kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Kama unajiuliza ufanye biashara gani ukimaliza chuo au mtaani, siri ni hii: "Biashara zote ni extension ya kazi za nyumbani!"

    Wakuu habari za mida hii, Kuna mdau yuko mwaka wa mwisho chuo kikuu aliuliza afanye kazi au biashara gani. Swali lake limekuwa chachu ya kushusha huu uzi hapa ili umfungue macho yeye na wengine wengi wanaotafuta pa kuanzia. Ukweli ni kwamba, biashara nzuri ni ile unayoichagua wewe mwenyewe...
  2. M

    Naomba kuuliza hivi kazi gani anaweza kufanya mwanafunzi wa chuo kikuu kubla ya kumaliza chuo yaani yupo mwaka wa mwisho

    Naomba nijue maana natamni sana nipate kazi lakin sijaona kaz gan naweza kufanya kww mwanachuo kikuu mwaka wa mwisho anae soma
  3. Yaani Samia ni wa kumfundisha kazi PhD Nchemba?

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Inachekesha sana usipofanya tafakari kwa kina Samia ni wa kumfundisha kazi mtu mwenye PhD? LONDON BOY
  4. C

    Wakili Madeleka amsihi Rais Samia kumwachilia huru Tundu Lissu

    Wakili Peter Madeleka, ametoa rai kwa Rais Samia kumwachia Tundu Lissu ili taifa lifungue ukurasa mpya na kuwapuuza wasiomtaka kiongozi huyo kuwa huru. Lissu ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ambaye tarehe 6 Novemba mwaka huu mahakama Kuu ilimhukumu kutumikia kifungo...
  5. Tulisema ajali MV Mwanza ni uzembe au hujuma!-Nahodha asimamishwa kazi. Mkuu wa Mkoa alidanganya umma

    https://vt.tiktok.com/ZSsks68dc/ https://vt.tiktok.com/ZSsksjV77/ Mkuu wa Mkoa alidanganya umma. Eti ajali ile ni majaribio. Danganya wapumbavu na kudharau uwezo wa umma kufikiri. Mkuu wa Mkoa MWanza awajibike kuudanganya umma, alikuwa anamtetea nani, sidhani kama alikuwa anatetea Taifa kwa...
  6. Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA) chafafanua hoja ya Mwanafunzi aliyepewa kazi na Waziri Ulega kuwa hakustahili

    Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA) kupitia Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma kimetoa ufafanuzi kuhusu mdahi ya Mdau wa JamiiForums.com aliyehoji kama uongozi wa chuo hicho ulimdanganya au kumpotosha Waziri wa Katiba na Sheria, Abdallah Ulega, katika mchakato wa kumpendekeza mwanafunzi wa...
  7. Hakuna kazi ngumu duniani kama kumwokoa mtu aliyekamatwa na uraibu

    Hakuna kazi ngumu duniani kama kumwokoa mtu aliyekamatwa na uraibu Uraibu ni hatari sana kwenye maisha ya binadamu na unaweza kupelekea kupoteza maisha Kuna uraibu wa aina nyingi sana, kwa kufupisha nikuwa uraibu ni hali ya kutumia hisia mbaya au kitu kwa kupita kiwango Ni kazi ngumu sana...
  8. Hivi ni kwanini watu wanaidharau sana hii kazi?

  9. Fundi cherehani akichelewesha kukushonea nguo, mripoti BASATA watadili naye

    Wateja ambao nguo zao zimechelewa kushonwa au hazijakamilishwa na mafundi cherehani sasa wanaweza kuwasilisha malalamiko yao katika Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), hata kama mafundi hao hawajasajiliwa rasmi. Hatua hiyo imekuja kufuatia malalamiko ya wateja wanaodai kuwa baadhi ya mafundi...
  10. Hii ndo kazi ya hatari zaidi hapa Tanzania

    Duniani kote, takwimu zinaonesha kuwa ukataji miti na uvuvi wa baharini ndizo kazi hatari zaidi. Lakini hapa kwetu Tanzania, moja ya kazi zenye hatari kubwa zaidi ya kupoteza maisha ipo ardhini kwenye uchimbaji mdogo wa madini. Kuanzia machimbo ya dhahabu kule Geita, Kahama na Mara, hadi...
  11. H

    Brela, Brela na Brela tumewaita mara 3, JIREKEBISHENI MNATUTESA SANA WATEJA WENU sanasana hapo kitengo cha HUDUMA KWA WATEJA sijui mmepataje kazi hapo

    Brela, Brela na Brela tumewaita mara 3, JIREKEBISHENI MNATUTESA SANA WATEJA WENU sanasana hapo kitengo cha HUDUMA KWA WATEJA sijui mmepataje kazi hapo. Namba za huduma kwa wateja hatufurahishwi na haitusaidii kitu, kazi kutaja track no then IMEISHA sio vzr Bwana. GODFREY NYAISA(mkurugenzi brela)...
  12. Tetesi: Uongozi wa Azam FC upo kwenye mpango wa kumfuta kazi kocha wao mkuu Florent Ibenge

    BREAKING;Uongozi wa Azam FC ipo kwenye mpango wa kumfuta kazi kocha wao mkuu Florent Ibenge ambae ameonekana kutokua na muendelezo mzuri wa kupata matokeo ya ushindi. Hasira zimezidi pale alipopoteza mabao 4-2 dhidi ya Singida Black Stars. Kuna kocha mmoja mkubwa Azam wanafikiria kumchukua...
  13. HOJA Malipo ya Kidijitali Yanatia Sana Shaka: Kuna Faida Gani ya Mfumo Usiofanya Kazi Kila Mara?

    Kuanzia Januari, Serikali inatarajia kuanza utekelezaji wa mfumo wa malipo ya kidijitali kwa shughuli zote. Hata hivyo, kuna swali najiuliza: Je, tunawezaje kuhamia kwenye mfumo wa malipo ya kidijitali kwa asilimia 100 wakati watoa huduma za kifedha na mitandao ya malipo wamekuwa na hitilafu za...
  14. K

    Inaonekana kama Jaji Mkuu kashidwa kazi anakimbilia makanisani

    Jaji mkuu kashidwa kuendesha mahakama sasa kabakiza kujifanya mchungaji😂😂🤦🏾‍♂️
  15. Nilijifanya nimefukuzwa kazi, Wakafungua makucha

    Amini kwamba, hapendwi mtu zinapendwa pesa. Unaweza ukajifanya unapendwa, la hasha. Ni urongo. Wiki iliyopita niliomba ruhusa kazini kwa wiki moja, ili nione watanichukuliaje katika familia yangu hii :1Head: Nafanya kazi kama mgambo kwenye kampuni ya ulinzi huku Mtwara. Nikarudi nyumbani na...
  16. M

    Ina maama Rto Yusuph Kamota wa Dodoma yupo makini na anachapa kazi kuliko MaRTO wengine wa mikoa mingine?

    Najiuliza sana juu utendaji kazi na uchapa kazi wa huyu RTO wa mkoa Dodoma. Anafanya kazi nzuri na mchapa kazi mkubwa. Haiwezekani basi la abiria libebe abiria Mwanafunzi akalipishwa nauli ya kutoka mkoa kama Kagera kwenda Dar. Basi alilopanda mwananfunzi huyo alafu likatize mikoa mitano alafu...
  17. Je, ni Kweli Karma inafanya kazi au ni imani?

    Kuna mzee mmoja yeye kwa bahati nzuri alifanikiwa kuwasomesha watoto wake wote,Yule mzee alikuwa akiwakejeli wazazi wngine ambao hawakufanikiwa kuwasomesha watoto wao, Kilichomkuta mzee yule ni kwamba pamoja na kuwasomesha watoto wake, Hawakufanikiwa kwa lolote, wamekuwa kama mazezeta...
  18. Kazi gani ambayo unahisi ukiipata itatatua matatizo yako kiuchumi?

    Najua tumetofautiana changamoto za kiuchumi kulingana na mahitaji, malengo n.k lakini ikitokea kazi ya kumaliza shida hii...Kazi gani ambayo unahisi ukiipata itatatua matatizo yako kiuchumi?
  19. Afrika tunamaisha mazuri sema watu hawajui , ulaya watu wanafanya kazi 3 ili walipe bills

    Afrika tunamaisha mazuri sema watu hawajui , Nchi za ulaya hauwezi ukaishi kwa ujanja bila kulipa kodi ukibainika wewe utakuwa muhalifu hawakuachi halafu pia utakabwa kila angle utalazimika kufanya kazi hata 3 ili uweze kulipa bills zako . Huku kwetu kuna kazi zina msamaha wa kodi kama...
  20. Natamani kuacha kazi ila sijui nitaanzia wapi

    Wakuu sina amani kabisa na hii kazi ninayoifanya natamani kuacha kazi kabisa unapata sifa kubwa kwa kuwahudumia wagonjwa na kuwatibu lakini mifuko iko empty no allowance za kueleweka hauthaminiwi,ukifanya msala watu mzima inakugeukia wewe hasa hasa WaTanzania walivyowanafiki na hila. Unafanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…