jeshi

  1. M

    Lt. Herbert Mabonga: Vyombo vya usalama viliendesha vituo visivyo rasmi vya kuwashikilia watu, vinavyojulikana kama “safe houses” walitekwa na kuteswa

    Lt. Herbert Matanda Mabonga, anasema alihudumu katika Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Uganda (UPDF) kama afisa wa ujasusi na baadaye aliliacha jeshi. Katika video/tamko refu lililotolewa Septemba 30, alidai kuwa vyombo vya usalama viliendesha vituo visivyo rasmi vya kuwashikilia watu...
  2. Hivi inakuaje Jeshi la Tanzania linavalishwa nguo za Burundi wakapigane DRC? Ni ujinga

    Msemaji wa Jeshi la Burundi, Brig. Gen. Gaspard Baratuza amekanusha taarifa kwamba wanajeshi wa Tanzania waliingia Burundi wakiwa wamevalia sare za kijeshi za Burundi ili kusaidia katika mapigano nchini DRC. Amesema eti Jeshi la Burundi lipo nchini DRC kihalali, hivyo hakuna sababu ya kuwaficha...
  3. Cheo cha msemaji wa Jeshi la Wananchi [JWTZ] kishakoma au Msemaji yupo nje na Mkuu wa Majeshi?

    Kuna kauli imetoka kwa kigogo wa ccm akisema vyombo vyote vya ulinzi na usalama ni CCM na JWTZ ikatajwa. Yamepita masaa 24 hadi sasa hakuna tamko kutoka kwa jeshi la Wananchi JWTZ kukanusha hilo. Au msemaji nae yupo na Mkuu wa Majeshi Nje ya Nchi? Au hicho cheo cha usemaji hua ni kwa ajili ya...
  4. Kutakua na hari ya dharura itakayohusisha vyombo vya ulinzi na usalama (Jeshi.)

    UFUNUO. Inaweza isiwe taharuki kubwa ila pindi uonapo hari ya dharura kama vile ving'ora na convoy yake basi ewe mtumiaji wa barabara kuwa makini. Dharula hiyo inaweza ikawa ni ya muhimu na heshima sana, kiasi kwamba shughuli nyingine zisionekane kuwa na maana, siku hiyo ikifika. Hiyo convoy...
  5. Jeshi la Polisi Dodoma Labaini Raia Aliyedhaniwa Kutekwa Alikimbia Madeni na Kwenda Kahama

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limetoa taarifa kwa umma kufafanua utata wa kutoweka kwa Mohamed Bakari (28), mkazi wa Mbwanga Wilaya ya Dodoma mjini, ambaye aliripotiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha mnamo Septemba 17, 2026, na kuzua hofu ya kutekwa. Uchunguzi wa awali wa Jeshi la...
  6. Q

    Mange Kimambi: Kuhusu Bank Statements za Heche, mnatingisha meza yenye vinywaji vya gharama

    Kama mnataka kuamsha hisia za wananchi upya kwa ufisadi wenu wa kihistoria basi endeleeni kuhangaika na Heche. Mnatoa wapi nguvu ya kuongelea bank statement ya Heche yenye vihela vya kubadili mboga alafu mna-ignore Bank Statement ya Wambura ya deposit ya 1B na Bank statement ya mtoto wa mshauri...
  7. Mange Kimambi, Mutiny, Coup d’état na Human shield: Je, kuhamasisha raia na jeshi kwa wakati mmoja kunaweza kuingia kwenye uhalifu wa kivita?

    Na Mwandishi Maalum Kuna tofauti kubwa kati ya maandamano ya kiraia na hali ambayo harakati za kiraia zinaanza kuunganishwa na uasi wa kijeshi, jaribio la kuangusha Serikali kwa nguvu na mapambano yanayosababisha vifo vya mamia ya watu. Hilo ndilo jambo linalonifanya niulize swali hili kuhusu...
  8. Burkinafaso wamejenga kiwanda cha kuzalisha sare za jeshi cha dola milioni 30

    Wameamua kuzalisha sare zao wenyewe kutoka kwenye pamba wanayolima wenyewe. Wanatarajia kuzalisha sare za majeshi na nguo za kiraia. Sasa hivi tutaona wanauza nje sare za kijeshi. Wanapunguza import na kuongeza ajira nchini mwao. Kila la kheri kwao.
  9. Rais Samia Aongoza Maadhimisho Miaka 60 ya Jeshi la Polisi

    LEO KATIKA KUMBUKUMBU 📌 17 Septemba 2024 — Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tarehe 17 Septemba 2024, Rais Samia Suluhu Hassan akiwa Amiri Jeshi Mkuu, alihudhuria na kuongoza hafla ya kuhitimisha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania, yaliyofanyika Shule ya Polisi...
  10. Nimetenga 3m inisaidie kujiunga na jeshi la polisi Tanzania

    Kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata Mbaga wa uhakika ili nizame CCP karibu
  11. R

    Poleni jeshi la polisi kwa msiba huu mzito

    Kama waungwana tunatoa pole. Basi na nyinyi tunawaombea mubadirike muwe Police Peoples Service and NOT Force. Ikataeni falsafa ya Kifo ni Kifo. RIP Kamanda.
  12. S

    Kuna Umuhimu wa "Kulidhibiti" Jeshi la Polisi kabla ya kuchelewa

    Kuna mapungufu makubwa sana ya kimfumo na kiutendaji hadi kwa individuals, sasa hivi hawa jamaa wanajiona wao ndio kila kitu...wanaweza kukufanya chochote. Nashauri kabla ya Wananchi hawajaamua kujilinda dhidi ya majambazi haya ni muhimu sana hatua zikachukuliwa. Kuna siku watoto wa Polisi...
  13. Nilikuwa na ndoto ya kuwa polisi ila kwa haya maoni ya wananchi juu ya jeshi la polisi HAPANA SITAKI.

    Nilikuwa nimeandaa 3m mwaka huu niweze kuingia PT Ila nazidi kufunguka akili kutokana na maoni ya wananchi juu ya polisi Lakini pia hali ya uchumi na mishahara naona kabisa hii kazi Ngoja nitafute connection TAMISEMI sasa
  14. Kwanini mtu mwenye miguu kama hii haruhusiwi kujiunga na jeshi ?

    Hii imekaaje kitaalamu
  15. Usalama wa Taifa, JWTZ, na Jeshi la Polisi Tanzania Hivi mnatuonaje?

    Kazi ya kutulinda sisi raia wenu imewashinda? Ikiwa mnaweza kutumia risasi kuwaua majambazi na wahalifu sugu mnashindwa vipi kumtafuta na kumtia nguvuni mhalifu anayehusika na utekaji, mauaji ya raia na uvunjifu mwingine wa amani hapa Tanganyika? Je, ni kwamba hamumjui, mmerogwa au...
  16. Inasemekana mfanyabiashara 'Mariam Uswazi' anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Kati

    Habari zilizonifikia , zinasema mwana mitandao na mfanyabiashara Mariam Uswazi anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Kati (Central), huku wadeni wake wakifika kituoni hapo kufuatilia hatma ya pesa zao. Pia soma: ~ Wanawake wa Tanzania msipoachana na upatu mtaendelea kumlaumu Mariam Uswazi...
  17. Jeshi la Zimamoto Latoa Onyo Kuhusu Matumizi Mabaya ya Gesi ya Majumbani

    Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limetoa wito kwa wananchi kuwa waangalifu wakati wa matumizi ya gesi ya majumbani (LPG) ili kuzuia majanga ya moto na milipuko. Katika elimu iliyotolewa na afisa wa jeshi hilo kupitia kipaza sauti, alieleza kuwa matumizi ya mpira wa gesi au valve iliyoharibika kwa...
  18. Watu wawili washikiliwa na Jeshi la Polisi wakituhumiwa kuiba Mita 14 za MUWSA, Moshi - Kilimanjaro

    Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro kwa kushirikiana na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi wamefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wawili wakiwa na jumla ya mita 14 walizoziiba usiku wa kuamkia Agosti 22, 2026 kwenye Mji Mdogo wa Himo. Akizungumza na waandishi wa habari Mhandisi Kija...
  19. A

    Kesi za Mchango unaliweka wapi Jeshi la Polisi, Offisi ya Mwendesha Mashtaka na Mahakama zetu.

    Hivi karibuni kumekuwepo na kesi ambazo tunaweza, kusema ni za mchongo, Kwani Hazina uhalisia na tuhuma zinazo chagizwa dhidi ya watuhumiwa iwe ni ugaidi au uhaini . Sasa
  20. Netanyau asema ICC ni kikaragosi tu. Haina cha kumfanya ana Jeshi kali.

    Nchi ambayo itahusika kumkamata au wahusika wakae chonjo jinsi watakavyoanza dondoshwa kama kuku wa mdondo. Khayatollah yupo wapi? Wauulize Iran.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…