Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam limeanzisha timu yake ya soka ya St Joseph Sports Club ili iweze kushindana katika Ligi mbalimbali nchini. Afisa Mtendaji Mkuu wa timu hiyo ambaye pia ni Katibu Msaidizi wa Halmashauri ya Walei Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Jeremiah Ladislaus amesema...
Kama ilivyo kwa mpenda haki yeyote yule kuyakataa maridhiano ya kisanii ya Samia basi hata kanisa Katoliki litayakataa.
Haya si maridhiano bali ni utapeli mtupu wa kulazimisha watu kukubaliana na matakwa ya CCM na watawala huku wao wakiendelea kuumiza na kulazimisha matakwa yao. Tuyakatae kwa...
Nini kinapelekea baadhi ya wanachama wa CCM hasa chawa na pia BAKWATA kulihusisha kanisa Katoliki na kusapoti CHADEMA wapinzani wakati viongozi wengi wa serikali na chama tawala ni Wakatoliki ?
Makamu wa Rais ni Mkatoliki, IGP ni Mkatoliki, inawezekana hata mkuu wa majeshi ni Mkatoliki, Marais...
Baraza la Maaskofu Katoliki nchini (KCCB) limeelekeza kuwa hakuna mwanasiasa atakayeruhusiwa kutoa hotuba za kisiasa ndani ya makanisa yote ya Kanisa Katoliki nchini Kenya, huku makasisi wakitakiwa kuhakikisha agizo hilo linatekelezwa kikamilifu.
Katika taarifa iliyotolewa Alhamisi, Novemba 12...
Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Kenya wamewapiga marufuku wanasiasa kutoa hotuba za kisiasa katika makanisa yote nchini huku wakionya dhidi ya mapendekezo ya mabadiliko ya sheria za uchaguzi wanayosema yanaweza kudhoofisha uwazi na imani ya umma kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027.
Katika agizo...
Friends and Enemies,
Bila Shaka tunajua kuwa CHADEMA NA KANISA KATOLIKI NI CHANDA NA KIDOLE.
Siyo Mara moja au Mara mbili tumekuwa tunashuhudia KANISA KATOLIKI likishiriki hadi kwenye vikao vya ndani ya chama Tena vya maamuzi au vya usuluhishi wa migogoro ndani ya chama hiko.
Kama hiyo...
Ninaliomba Kanisa Katoliki, Asasi za Kiraia, wananchi wote, Waislamu wanaopenda haki na wanachama wa CHADEMA kukilinda chama hicho kwa moyo, nguvu, damu na jasho.
Kusambaratika kwa CHADEMA kwa namna yoyote ile anayoitaka Samia si pigo kwa chama pekee, bali pia kwa taasisi na asasi zote...
KANISA KATOLIKI wametupigania muda mrefu sana Tanganyika.
TISS na Polisi waliua raia Mwanza na Shinyanga, January mpaka March 1976.
Maiti zilipelekwa Maswa District Hospital na Bugando Hospitali zikitokea kwenye
dangulo la mahojiano la Kigoto, nje ya jiji la Mwanza pamoja na dangulo na...
Siku ya kumwombea Nyerere hufanyika kila mwaka, misa ya Mkapa hivyo hivyo, misa ya wafu wote waliotangulia mbele ya haki sisi uwa tunaiadhimisha tu.
Tofauti ya marehemu wengine na hawa wa Oktoba 29, 2025 tunawaombea ibada maalumu kwa maana hawa waliuawa na wahuni, wezi wa kura, majizi wa...
Wakuu, kuna mjadala mzito unaosambaa kwa kasi. kuna habari zinasambazwa Kanisa Katoliki halikutenga siku maalum ya Misa maalum kufuatia ghasia na mauaji ya Zanzibar ya mwaka 2001, tofauti na nguvu inayowekwa sasa kuelekea Oktoba 29.
Kuna ukweli katika hili ?
Update:
Kanisa Katoliki lilitoa...
# Kwa namna ilivyo sasa, ni wakati muafaka wa serikali yetu sikivu ya CCM kulifungia kanisa Katoliki kwa kukiuka misingi ya kiroho nchini Tanzania
## Je, taasisi ya kiroho inapovuka mipaka yake, nani anapaswa kuwajibika?
Dini ni nguzo muhimu katika kujenga maadili, kuimarisha amani na...
Bwana Yesu asifiwe sana, Watu wa MUNGU.
Sisi walokole hatuwezi kuadhimisha vifo ambavyo vimetokana na kukiuka agizo la Mungu. Mungu ametaja wazi mambo ambayo yanaweza yakatuondolea uhai wetu na kututenga na USO wa Mungu...kwa uchache ambayo ni
Uzinzi
Kuiba Mali za watu
Kutamani Mali/mke wa mtu...
biblia
dhambi
dini
huwa
jukwaa
kanisakanisakatolikikatoliki
kifo
kufanya
kufanya siasa
kukiuka
kuzua taharuki
kwasababu
maagizo
maombi
mungu
nyingine
siasa
taharuki
tec
unafiki
uongozi
vifo
viongozi
walokole
wanafiki
Kuomba ni spiritual communication na Mungu na si vingine tuache kujidanganya.
Kwa mifumo ya liturujia za makanisa ya kikiristo ndani Kuna kuombea viongozi wa serikali, Kuna kuombea wagonjwa, Kuna kuombea yatima na wajane na Kuna kujiombea pia. Hayo yapo automatic na yanasomwa si kwa kuyatamka...
Friends and our enemies,
KANISA Siyo Taasisi ngeni Katika Ushirika wake wa mambo mbali mbali ya uhamasishaji wa vurugu na umwagaji wa damu,refer Ushirika wake katika rwandan genocide.
KANISA ni hodari wa kuchochea na kujifanya wana play victim.
Mnataka Kufanya misa ya kuazimisha vifo Kama...
Kupitia TEC,
Kanisa katoliki linaitumia chadema kama platform ya kuhamasisha na kutekeleza malengo na nia zake ovu dhidi ya serikali sikivu ya CCM na kuchochea tena fujo, ghasia na maafa katika taifa letu. Kupitia chadema, kanisa limeelekeza chadema kuhamasisha watu kugoma kula kuanzia...
Kanisa linapobeba jukumu kama hili zito ,linaonyesha kwa namna gani Kanisa linajali Watu !!.
Moja ya kumbukumbu ambazo CCM watataman maisha yake yote isahaulike ni haya Mauaji ya Oktoba 29 2025.
CCM wako tayari kUfanya namna yoyote ile wanayoweza ili mradi tu KUDOGOSHA Mauaji haya ,ionekane...
ccm
hilo
kanisakanisakatolikikatoliki
kuanzisha
kumbukumbu
mauaji
mauaji ya oktoba 29
oktoba
oktoba 29
oktoba 29 2025
safari
sana
serikali
serikali na ccm
wanatamani
Waumini na Wanachama wa kwaya katika Parokia ya Bikira Maria Mama wa Mwokozi, iliyopo Sinza Jijini Dar es Salaam tuna hoja ambayo baada ya kuwa chinichini tumeona bora ifike hadharani, Dunia ijue labda hatua zitachukuliwa.
Kuhusu ubadhirifu wa fedha
Ndani ya kwaya yetu ya Mtakatifu Monika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.