kati

Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwa mtaji wa milioni 10, biashara ipi inafaa kati ya urembo au pharmacy?

    Wakuu, Nina 10M. Natak nifanye biashara la duka la urembo (Perfumes, mafuta, Saa,cheni,wigi,sandals etc.) au nifungue mini pharmacy. Kwa Dar es salaam. Naombemi mchanganuo Biashara ipi Inalipa?
  2. Nichukue pikipiki gani kati ya hizi tatu?

    Wakuu, baada ya kufanya utafiti na kukusanya maoni toka kwa watumiaji wengine kabla ya kununua, nimepata pikipiki tatu ambazo zinashindana kwa vigezo ninavyovihitaji mimi. Vigezo hivyo ni: 1. Uwezo wa kutumia mafuta kidogo kwa safari za km 50 kila siku. 2. Ubora wa injini (sitegemei kumwona...
  3. Kwanini transaction fee kati ya mabenki na mitandao ya simu ni kubwa sana?

    Wakuu hawa watu ni kama wana ugomvi, ukitaka kutuma hela kwenda bank au bank kuja kwenye simu lazima ushtuke, gharama zake hazina tofauti na kutoa hela kwa wakala i.e Mpesa! Kwa mfano mtu anayetuma mil 1 anakatwa mpka 11k wakati hela hiyo hiyo kutoka bank moja kwenda nyingine wanakata buku tu...
  4. S

    Enyi wawezeshaji wa mdahalo juu ya ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi muwaelimishe hao wachangiaji wenu vinginevyo hapo mnapoteza tu muda

    Ninachokiona ktk mdahalo ni wananchi kuwasilisha malalamiko yao serikalini kupitia huo mdahalo. Wanatumia huo mdahalo km medium tu, warudisheni wachangiaji kwenye mstari wengine hapo ni wale janja janja waliozoea kukwepa kodi ndio maana karibu kila mfanyabiashara analalamikia bandari kwasababu...
  5. Uhusiano mkubwa uliopo kati ya sand (mchanga), madini ya silicon, semiconductors,transistors, logic gates......michango mingine mpaka software

    Hatua kwa hatua, kama tunajenga kitu kutoka chini kabisa hadi kufikia programu tunazotumia kwenye simu au kompyuta zetu. Ikiwa ni rahisi kwako kupitia video unaweza tazama video hii fupi nimeeleza yote haya https://youtu.be/DL8XQ67ahYs?si=AtcH2rIs5xdWqE0s 1. Mchanga wa Madini (Sand...
  6. Gaza ilikuwa Paradiso ya Mashariki ya kati!!

    Gaza haikuwa gereza kama wajinga na wapumbavu walivyokuwa wanaaminisha watu. Gaza ilikuwa ni johari. Watu waliishi vizuri zaidi kuliko katika nchi nyingi duniani, Lakini Hamas kwa ujinga wao na uovu wa kutosha walifanya mashambulizi ambayo yalibadilisha kila kitu huko Gaza!!! Sasa hivi Gaza...
  7. Ukimaliza kujenga Boma, nini kiatakiwa kufuata kati ya kuweka Madirisha ya Grill na Mageti ama kuezeka?

    Wakuu habari, Naomba kaushauri kidogo, nimemaliza kunyanyua kiboma changu, nataka maoni kwa wale waliotangulia kujenga Je, ni kipi sahihi kuanza nacho kati ya kuweka.madirisha ya grill na mageti, ama kutulia kwanza na kuezeka ndipo niweke madirisha natanguliza shukran
  8. Waziri Mavunde Aingilia Kati Utekelezaji wa Miradi ya CSR Mkoani Geita

    WAZIRI MAVUNDE AINGILIA KATI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA CSR MKOANI GEITA ▪️Ataka taarifa kamili ndani ya siku tatu ya mpango wa utekelezaji CSR ▪️Miradi ya 2018-2021 kukamilishwa ▪️Fedha zilizotengwa na GGM kwa miradi kutumika zote ▪️RC Shigela ahimiza ushirikiano wa karibu wa GGM na Serikali...
  9. R

    Hili ni pengo kati ya matajiri na masikini au ni mwanya?

    Huu mtaa wa loresho jijini Nairobi unaonesha kuna pengo kubwa kati ya masikini na matajiri au ni mwanya mkubwa?😁😁😁 Wakenya tunaomba mkija Tanzania kila mkitembea hatua 5 mpige saluti
  10. Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano Katika kuendeleza Sayansi na Elimu Watiwa Saini Kati ya Tanzania na Saudi Arabia

    Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano Katika kuendeleza Sayansi na Elimu Watiwa Saini Kati ya Tanzania na Saudi Arabia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Aprili 13, 2025, nchini Saudi Arabia, imesaini Hati ya Makubaliano ya ushirikiano na Wizara ya Elimu ya Saudi Arabia katika kuendeleza...
  11. Ewe Mwanaume, Jifunze Kutofautisha Kati ya Mapenzi na Huruma Unavyokuwa Unaishi na Mwanamke

    Katika mahusiano mengi ya watu wanaoishi kinyumba, mara nyingi mwanaume anaendelea kubaki na mwanamke hata kama moyoni alishamaliza safari—si kwa sababu ya mapenzi, bali kwa huruma. Unakuta kabisa mwanamke hana ile spirit ya kupambana na maisha; kwa wenzetu wengine kulelewa na kutegemea ni kama...
  12. Hii Video ya Kijana alofukuzwa JWTZ, imenikumbusha kati ya mwaka 2014-2015 JWTZ iliwafukuza vijana zaidi 30

    Rais Mwinyi Enzi hizo ni Waziri wa Ulinzi,analijua Mkuu wa Majeshi akiwa Mwamnyange ,analijua. Waziri Mkuu Kasimu analijua. Mwaka 2014 Vijana zaidi ya 50 wa JWTZ waliokua wanafanya Mafunzo ya Ukamandoo pale Morogoro, Kwa kunyimwa posho zao waliamua Kutoroka Kambini na kwenda makao makuu ya...
  13. Kati ya njaa na uzwazwa kipi bora?

    Wengi wamedhalilishwa na njaa kiasi cha binadamu kugeuka chawa. Wengi wameponzwa na uzwazwa kiasi cha binadamu kumuabudia binadamu. Je kati ya viwili hivi kipi ni bora kuliko mwenzie?
  14. Hizi ndio njia tano pekee za kuwa tajiri hapa duniani tajiri yoyote atapitia au amepitia njia moja wapo kati ya hizi.

    Kuna njia 5 tu zinazojulikana ambazo watu wengi duniani (na hapa Tanzania) wamezitumia kufikia utajiri. Hebu tuziangalie moja baada ya nyingine kwa macho ya ukweli: 1. Kurithi Mali Kama ulizaliwa kwenye familia yenye pesa aubkwenu kuna ukwasi wa kutosha basi maisha yako yanaanzia juu. Urithi...
  15. Huu uchawi wa kibongo wakurogana haufai serikali inabidi kuingilia kati.

    Huu uchawi ndo waliutumia kumroga chidi benzi Wakamroga nuhu mziwanda Yaani kila ukipata hela unawaza mitungi.
  16. Nahitaji Kati Ya Gari Hizi Ndogo Bajeti Mil 3

    habarini Wakuu Niko Dar, Nina Mil 3 Hapa Nataka Kati Ya Gari Hizi Starlet, Corolla Fe, Clavia Au Sprinter Asanteni
  17. R

    Mbowe kama unaweza ingilia kati mpasuko huu ndani ya CHADEMA

    Kama huna upande wowote, ingilia kati. naamini unaweza kuepusha kupasuka chadema. Naamini busara zako ni kubwa kulinganisha na wengine. Ulikuwa na nafasi ya kuiba kura ukashinda. Hukufanya hivyo. Hilo linanipa uhakika kuwa unaweza kuwa msuluhishi mzuri....neutral one!
  18. Kwanini mwanaume na mwanamke hawafanani hamu ya ngono?

    Mwanaume anaweza ku-do mara 100 na mwanamke ila katika 100 hizo ni mara 20 ndio unakuta mwanamke alikuwa na appetite na utayari wa kweli. Yani ni kama Mwanaume ni sex machine inayotembea muda wote yupo tayari ila mwanamke hisia zake hadi azicollect at a specific time ndio maana muda mwingine...
  19. Kati ya Toyota Wish na Toyota IST upi unyama?

    Heshima kwenu, Naomba ushauri juu ya uchaguzi wa ununuzi wa Toyota Rush au IST, kiupekee napenda muundo wa Rush imekaa kama gari Fulani yenye hadhi ila sio mjuzi wa magari hata punje, nimeileta kwenu nisaidieni kufanya maamuzi kwa kuzingatia sifa za gari hizo.
  20. M

    Tofauti 20 katı ya Freeman Mbowe vs Tundu Lissu

    Mtu yeyote akikuuliza tofauti ya Mbowe na Lissu mjibu hivi ili uchukue maksi zote 100. 1. Mbowe is a stateman, Lissu hata robo hajafika huko 2. Mbowe ni kiongozi mwenye strategies nyingi sana, Lissu ana no reforms no election 3 Mbowe ni mvumilivu wa kisiasa, Lissu hajui neno kuvumilia 4...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…