katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. Wafanyakazi wa TANESCO nao hawakuwa nyuma katika kusherehekea miaka 95 ya kuliangaza Taifa!

    Kutoka mikoa mbalimbali nchini, kwa pamoja wameadhimisha miaka 95 ya historia, mafanikio na kujivunia kuwa sehemu ya safari ya maendeleo ya Tanzania. Miaka 95 ya ukubwa, na safari inaendelea! ⚡
  2. TANESCO Yang’ara katika tuzo za ubora wa uwasilishaji wa taarifa za fedha!!

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeibuka miongoni mwa washindi wa tuzo za ubora wa uwasilishaji wa taarifa za fedha kwa mwaka 2025, katika kundi la Mashirika ya Umma ya Kibiashara yanayotumia Viwango vya Kimataifa vya Utoaji wa Taarifa za Fedha (IFRS)...
  3. M

    HOJA Serikali iingilie kati kuchunguza wakulima kijiji cha Logoeti kuambiwa wamevamia eneo la machungio, wamelima zaidi ya miaka 30!

    Wakulima katika kijiji cha Logoeti Halmashauri ya wilaya ya Kiteto, Mkoani Manyara waambiwa kupitisha mashamba yao ambayo yamekuwa yakilimwa kwa kipindi kisichopungua miaka 30, kwani inaonekana walivamia eneo la machungio. Mnamo miaka ya 2005-2015, wakulima wa vijiji vya Lukeli, Longojine...
  4. 🔥 KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA – GOBA CENTER! 🔥 Unatafuta kiwanja katika eneo zuri kwa ajili ya kujenga nyumba au uwekezaji? Hii ni nafasi yako!

    🔥 KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA – GOBA CENTER! 🔥 Unatafuta kiwanja katika eneo zuri kwa ajili ya kujenga nyumba au uwekezaji? Hii ni nafasi yako! 📍 LOCATION: Goba Center 📐 UKUBWA: 645 SQM 📜 UMILIKI: Hati miliki ipo 📏 VIPENGELE VYA ENEO: Kiwanja kimepimwa. Kipo mtaa mzuri na tulivu. Mita...
  5. 🔥 KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA – GOBA CENTER! 🔥 Unatafuta kiwanja katika eneo zuri kwa ajili ya kujenga nyumba au uwekezaji? Hii ni nafasi yako!

    🔥 KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA – GOBA CENTER! 🔥 Unatafuta kiwanja katika eneo zuri kwa ajili ya kujenga nyumba au uwekezaji? Hii ni nafasi yako! 📍 LOCATION: Goba Center 📐 UKUBWA: 645 SQM 📜 UMILIKI: Hati miliki ipo 📏 VIPENGELE VYA ENEO: Kiwanja kimepimwa. Kipo mtaa mzuri na tulivu. Mita...
  6. 🔥 KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA – GOBA CENTER! 🔥 Unatafuta kiwanja katika eneo zuri kwa ajili ya kujenga nyumba au uwekezaji? Hii ni nafasi yako!

    🔥 KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA – GOBA CENTER! 🔥 Unatafuta kiwanja katika eneo zuri kwa ajili ya kujenga nyumba au uwekezaji? Hii ni nafasi yako! 📍 LOCATION: Goba Center 📐 UKUBWA: 645 SQM 📜 UMILIKI: Hati miliki ipo 📏 VIPENGELE VYA ENEO: Kiwanja kimepimwa. Kipo mtaa mzuri na tulivu. Mita...
  7. M

    Kapata UKIMWI lakini kwa ujasiri huu tayari hii vita ameishinda

    Kuna jamaa mmoja ni kijana tu 26-30 anaangukia humu. Huyu jamaa bhana ni wa kitaani kwetu na maisha yake ni kama ya vijana wengine majobless wazee wa kupiga mishe ili wapate pesa. Mishe zake nyingi ni boda na bajaji dayworker yani anagongea Bajaj na boda kwa wenye mikataba anachekecha anapeleka...
  8. Baadhi ya maneno ya Kisayansi yakiwa katika Kiswahili.

    Kiingereza (English)KiswahiliMaana Fupi IsotopeIsotopiAina za atomi za kipengele kimoja zenye idadi tofauti ya neutroni. RadioactiveYa mionzi / RedioaktiviHali ya atomi kutoa nishati au mionzi na kubadilika taratibu. Radioactive decayMuozo wa kimionziMchakato wa atomi isiyo imara kupoteza...
  9. O

    Obado na Washirika Wake Wawili Kusubiri Hukumu Leo Katika Kesi ya Mauaji ya Sharon Otieno

    Aliyekuwa Gavana wa Migori, Okoth Obado, pamoja na washirika wake wawili, wanatarajiwa kujua adhabu yao leo baada ya kupatikana na hatia katika kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Rongo, Sharon Otieno. Mahakama Kuu chini ya Jaji Cecilia Githua inatarajiwa kutoa hukumu dhidi...
  10. Wakati unawekeza katika Elimu, Nyumba, Mashamba, Usisahau kuwekeza katika mambo ya Rohoni.

    Habari ndugu zangu. Duniani hapa ni Mahali pa kupita, duniani hapa tutaishi na tutakufa, issue inakuja je! umebakisha muda gani hapa duniani jina lako libadilike uitwe marehemu? Kumbuka kila mmoja atakufa kama alivyo zaliwa! Itakuwa ni surprise! Haya maisha yapo, unaweza ukajilisha upepo...
  11. I

    Kampuni ya teknolojia ya Marekani "NVIDIA" inavyotegemea teknolojia ya Israel katika uendeshaji wake

    Wakati fulani Huang aliutaja Israeli kama "nyumba ya pili" ya Nvidia, na Netanyahu aliunga mkono hisia hiyo alipoandika kwenye mtandao wa X: "Ushirikiano wa Nvidia na sekta ya teknolojia ya Israeli umeleta thamani kubwa kwa kampuni hiyo na kwa uchumi wa uvumbuzi wa Israeli." "Kuendelea kwa...
  12. Mgogoro kati ya Jimmy Wang yu Vs Shaw Brothers, na matokea yake katika filamu

    Salute y'all 👋 Long time no see you family, hopefully you're doing just fine and so do I. Post hii ni dedication kwa actors wangu pendwa ambao wengi wetu tumekua tukiwatazama kutoka Hong Kong lakini mwaka huu wametutoka duniani ambao ni 1: Chen kuan tai 2: Whang Jang Lee .......... Kabla ya...
  13. N

    NGUMU HII: Katika Kampuni binafsi ziliyojaa (60%) Management na Staff watu wa kabila moja tofauti na wewe. Uliweza ku-survive mtanzania Mwenzangu??!!

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Mwaka 2014 mpaka 2016 mimi yalinishinda. Nilifanya kazi ya mkataba wa miaka 2 mkataba ulipoisha tu, wakataka kunipa mwingine nikakataa. Nikaondoka zangu kutoka Kigoma, huyooo nikarudi zangu Tanga kufanya kazi ya conductor wa daladala. Na ndio kazi yangu mpaka leo hii...
  14. Katika hili bora Waseme Waislamu wenyewe. Mimi siongezi neno

    https://www.facebook.com/share/r/1H2KH52yhX/ Msikilize Sheikh
  15. Mahakama yazuia kutajwa kwa Majina ya Mlalamikaji na Mashahidi katika Kesi ya Nabii Uebert Angel

    A Harare court has granted a State application to withhold the names of the complainant and witnesses from publication on security grounds in the case of Spirit Embassy Church founder Uebert Angel. The application was granted by consent. Angel has been placed on remand after appearing in court...
  16. Maneno ya Kiislamu yaliyozoeleka sana katika Kiswahili

    Haya maneno ya kiislamu yamekuwa sehemu ya lugha ya kiswahili kabisa. 1. Riziki/Rizq 2.Husda/Hasada/Hasid 3. Kudra/Qudra/Kadara
  17. Ni Katika Damu pekee ndipo CCM wataachia NCHI, hamna lingne CCM watakalofanya la kuwaondoa Madarakani, Nawao wanaogopa Jela na Umasikini.

    Hivi kweli Kikwete na Familia yake wanaweza acha NCHI itawaliwe na CHADEMA ? Samia na Familia yake ?. Huyu ZCO Mafwele, Mafwele ana nguvu sana NCHI hiii ,ingawa nguvu yake ni ya utegemezi ,lkn je atakubali CCM itokee Madarakani?. Akina Kiziga ?. Hujamtaja, Mombo na Genge lake ...
  18. Maendeleo ya jitihada za kurejesha huduma ya umeme katika mikoa YA Mbeya na Songwe

  19. Y

    Nuru na Giza Duniani, na namna ya kuzifikia nguvu hizi!

    Salaam! Leo ni jumapili nyingine tena! Kwanza niwapongeze members wote wa JF ambao wana mchango chanya katika platform hii. Binafsi ninaamini kwa asilimia kubwa watu waliopo JF ni wamepevuka kiakili na wako na nia ya kujifunza vitu vipya kila siku. Breakdown; Nilianzisha maada last week...
  20. Kero ya madalali katika soko la Mifugo. Je, tunaweza kuwaepuka?

    Soko la mifugo linakabiliwa na changamoto mbalimbali, mojawapo ikiwa ni utegemezi mkubwa wa madalali katika kuwaunganisha wafugaji na wanunuzi. Mfugaji hutumia muda, fedha na nguvu nyingi kuzalisha mifugo, lakini anapofika wakati wa kuuza mara nyingi hulazimika kutafuta dalali ili kumpatia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…