kanisa katoliki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kanisa Katoliki launda timu ya soka lengo kucheza Ligi Kuu

    Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam limeanzisha timu yake ya soka ya St Joseph Sports Club ili iweze kushindana katika Ligi mbalimbali nchini. Afisa Mtendaji Mkuu wa timu hiyo ambaye pia ni Katibu Msaidizi wa Halmashauri ya Walei Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Jeremiah Ladislaus amesema...
  2. Kwa uhakika tu Kanisa Katoliki litayakataa maridhiano ya Samia

    Kama ilivyo kwa mpenda haki yeyote yule kuyakataa maridhiano ya kisanii ya Samia basi hata kanisa Katoliki litayakataa. Haya si maridhiano bali ni utapeli mtupu wa kulazimisha watu kukubaliana na matakwa ya CCM na watawala huku wao wakiendelea kuumiza na kulazimisha matakwa yao. Tuyakatae kwa...
  3. Kwanini chawa wa CCM wanalihusisha Kanisa Katoliki na Upinzani?

    Nini kinapelekea baadhi ya wanachama wa CCM hasa chawa na pia BAKWATA kulihusisha kanisa Katoliki na kusapoti CHADEMA wapinzani wakati viongozi wengi wa serikali na chama tawala ni Wakatoliki ? Makamu wa Rais ni Mkatoliki, IGP ni Mkatoliki, inawezekana hata mkuu wa majeshi ni Mkatoliki, Marais...
  4. U

    Kama kitimoto na mvinyo ni haramu na hatari kwani ni Makadinali, Maaskofu na Mapadre Kanisa katoliki wa natumia na wanaishi miaka mingi

    Kadinali kumkuta Ana miaka 75 kuendelea kawaida sana Niwatakie sabato njema sana
  5. W

    Kanisa Katoliki lapiga marufuku hotuba za Kisiasa Makanisani, lapinga mpango wa kuzuia matangazo ya mubashara ya matokeo ya uchaguzi wa urais 2027

    Baraza la Maaskofu Katoliki nchini (KCCB) limeelekeza kuwa hakuna mwanasiasa atakayeruhusiwa kutoa hotuba za kisiasa ndani ya makanisa yote ya Kanisa Katoliki nchini Kenya, huku makasisi wakitakiwa kuhakikisha agizo hilo linatekelezwa kikamilifu. Katika taarifa iliyotolewa Alhamisi, Novemba 12...
  6. C

    Kenya : Maaskofu wa Kanisa katoliki wapiga marufuku hotuba za kisiasa makanisani

    Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Kenya wamewapiga marufuku wanasiasa kutoa hotuba za kisiasa katika makanisa yote nchini huku wakionya dhidi ya mapendekezo ya mabadiliko ya sheria za uchaguzi wanayosema yanaweza kudhoofisha uwazi na imani ya umma kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027. Katika agizo...
  7. Nani aliwaruhusu CHADEMA kutumia mazishi ya Alute kama uwanja wa kisiasa?

    Friends and Enemies, Bila Shaka tunajua kuwa CHADEMA NA KANISA KATOLIKI NI CHANDA NA KIDOLE. Siyo Mara moja au Mara mbili tumekuwa tunashuhudia KANISA KATOLIKI likishiriki hadi kwenye vikao vya ndani ya chama Tena vya maamuzi au vya usuluhishi wa migogoro ndani ya chama hiko. Kama hiyo...
  8. D

    Na Bado, 2030 anakuja zaidi ya JPM

    Akili itamkaa sawa tu mshamba wenu huyo asiyejijua.
  9. Ninaomba wapenda haki wote ilindeni CHADEMA kwa moyo na nguvu zenu zote

    Ninaliomba Kanisa Katoliki, Asasi za Kiraia, wananchi wote, Waislamu wanaopenda haki na wanachama wa CHADEMA kukilinda chama hicho kwa moyo, nguvu, damu na jasho. Kusambaratika kwa CHADEMA kwa namna yoyote ile anayoitaka Samia si pigo kwa chama pekee, bali pia kwa taasisi na asasi zote...
  10. A

    KANISA KATOLIKI walimpenyezea Nyerere taarifa kuwa TISS na Polisi wameua, maiti zimebwagwa BUGANDO, vyeti vya vifo ni feki!

    KANISA KATOLIKI wametupigania muda mrefu sana Tanganyika. TISS na Polisi waliua raia Mwanza na Shinyanga, January mpaka March 1976. Maiti zilipelekwa Maswa District Hospital na Bugando Hospitali zikitokea kwenye dangulo la mahojiano la Kigoto, nje ya jiji la Mwanza pamoja na dangulo na...
  11. PostGE2025 Kanisa Katoliki kila Jumapili tunaombea marehemu wote, ila wa Oktoba 29, 2025 tuna maombi maalumu maana waliuawa kikatili

    Siku ya kumwombea Nyerere hufanyika kila mwaka, misa ya Mkapa hivyo hivyo, misa ya wafu wote waliotangulia mbele ya haki sisi uwa tunaiadhimisha tu. Tofauti ya marehemu wengine na hawa wa Oktoba 29, 2025 tunawaombea ibada maalumu kwa maana hawa waliuawa na wahuni, wezi wa kura, majizi wa...
  12. M

    Ni kweli Kanisa Katoliki halikufanya misa maalum kukumbuka waliouawa Zanzibar mwaka 2001, wakati nchi ikiongozwa na Rais Mkatoliki Benjamin Mkapa?

    Wakuu, kuna mjadala mzito unaosambaa kwa kasi. kuna habari zinasambazwa Kanisa Katoliki halikutenga siku maalum ya Misa maalum kufuatia ghasia na mauaji ya Zanzibar ya mwaka 2001, tofauti na nguvu inayowekwa sasa kuelekea Oktoba 29. Kuna ukweli katika hili ? Update: Kanisa Katoliki lilitoa...
  13. Nimechukua maji ya baraka bure kanisa Katoliki. Mwamposa maji yake ni 1000/- kwa lita.

    Mmepewa bure toeni bure. Kwanini mtume Mwamposa auze maji yake? Au anayawekea Chloroquine kuua vijidudu vya Malaria 2 na mapepo wengine wachafu?
  14. Kwa namna ilivyo sasa, ni wakati muafaka wa serikali yetu sikivu ya CCM kulifungia kanisa Katoliki kwa kukiuka misingi ya kiroho nchini Tanzania

    # Kwa namna ilivyo sasa, ni wakati muafaka wa serikali yetu sikivu ya CCM kulifungia kanisa Katoliki kwa kukiuka misingi ya kiroho nchini Tanzania ## Je, taasisi ya kiroho inapovuka mipaka yake, nani anapaswa kuwajibika? Dini ni nguzo muhimu katika kujenga maadili, kuimarisha amani na...
  15. PostGE2025 Sisi tuliookoka tunayaishi maagizo ya Mungu bila unafiki. Hatuwezi kuadhimisha vifo vilivyotokana na kukiuka maagizo ya Mungu (dhambi)

    Bwana Yesu asifiwe sana, Watu wa MUNGU. Sisi walokole hatuwezi kuadhimisha vifo ambavyo vimetokana na kukiuka agizo la Mungu. Mungu ametaja wazi mambo ambayo yanaweza yakatuondolea uhai wetu na kututenga na USO wa Mungu...kwa uchache ambayo ni Uzinzi Kuiba Mali za watu Kutamani Mali/mke wa mtu...
  16. Nimeshangaa hii nguvu inayotumika na kanisa katoliki kuisambaza barua ya "kutakuwa na maombi" Mungu haombwi hivo, kuomba ni spiritual communication

    Kuomba ni spiritual communication na Mungu na si vingine tuache kujidanganya. Kwa mifumo ya liturujia za makanisa ya kikiristo ndani Kuna kuombea viongozi wa serikali, Kuna kuombea wagonjwa, Kuna kuombea yatima na wajane na Kuna kujiombea pia. Hayo yapo automatic na yanasomwa si kwa kuyatamka...
  17. PostGE2025 Kanisa Katoliki kupanga misa ya kuwakumbuka waliokufa Oktoba 29 ni muendelezo wa uchochezi wenu

    Friends and our enemies, KANISA Siyo Taasisi ngeni Katika Ushirika wake wa mambo mbali mbali ya uhamasishaji wa vurugu na umwagaji wa damu,refer Ushirika wake katika rwandan genocide. KANISA ni hodari wa kuchochea na kujifanya wana play victim. Mnataka Kufanya misa ya kuazimisha vifo Kama...
  18. Nyuma ya mgomo wa kula wa Tundu Lissu, Lipo kanisa katoliki

    Kupitia TEC, Kanisa katoliki linaitumia chadema kama platform ya kuhamasisha na kutekeleza malengo na nia zake ovu dhidi ya serikali sikivu ya CCM na kuchochea tena fujo, ghasia na maafa katika taifa letu. Kupitia chadema, kanisa limeelekeza chadema kuhamasisha watu kugoma kula kuanzia...
  19. Hongereni sana Kanisa KATOLIKI kwa kuanzisha Rasimi safari ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Oktoba 29 2025, Japo Serikali na CCM wanatamani Hilo lisiwepo !!

    Kanisa linapobeba jukumu kama hili zito ,linaonyesha kwa namna gani Kanisa linajali Watu !!. Moja ya kumbukumbu ambazo CCM watataman maisha yake yote isahaulike ni haya Mauaji ya Oktoba 29 2025. CCM wako tayari kUfanya namna yoyote ile wanayoweza ili mradi tu KUDOGOSHA Mauaji haya ,ionekane...
  20. A

    HOJA Kanisa Katoliki lifanye uchunguzi wa Kwaya ya Kanisa la Sinza, kuna ‘upigaji’ na ukiukwaji wa maadili

    Waumini na Wanachama wa kwaya katika Parokia ya Bikira Maria Mama wa Mwokozi, iliyopo Sinza Jijini Dar es Salaam tuna hoja ambayo baada ya kuwa chinichini tumeona bora ifike hadharani, Dunia ijue labda hatua zitachukuliwa. Kuhusu ubadhirifu wa fedha Ndani ya kwaya yetu ya Mtakatifu Monika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…