MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Tanzania Bara, Stephen Wasira amekitaka Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kujitanua kwa kutoa programu zinazokidhi mahitaji ya soko, kuwawezesha wahitimu kijiajiri na kuajiriwa.
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Novemba 20, 2026, aliposhiriki...