Ujasiri wa Ukraine unazidi kushangaza siku baada ya siku.
Usiku wa kuamkia leo jeshi la Ukraine limelipua meli ya Urusi kwa kutumia drone ndogo za baharini.
Hii imetokea baada ya siku kadhaa zilizopita Ukraine kulipua daraja la Crimea.
Maswali ya msingi, ujasiri huu Ukraine inautoa wapi...
Msanii wa music nchini Tanzania anayewakilisha nchi hiyo Kimataifa katika sanaa ya muziki na Uandishi, hivi karibuni alitangaza nia ya kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Mgombea binafsi, Civilian-Coin Nalimi Kisandu amesema akiwa Rais wa Tanzania atafuta na kuondoa kabisa...
Iran imetangaza kuwa hii ndo itakuwa "the last confrontation against imperialism " . Meli ya Iran VLCC iliyobeba mafuta imeanza safari kupita mlango bahari wa hormoz na kutumia nguvu kupita katika kizuizi Cha jeshi la marekani . Iran imetangaza endapo meli hiyo itashambuliwa na jeshi la marekani...
Unaambiwa viongozi wa Marekani wanaishi kwa kujificha huko, wametolewa majumbani mwao, sasa hivi wanaishi kwenye kambi za jeshi.
Mbona huyu Iran kiburi sana?
Vyombo hivi vina wajibu wa kulinda taifa, usalama wa wananchi na mamlaka ya kikatiba. Hata hivyo, kumekuwa na maswali na tuhuma zinazohitaji uchunguzi kuhusu mipaka ya ushiriki wake katika siasa.
*Baadhi ya viongozi wa vyombo vya dola kuteuliwa kuwa Wakuu wa Mikoa au Wilaya, hali inayozua...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limewakamata watu wawili, akiwemo dereva wa mtambo wa kuchimba udongo (Excavator), Halidi Seleman Kalaghe, mwenye umri wa miaka 45, kwa tuhuma za kuharibu mali za mwajiri wake, kampuni ya China Energy Engineering Group Guanxi Hydroelectric Construction...
Uongo unaozungumzwa na wawakilishi wa serikali haramu ys Tanzania huko UPR ni wazi hii nchi imegeuzwa kuwa shimo la kuzimu.
Mpaka sasa, wakosoaji wote wa wazi wa Samia.the butcher wamepotezwa na wengine wanaishi kama digidigi na wengine kufunguliwa.mashtaka makubwa yanaotishia hatima za maisha...
Hapo zamani, JWTZ ilikuwa na uwezo mkubwa wa kukabiliana na vikosi vya Watutsi, wakiwemo wapiganaji wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda pamoja na Uganda. Rwanda yupo Kagame, Uganda yupo Museveni na pia Mtutsi.
Hata kama vikosi vilipokuwa vya Sadc, walipopata taarifa kuwa Tanzania ni sehemu ya...
Hapo zamani, JWTZ ilikuwa na uwezo mkubwa wa kukabiliana na vikosi vya Watutsi, wakiwemo wapiganaji wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda pamoja na Uganda (Muhoozi amewahi kutamka wazi M23 ni kaka zake)
Hata kama vikosi vilipokuwa vya Sadc, walipopata taarifa kuwa Tanzania ni sehemu ya vikosi...
Jeshi la Polisi limetajwa kuwa miongoni mwa makundi yanayoongoza kwa kunyanyasa waandishi wa habari nchini Tanzania, huku wadau wa sekta hiyo wakitaka uchunguzi wa vitisho na mashambulizi dhidi ya wanahabari kufanyika kwa haraka na wahusika kuwajibishwa.
Hayo yameelezwa leo, Oktoba 29, 2026...
Kila taifa lililoanguka lilianza kwa ukimya na kunyamazishana.
Hasa pale wanasiasa walipoikamata Intelijensia na wasiochaguliwa pia waliotupwa mkono kikatiba wakaitawala serikali.
Kikubwa taifa huanguka
Hasa pale jeshi likikoma kuwa la wote, likawa la mmoja au kikundi fulani.
Mwanazuoni...
Heshima sana wanajamvi.
Tanzania ni kati ya nchi kubwa Barani Afrika.Ukubwa wa Tanzania ni 947,303 Sq Km.
Ukizichukua Kenya,Uganda,Rwanda & Butundi kwa pamoja bado hazijafikia ukubwa wa Tanzania.
CDM pamoja na kuwa na muundo mzuri wa kiuongozi yaani Kanda,Mkoa,Wilaya na Kata bado inategemea...
Jeshi la Polisi Wilaya ya Ulanga limeendelea kuimarisha uhusiano na ushirikiano kati yake na wananchi kupitia programu ya “ONGEA NA KAMANDA”, iliyotekelezwa katika Kata ya Ketaketa na Kijiji cha Ketaketa, Wilaya ya Ulanga, Mkoa wa Morogoro.
Programu hiyo imelenga kuwapa wananchi fursa ya...
Ndugu wanajamii,
Napenda kutoa malalamiko yangu kwa umma kuhusu mkasa ulionikuta usiku wa kuamkia jana. Nyumbani kwangu nilivamiwa na kuibiwa (TVS) yangu
. Baada ya tukio hilo, nilifanya jambo la busara na la kiraia — nilikwenda kituo cha polisi kupeleka taarifa rasmi. Mwizi nimemjua, na...
1. JESHI NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA
Njia mojawapo ya kawaida ya mapinduzi ya serikali ni jeshi kuingilia siasa na kuiondoa serikali iliyopo madarakani kwa kutumia nguvu. Kwa mfano walichofanya kina Ibrahim Traore wa Burukina Faso.
Hata hivyo, katika muktadha wa Tanzania, Baada ya...
Jeshi la IDF lilichapisha data kuhusu kumbukumbu ya miaka 3 tangu mauaji ya Oktoba 7.
● Wanajeshi 970 wameanguka katika hali ya uendeshaji vitani tangu Oktoba 7, 2023.
● 70% ya wanajeshi waliojeruhiwa vitani wamerejea kazini.
● Jeshi la IDF limeshambulia takriban malengo 100,000 katika...
Mchungaji Peter Msigwa amesema mfumo wa vyama vingi unahitaji kuwepo kwa uhuru wa mawazo na nafasi ya wananchi kuikosoa serikali bila kuhusishwa na usaliti au mapinduzi. Akizungumza katika Mkutano, Msigwa amedai kuwa kuna viongozi wanaona kuikosoa CCM ni sawa na kukosa uzalendo, huku akisema...
Sehemu napokaa kuna mtu kanunua nyumba ya kawaida ila cha ajbau ameanza kuongeza gorofa kwenye nyumba ambayo haina msingi wa gorofa anajenga na hakuna anayemhoji kajiamulia binafsi hili ni moja ya jambo linanikera sana nikiona watu wameweka lenta ya gorofa na sasa wanakoroga zege waendelee...