Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.
Habari!
Nataka kuingia kwenye biashara ya utafutani madini ya dhahabu lakini sio kwa kuchimba bali kwa tutafuta kwenye mito (alluvial gold).
Naomba kujua ni mito ipi ina ile dhahabu ya mchanga? Na kijiji kipi? Na gharama/utaratibu wa kujiunga na wachimbaji wadogo ni kiasi gani na utaratibu upoje?
Kama kuna kitu nimenotice ni kwamba comments nyingi zinazosupport mauaji yaliyofanyika October 29 zinatoka kwa watu wenye dini kabisa.
Hawa ndio same people watakaokuattack ukisema Mungu hayupo lakini ndio wa kwanza kusupport kuwa serikali ilifanya vizuri kuua watu October 29
Yani mi naona...
NATAFUTA BAJAJI YA HESABU – DAR ES SALAAM (DEREVA MWAMINIFU NA MAKINI)
Habari wana-JamiiForums,
Ninaomba mwenye bajaji iliyo katika hali nzuri ya kiufundi na anahitaji dereva wa hesabu jijini Dar es Salaam, tuwasiliane ili tuweze kufanya kazi kwa uaminifu number 0621810992
Utajiri wa madini lazima ulete mabadiliko chanya katika maisha ya wananchi kupitia ajira, viwanda, uwezeshaji wa kiuchumi na fursa za biashara kwa Watanzania.
𝐃𝐤𝐭. 𝐌𝐰𝐢𝐠𝐮𝐥𝐮 𝐍𝐜𝐡𝐞𝐦𝐛𝐚
𝘞𝘢𝘻𝘪𝘳𝘪 𝘔𝘬𝘶𝘶 𝘸𝘢 𝘛𝘢𝘯𝘻𝘢𝘯𝘪𝘢
🗓️ Novemba 20, 2026
📍 Dar es Salaam, Tanzania
—————————————————
Amesema hayo wakati...
ajira
chanya
katika
kupitia
lazima
mabadiliko
mabadiliko chanya
madini
maisha
mkuu
utajiri
utajiri wa madini
uwezeshaji
viwanda
wananchi
waziri
waziri mkuu
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Tanzania Bara, Stephen Wasira amekitaka Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kujitanua kwa kutoa programu zinazokidhi mahitaji ya soko, kuwawezesha wahitimu kijiajiri na kuajiriwa.
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Novemba 20, 2026, aliposhiriki...
Katika miaka yetu tunakua, ilikuwa kawaida kabisa mkulima akaoa mwalimu wa shule ya msingi Bado akatii na kumuheshimu mumewe asiye na elimu.
Mwisho wa mwezi ukifika, mke huchukua mshahara wote anamkabidhi mume ndipo anapangiwa namna ya kutumia pesa hizo na uti na utulivu ulidumu ndani ya ndoa...
Kliniki ya Ardhi Katika Maonesho ya Talex Yafungua Fursa za Uwekezaji Kwa Kutoa Hati Miliki Ndani ya Saa 12
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mkoa wa Dar es Salaam inasogeza huduma za kidijitali za umilikishaji ardhi moja kwa moja katika Maonesho ya Talex Tanzania Real Estate Expo...
Tohara kwa wasichana zimekatili wasichana wengi sana,
Wasichana wengi wakikeketwa wanachowaza ni kuletewa ngombe na kuelewa tu, ndoto za elimu huzima
Ukimya wa Heche ni kusapoti haya ?
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, anamwakilisha Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa Saba wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania (TMIC 2026). Mkutano huo unafanyika kuanzia tarehe 19 hadi 21 Novemba 2026...
In recent years Tanzania kumekuwa na video za watu wengi sana ambazo zimevuja mitandaoni zikionesha wakiwa wanafanya ngono. Hapa siongelei porn acting/ porn industry, hapana. Naongelea video za wapenzi wawili wanaojirekodi wakifanya ngono na kisha mmojawapo anazipost mitandaoni na zinasambaa kwa...
Suala la michezo nchini limechukua mwelekeo mpya kufuatia taarifa iliyoenea kwenye mtandao wa X (Twitter), ambapo Naibu Spika wa Bunge la Kitaifa, Gladys Boss Shollei, anadaiwa kufichua hatua kubwa iliyofikiwa na utawala wa Rais William Ruto. Kulingana na madai hayo, serikali imefanikiwa kuleta...
Chama Cha Wanaume Duniani chini ya mwenyekiti Habibi Ashraf Hakimi, tunapenda kumkaribisha mwanachama mpya kwa Kumpa kadi ya uanachamq ambaye ni Ndugu Bakayo Saka, hii ni baada ya kuzingatia masomo ambayo tumekua tukiyatoa kila uchwao ili kua salama dhidi ya wanawake maharamia wa kizazi hii...
Jeshi la Wanamaji la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) lilitangaza mnamo Novemba 13 kwamba mabomu yalilipua meli kubwa ya mafuta na meli ya pili ya mafuta, na kuacha meli zote mbili zikiwaka moto.
Meli zote mbili zilikuwa zikisafiri katika njia ambayo IRGC haikuwa imeidhinisha, huku...
Sijasoma sheria na wala sijui sheria lakini hii hainizuii kutoa maoni binafsi baada ya kufuatilia mwenendo wa kesi ya Tundu Lisu, muhaini wa 2025/2026
Bw.Katuga kama wakili msomi wa serikali alikuwa kazini kutimiza majukumu yake kama wakili na mwanasheria yoyote yule ambaye angepewa kazi hiyo...
Mbona wapo kimya? Licha ya masheikh kukemea, upande wa pili wa dini wapo kimya kama hamna kilichotokea?
Tulitegemea angalau mahubiri ya leo Jumapili tungalisikia kukemea yaliotendeka nchini.
Wote wawili Adam na Hawa walikuwa na wajibu sawa kwa kula tunda
Waliomba msamaha
Allah aliwasamehe
Hakuna aliyelaaniwa. Mwanamke hakupewa adhabu ya kuzaa kwa uchungu, mwanaume hakupewa adhabu ya kula kwa jasho na wala Nyoka hakupewa adhabu ya kutambaa kwa tumbo.
Hakuna dhambi ya kurithi kwa...
Katika kufatilia sakata la usimamishwaji wa ndege yaliyotokea jana, kumbe sikujua taifa lenye nguvu duniani lililotolewa kamasi na Iran bado linatumia mifumo ya miaka ya 70 katika uwasilishaji wake wa taafifa za ndege na haliya hewa.
Najua vijana wengi wa leo hasa wale waliotoka vijijini hata...
Pongezi ni kwa sababu ya urahisi katika
1.kupata email na password vilivyosahaulika kupitia mfumo
2.kutatua changamoto nyingi
Za kimfumo bila kuhangaika kama zamani
3.Jumla ya yote kupunguza gharama za kuomba ajira,usaili,pamoja na taratibu za kuripoti kazini kwa kutuma barua za kuitwa kazini...
Waheshimiwa Majaji, naomba nimalizie. Uamuzi wa kunitia hatiani kwa kosa ambalo sikushitakiwa nalo, na ambalo sikupata fursa ya kujitetea dhidi yake, kwa lengo la kubalansisha tu, una athari kubwa.
Athari yake ni kwamba mmewapa kinga wale waliohusika na mauaji, kwa sababu watasema kwamba wale...
Uwekezaji katika elimu ya amali unalenga kuwapatia vijana wetu ujuzi wa kujitegemea. Tunampongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupanua elimu hii nchini. Serikali itaendelea kukamilisha vifaa vya mafunzo na miundombinu iliyobaki ili wanafunzi wajifunze kwa vitendo.
𝐃𝐤𝐭. 𝐌𝐰𝐢𝐠𝐮𝐥𝐮 𝐍𝐜𝐡𝐞𝐦𝐛𝐚...
dkt. samia
dkt. samia suluhu hassan
elimu
elimu ya
hassan
hii
katika
kujitegemea
rais
rais dkt. samia
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
suluhu
ujuzi
uwekezaji
uwekezaji katika elimu
vijana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.