jeshi

  1. Allen Kilewella

    Jambo likitangazwa na Waziri, Jeshi la Polisi linaweza kutengua?

    Waziri wa mambo ya ndani ya nchi ambaye ndiye waziri anayesimamia pia jeshi la polisi, Patrobas Katambi, alitangaza bungeni pamoja na mambo mengine, agizo kwa IJP kusitisha mikutano yote ya vyama vya siasa nchini. Jeshi la polisi kupitia msemaji wa jeshi hilo limetangaza kuondoa marufuku hiyo...
  2. M

    Jeshi la Polisi: Tumewakamata Walinzi wa Kampuni ya Nyamiaga kwa kumshambulia kwa fimbo Dereva aliyekuwa kwenye mzani Kagera

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linapenda kutoa taarifa ya ufafanuzi juu ya tukio linalosambaa kweye mitandao ya kijamii likionyesha picha mjongeo ya mwanaume mmoja akiwa anashambuliwa kwa kupigwa maeneo mbalimbali ya mwili wake kwa fimbo na watu ambao ni walinzi wakishirikiana na mtumishi wa...
  3. Fbn

    Jeshi la polisi tanzania limekuwa la ovyo na linazidi kuwa la ovyo.

    Dkt. Gwajima D labda unaweza kusaidia wewe una matumaini kwa kimbilio la watu. Hivi inakuwaje mtu kaona kwenye nyumba yake CCTV camera kuna watu sio salama na wana magari ambayo hata jambazi hawezi kuwa nayo na zile silahaa kwa mtu kama afande muriro mstaafu japo yupo kazini mara moja kwa sifa...
  4. britanicca

    Weledi wa Jeshi la Wananchi JWTZ unapimwaje?

    weredi wa jeshi lolote duniani upimwa kwa global firepower kulingana vita wanazipigana au kama Hawako vitani basi 1. Walinde Mipaka, ila Mara kadhaa tumeona wahamiaji haramu wengi wako Tanzania wengine kupitia mipakani kinyemera, na pili utoroshwaji wa baadhi ya rasilimali kupitia mipakani...
  5. Ponjoro wa Kinondoni

    Jeshi la polisi mkoa wa Iringa acheni kunibugudhi mimi ni raia mzalendo

    Kipindi nagawa vipeperushi vya amani kwenye mitaa mbalimbali ya mji wa Iringa, jeshi la polisi mkoani humo limeanza kunibugudhi kisa ujumbe uliopo ndani ya vipeperushi. Ujumbe huo ni mfupi tu unasomeka kuwa "tunamhitaji ndugu Humphrey Polepole aje atusaidie kujenga hoja za maridhiano" Nadhani...
  6. Ponjoro wa Kinondoni

    Nashauri Jeshi la Wananchi Lilinde Uhai wa Wafuatao Mpaka Awamu Ijayo

    1. Ndugu Mafwele 2. Ndugu Muliro 3. Ndugu Abdul Nalionba sana jeshi letu liwalinde hawa raia kwa wivu mkubwa, ili awamu ijayo watusaidie kuwatafuta ndugu zetu waliopotea. Nawasilisha.
  7. L

    Jeshi la Polisi lipige marufuku na kuzuia mkusanyiko unaotaka kufanywa na BAVICHA mkoani Dodoma tarehe 12 Agosti kutokana na kuwa na viashiria vibaya

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeona tangazo la Mwenyekiti Wa BAVICHA Taifa Deogratias Mahinyila Akisema watakuwa na mkusanyiko wa vijana utakaofanyika pale Dodoma wakitaka ama wakiwa na ajenda za kutaka Katiba mpya na kuzungumza mambo mengine ya kisiasa . Sasa kwa jicho la kijasusi na jicho la...
  8. R

    Polisi na Jeshi, ikitokea la kutokea, wanaowatuma hawatakufa mtakufa nyinyi, wananchi, ndugu zenu, watoto wenu, wetu

    ANGALIZO: I am not advocating for this, NO, NO, NO. ILA NATOA TAHADHALI. Sasa hivi kwa vile mna bunduki , mabomu na madege, na upande mwingine hauna bunduki wala chochote, hamuwezi kuona hatari za kinachoendelea nchini. Pale ambapo pande zote zikiwa na bunduki na vifaa kama nyinyi, mkaanza...
  9. Fbn

    Ccm ni chama au ni jeshi la kicomunist.

    Kusema kuna democracy hapa tukatae. Hivi ushaona duniani kuna vyama vina vaa sale na kuweka vyeo vya mfano wa kijeshi.
  10. M

    Duniani Kote katiba huletwa na Umma au Jeshi. Ngoja tuone Tanzania

    Kama umemsikiliza Dr Nchimbi vizuri utagundua kuwa ana frustration ya muda wa kuipata katiba mpya! Alitarajia itapatikana 2028 ili itumike uchaguzi wa 2029 na 2030. Sasa ni July 2026 haoni dalili yoyote. Aidha Dr Nchimbi amekiri kuwa katiba iliyopo inampa Rais madaraka makubwa na nafasi kubwa...
  11. Burn the bridge _Tz

    Najuta kujiunga na jeshi la polisi

    Hiii sio kazi ni presha Kila mtu boss wako Unakaa kwa Machale Kazini chuki, mtaani chuki Rushwa kila kona Ama kweli najuta kuwa polisi
  12. Roving Journalist

    Dkt. Rhimo Nyansaho: Miaka 99 ya Jeshi la China iwe chachu ya kuimarisha ushirikiano wa Ulinzi na Tanzania

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb), amesisitiza umuhimu wa kuendeleza ushirikiano kati ya Tanzania na China katika diplomasia ya ulinzi ili kuimarisha usalama, maendeleo na uchumi endelevu wa mataifa hayo. Dkt. Nyansaho amesema hayo tarehe 21 Julai, 2026...
  13. C-C Digital Pro

    Civilian-Coin: Note: Wajibu wa Jeshi la Uhamiaji na Jeshi la Zima moto na Uokoaji kwa raia wa Tanzania.

    Wajibu wa idara ya Huduma za Uhamiaji Tanzania kwa wananchi ni pamoja na kutoa hati za kusafiria (pasi za kusafiri), kudhibiti uingiaji na ukaazi wa wageni, na kuchakata maombi ya uraia. Chombo hiki kinafanya kazi chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ili kulinda usalama wa nchi kwa maana...
  14. C-C Digital Pro

    Civilian-Coin: Angalizo: wajibu wa Jeshi la Polisi kwa Wananchi na WAJIBU wa Askari Magereza kwa Wafungwa

    Tuanze na: JESHI LA POLISI TANZANIA. Wajibu mkuu wa jeshi la polisi kwa jamii ni kulinda maisha ya watu na mali zao. Kazi hii inafanyika kwa mujibu wa sheria ili kuhakikisha amani, utulivu, na usalama vinatamalaki katika nchi. Majukumu makuu ya polisi kwa jamii yamegawanyika katika maeneo...
  15. Royal Son

    Nguo za jeshi kufanana na za nchi nyingine sahihi

    Kuna nch huku inapakana na malawi wanavaa nguo za jeshi zinafanana za us au Israel je ni sahihi ?
  16. M

    Jeshi la Polisi: Watu 130 wakamatwa kwa tuhuma za mipango ya kuchoma shule na kuua viongozi

    Jeshi la Polisi nchini limetangaza kuwatia mbaroni jumla ya watuhumiwa 130 katika mikoa mbalimbali kwa tuhuma za kupanga na kuhamasisha vitendo vya kihalifu nchini ambapo watuhumiwa hao wanadaiwa kutumia vikao vya ndani na mitandao ya kijamii kuratibu mikakati ya kuvuruga amani na usalama wa...
  17. chapati mbili na chai

    Ni dhahiri Sasa Waandamanaji wanaogopwa kuliko Jeshi

    Huu ni ukweli ambao Wala hauna shaka kabisa, kwamba Waandamanaji wanaogopwa Sana kuliko majeshi yote ya hapa nyumbani. Pamoja na kwamba majeshi yote yalitoa hakikisho la usalama Kwa raia kwamba wajitokeze na waendelee na shughuli zao za Kila siku, wamepuuzwa, hakuna aliyetoka. Maduka na...
  18. Idugunde

    Mzee Warioba: JWTZ wasiingizwe kwenye siasa, walinde usalama wa nchi.Je, jeshi letu limeingizwa kwenye siasa?

    Amenukuliwa mzee Warioba👇
  19. K

    Jeshi linatakiwa nalo lisaidie mahitaji ya katiba mpya

    Leo kujiiita eti jeshi la wananchi wananchi ni dharau kwa watanzania. Hili ni jeshi linalo angalia mauaji na kuchekelea ya walala hoi wa kawaida. Badala ya kulinda mipaka na katiba jeshi linalinda mafisadi tu. Inabidi kufanyike mapinduzi ndani ya jeshi kwanza. Jeshi linatakiwa nalo lisaidie...
  20. Fbn

    Walivyo, kesho watatoa ufafanuzi kwanini Jeshi lilisema "Kazi na Utu"

    Baada ya watu kuanza kuuliza kwa nini jeshi linachukua neno kauli mbiu ya CCM lile neno. Kesho mtarajie wakaitisha vyombo vya habari kama kawaida yao.
Back
Top Bottom