kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Kwanini Graduates wengi hawapendi kazi zenye kipato kidogo?

    Hello JF! Currently tuna changamoto ya ajira kwa wanazuoni wengi but hata zile zenye kipato kidogo hawataki. Anaona kuliko apewe 150k per month bora akae nyumbani au bila kazi. Bila kujua pale sio tu anapata 150k but exposure ya mambo mbali mbali pamoja na ujuzi na kuaminika maeneo mbalimbali...
  2. Tottenham yamfuta kazi Kocha wa muda baada ya kufungwa 6-1

    Kocha Christian Stellini ambaye alipewa mikoba kuongoza timu hadi mwisho wa msimu baada ya kufukuzwa kwa Antonio Conte, naye amefikia ukomo wa ajira yake ikiwa ni wiki chache tangu alipopewa ajira hiyo Spurs ilifungwa 6-1 na Newcastle United katika mchezo wa Premier League, hivyo timu kwa sasa...
  3. Hii inasaidia nini au kujipa kazi za bure tu

    Wataalamu wa friji na freezer hizi mbao kama stand hapo chini ya friji, huwa zinasaidia nini au tunajipa kazi za bure tu.
  4. I am looking for a Housemaid job

    I'm Doto from Temeke Toangoma Dar es salam, 26 yrs old. I'm here looking for housemaid job please can you help me, I have 5 yrs experience for housekeeping and 1 yr babysitter. I know to cook, cleaning, washing, ironing and family careers and all the home surround work. Nisaidie please...
  5. Video: Kiwanda kikubwa cha uzalishaji magari chaanza kazi rasmi

    Wakati tukijadili namna kamati ya viwanda toka wizarani ilivyomnanga Masoud Kipanya na vigari vyake, tuangalie namna Ghana inavyotengeneza magari kama Japan kwa sasa....
  6. Hongera Gerald Hando kwa kusimamia weledi kwenye kazi yako. Piga kazi watanzania tunakukubali

    NANDY HAWEZI KUMSHAWISHI BINTI YANGU - GERALD HANDO. Mjadala umeibuka kwenye #MsumariWaMoto kuhusu baadhi ya Wasanii kuoa au kuolewa kuonekana kupoteza ushawishi wao kwa Mashabiki Vijana, mfano mzuri 'The African Princess' Nandy. King Mende @geraldhando anaamini kitendo cha Nandy kuolewa na...
  7. Nimemdanganya wife nimefukuzwa kazi anataka kurudi kwao

    Nimepata likizo ya kikazi ya siku 28 nikasema ngoja nitumie hii likizo kupima Imani ya mtu ,sasa hii ni wiki ya 3 tangu nilipomwambia wife nimefukuzwa kazi, ndani ya wiki 2 za mwanzo alijifanya kuvumilia hali ananipa moyo ila ugali na dagaa zilivyozidi kutaradadi leo ameamua kufunguka ya rohoni...
  8. Mrejesho Yule binti wa kazi nimeshamrudisha kwao..

    Habari wana jamvi,..baada ya kutoa ya moyoni kuhusu Yule binti wa kazi ambae nilikuja kuthibitisha kuwa Ni miathirika wa ugonjwa huu unaosumbua dunia...nimesoma comments zenu ambazo zilikuwa na maoni mengi Ambayo yamenisaidia Sana katika kufanya maamuzi ,..binti nimemrudisha kwao japo hakujua...
  9. Bunge limetangaza nafasi 42 za kazi kwa Watanzania wasiozidi miaka 45

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limetangaza nafasi za kazi 42 katika taaluma mbalimbali kwa Watanzania wasiozidi umri wa miaka 45 kuanzia leo Ijumaa Aprili 21, 2023 na mwisho wa kutuma maombi ni Mei 4, 2023. Tangazo hilo la kazi limetolewa leo Ijumaa Aprili 21, 2023 likitoa nafasi kwa...
  10. A

    Msaada: Natafuta kazi yoyote halali

    .
  11. Mnaoomba kazi TAMISEMI mkijaaliwa na mola mkapata, zingatia haya...

    Kufanyakazi kwa bidii zote. Usimssikikize mtumishi mwenzio fuata sheria za kazi. Jambo usilolijua la kiutumishi kabla ya kuchukua hatua uliza. Usiwaulize watumishi wapya uliza wale senior. Fomu za mikataba uwe makini na vipengele, kwa mfano place of domicile. Jizoeze kuamka saa 11 kasoro...
  12. Sharti la kupitisha barua kwa mwajiri wakati wa kuomba kazi za serikali ni kikwazo

    Tofauti na zamani kwenye matangazo ya kazi mbali mbali hivi karibuni serikalini kumekuwa na uhuru wa watumishi kuomba hizo kazi ila kigezo kimojawapo ni kutakiwa kupitisha barua ya maomba kwa mwajiri husika, mfano mkurugenzi wa halmashauri. Kwa kiasi kikubwa hiki kimekuwa kikwazo kwa mtumishi...
  13. Kwanini wanawake mnakimbilia kupanga mkipata kazi?

    Habari ya maandilizi ya sikukuu, Kuna hii tabia ya mabinti tena wadogo kwenye early 20s wakipata tu vikazi hata iwe saluni au mgahawani wanakimbilia kupanga ili wajitegemee. Kusema kweli hii imekuwa kero kwa sie hasa wa maofisini, hawa mabinti wanaojitegemea ni kama wanageuka omba omba, hapa...
  14. B

    Kulikoni leo huduma za Simbanking na ATM za CRDB hazifanyi kazi tangu asubuhi?

    Kama heading inavyosema Huduma hizo hakuna kabisa, watu wanahangaika wanataka kutoka pesa kwa ajli ya Eidd, wanadhondwa.
  15. Natafuta kazi Udereva magari Makubwa/Madogo

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27,nimekuwa nikijaribu kutafuta kazi ya udereva kwa muda mrefu bila mafanikio mpaka nafirikia kwenda kusoma tena operator ili kuongeza wigo wangu katika soko la ajira. Nimejaribu kuandika barua tofauti katika ofisi tofauti kuomba nafasi ya kujitolea lakini...
  16. F

    Nafasi ya kazi ya Mhazili (Secretary)

    Tunahitaji Mhazili - Secratarial awe mwanamke kati ya miaka 20-35, mwenye cheti cha uhazili na uzoefu wa kufanya kazi kwa kujitegemea. Awe na uwezo wa kufanya muda wa ziada walau mpaka saa 2 Usiku muda mwingine. Muda wa Kuingia Ofisini saa 2 asubuhi hadi saa 11 jioni. Mshahara kwa mwezi...
  17. Dar es Salaam ni lazima wafanyakazi wa ndani (housegirls) watoke mikoani?

    Kila siku wafanyakazi wanatafutwa kutoka mikoa mingine na kwenda Dar Es Salaam. Hilo jiji halina watu wenye wanaoihitaji hizo kazi? Kitakwimu ndio jiji lenye watu wengi nchini? Mbona kila kutwa ninyi ndio wakuletewa wafanya kazi wa ndani na wasaidizi wa kazi kutoka mikoani? Sio kijana wa...
  18. K

    Kwako waziri wa TAMISEMI, angalieni na namna ya kuwachuja wanaoomba kazi za ualimu walau hata kwa "Online aptitude test"

    Mhe.Rais wa JMT, Mhe.Waziri wa TAMISEMI Nawapongeza kwa jitihada zenu katika kutengeneza na kutoa fursa za ajira nyingi sana katika kada ya ualimu na Afya. Ni ishara njema katika kupunguza tatizo la ajira nchini. Mhe. Waziri wa TAMISEMI, maoni na mapendekezo haya ni kwa ajili ya ofisi yako...
  19. B

    Video ya wimbo huu Wa zamani unaoitwa "chezea mshahara, usichezee kazi" nitaipata wapi

    Nliona video ya huu wimbo mwaka 2007, Moja ya mistari yake unaimbwa, (usione twaendeshaa, tunafanya kazii) ×2..video yake ntaipata wapi
  20. Nafasi za kazi vijana wawili form four na wanojua kutumia computer

    NAFASI ZA KAZI Posts: 2 -Elimu kuanzia form four -Uwe unajua kutumia computer, nb kama hujui computer usiombe plz -Ukiwa na certificate ya computer ni kigezo cha nyongeza -Kama una degree au diploma hatukuhitaji usiombe plz -Location ya kazi ni Dar es salaam -Jinsia ya kiume tu -Umri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…