  15. Katiba mpya iweke ukomo wa mtu kuwa mbunge na diwani iwe miaka kumi

    Suala la kuwakilisha wananchi halipaswi kuhodhiwa na mtu mmoja kwa muda usio na ukomo. Ni vyema katiba mpya ikaweka ukomo wa mtu kuwa mbunge. Haiwezekani mtu alikuwa mbunge au diwani toka enzi za Mkapa. Hadi leo kwa Rais wa nne bado anataka kuendelea kuwakilisha wananchi. Na bado anataka...
  16. Natafuta kazi, kibarua, msaada

    Amani iwe nasi Watu wa Mungu. Nimerudi Tena Ndugu yenu, Bado sijabahatika kupata KAZI/kibarua. Nimeandamwa na madeni ya Kodi, service charges na madeni mengi ninapoishi. Naomba mwenye kunisaidia kibarua hata saidia fundi, nitashukuru sana. Naishi Dar es salaam, Elimu kidato cha 6. Mbarikiwe...
  17. Njia niliotumia kupata kazi bila ya kuwa na msaada wa connection yoyote

    Wakuu! Huwa wanasema sharing is caring. Ngonja ni wape Tips wapamabanaji wenzangu na watu wote ambao bado wanatafuta nafasi za kazi na pia kwa wanafunzi ambao bado wapo chuo. Hii trick niliitumia mm mwenyewe kama kufanya majaribio ya kupata nafasi amabazo hazipatikani kirahisi UTANGULIZI...
  18. Je, kuna kazi za kike na za kiume? Fupa hili lililowashinda wanaume wanne, mwanamke mmoja ataliweza?

    Wanabodi, Tunapoelekea kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, kila Machi 8, leo naomba tujadili uwezo wa wanawake kwenye baadhi ya maeneo. Japo kazi ni kazi tuu, hakuna kazi za kike wala za kiume, jee kuna ukweli kuwa kwenye baadhi ya kazi, wanawake wana uwezo nazo kuliko wanaume, ikiwemo ile...
  19. Kwenye NGOs ni vigumu sana kukuta wanawake walioolewa wakifanya kazi

    NGO nyingi zinalipa mishahara mizuri kwa sababu nimewahi kufanya kazi kama consultant mahali kadhaa. Utaona kuna wafanyakazi wakike wanaofikia hata 40 lakini mwenye ndoa unakuta ni mmoja au wawili. Wengine wote aidha wanalea wenyewe au wapo single hata kama umri umesogea.
  20. Hivi kazi hadi iwe na sifa kuwa ni ajira inatakiwa kumuingizia mtu Tsh ngapi kwa mwezi?

    Wakuu hivi mtu hadi tuseme huyu ana ajira anatakiwa kuingiza Tsh ngapi kwa mwezi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…