Salama jamani, leo nawakumbusha tu wazee wa ubaya ubwela ule upinzani wa uwanjani uliokuepo kati ya simba na Yanga ni kama haupo tena, yahani Kwa sasa mpinzani wa Yanga nawezakusema ni Azam na Simba wamebaki kama watani wa jadi tu.
Tangu msimu uliopita battle kubwa ilikua ni kati ya Yanga na...