iran

  1. Brother Depo

    Ayatollah mpya wa Iran Ameogopa Kifo Kutoka Kwa Israel

    Wafuasi wa Iran walikua wakitubeba ujinga kuwa viongozi wa Iran hawaogopi kufa, kumbe si kweli. Huyu Ayatollah mojtaba kaja kutufunua ukweli kuwa ni waoga sana wa kufa. Miezi minne sasa ana hofu Hadi na wasaidizi wake huko Iran, hawezi hata kuonekana hadharani sababu ya hofu ya kuuliwa na...
  2. Echolima1

    Maandalizi ya Mazishi ya Ayatollah Ali Khamenei huko Iran

    Kesho yanatarajiwa kufanyiwa Mazishi ya Ali Khamenei aliyeuawa na majeshi ya Israel. Maiti yake inatarajiwa kuletwa kwenye eneo hili na baadaye utaendelea kuzikwa kaburini. Alikuwa na mipango ya kuifuta Israel kwenye uso wa dunia lakini sasa kafutwa yeye kwanza!!
  3. Brother Depo

    Kwanini Iran na Wafuasi wa Iran, Palestine Duniani kote Wanamuogopa Sana Netanyahu?

    Nimefanya utafiti wa kina nimegundua Iran, Wafuasi wa Iran, Palestine na wote wenye mrengo huo Wanamuogopa Sana Netanyahu. Mbona namuona mtu wa kawaida sana? Hiyo hofu yenu na kumuogopa inatokea wapi? Huwa nasomaga page za huko Twitter, Instagram ikiwekwa habari ya Netanyahu utaoma wenye...
  4. Mwl.RCT

    Why Israel Could Still Restart the Iran War?

    Why Israel Could Still Restart the Iran War? The President told us the war is over, but one of the countries still shaping the conflict never even signed the paper. Two weeks ago, the United States announced a historic peace deal with Iran. Global markets cheered, and the Strait of Hormuz was...
  5. Waterloo

    Iran: kwasasa hatuna chaguo zaidi ya kutengeneza Bomu la atomiki kukabiliana na vitisho vya kijeshi dhidi ya marekani na Israeli.

    Kwa miaka mingi Iran chini ya kiongozi wao aliyeuwawa kikatili na marekani ayatollah khamenei ilijizuia na kutangaza wazi kuwa licha ya kuwa na virutubisho vya uraniamu ya kutosha kuunda Bomu la nuclear isingeweza kufanya hivyo kwakua ni kinyume na maadili ya kidini. Leo kiongozi mkuu wa kidini...
  6. M

    Jinsi Marekani ilivyogundua kuwa Imeingia cha kike kweny MoU na Iran na jinsi ilivyoanza kuivunja MoU yenyewe

    Kwa kweli vita hii ya Iran na Marekani imetuonyesha kuwa Marekani siyo nchi ya kuiamni hata kidogo hata mkiingia nayo Makubaliano. Hazikupita hata wiki mbili tangu Marekani na Iran wawekeane wafanye makubaliano lakini Marekani tayari keshaanza kutoheshimu makubaliano. Hebu kwanza tuone...
  7. Tomaa Mireni

    Kwa hali hii siwezi kuiamini VAR inayoongozwa na binadamu. Goli la Iran ni halali kabisa

    cha kushangaa ili ionekane ni offside anaonyenyeshwa mwenye jezi no. 9 wakati kule mwisho kuna mchezaji mwingine wa Misri. Jamani hii offside kivipi au mimi ndio sioni au sijui? Wachambuzi karibuni mnieleweshe hapa mana tutakesha. Nashukuru sana naona media kubwa imeona kama nilivyoona mimi...
  8. Brother Depo

    Marekani Muda Huu Wanashambulia Iran Kwa Makombora Mazito Mazito. Viongozi wa Iran kama Kawaida Yao Watatoa Mkwara Mzito Kuwaridhisha Wafuasi wao

    Muda huu Marekani wanaofanya mashambulizi ya anga ya mabomu mazito makubwa huko kusini mwa Iran. Uzuri wa marekani walisema kuwa watakua wanashambulia Iran Kila watavyoamua🤣🤣 Kesho wale viongozi wa Iran watalazimishwa Tena kufanya negotiation la sivyo watashambuliwa Tena Viongozi wa Iran kama...
  9. Brother Depo

    Israel Bado Wanapiga Lebanon. Hivi Ndivyo Viongozi Wa Iran Wanavyowafanya Midoli Wafuasi wao

    Israel bado wanapeleka moto Lebanon, hakuna chochote ambacho Iran wamefanya kama walivyokua wakiahidi na kutoa vitisho huko kwenye Media. Viongozi wa Iran waligundua udhaifu wa Wafuasi wao hasa mitandaoni, hivyo wakawa wanaenda na biti, wanawageuza Midoli Wafuasi wao: - Israel ikishambulia...
  10. 6 Pack

    Angalia majibu ya kura za maoni nchini Israel, kuhusu vita ya Marekani na Israel dhidi ya Iran pekee yake

    Niaje waungwana Ule msemo wa wahenga wa zamani kwamba kila "kwenye UKWELI, UONGO hujitenga" pembeni, umeanza kufanya Kazi vizuri nchini Israel, ambapo kura za maoni zilizofanywa na raia wa nchi hiyo zinaonesha kwamba Iran ilishinda vita yao kwa 92%. Hawa waliohusika na mchakato huu wa kura ni...
  11. Brother Depo

    Israel Inapiga Bila Kuchoka Lebanon, Iran ni Vilio TU Na Kubweka

    Israel inafanya mapigo na mwendo ndani ya Lebanon, Iran waanza kulia Rasmi. Iran kama ilivyo kawaida Kubweka bweka, safari hii wameacha Kubweka wameanza kutoa milio. Watishia kuvunja negotiation Iran walianza kusema kuwa Israel akiendelea na mashambulizi Lebanon basi Iran nao Watajibu kwa...
  12. 2019

    Shangilieni ushindi kwa Iran kwa maana maisha yanaenda kuwa rahisi sasa

    Kama kichwa kinavyoeleza dunia nzima inapaswa kushangilia ushindi wa vita kwa Iran. Masharti yaliyowekwa na Iran US ameyakubali hii inaonesha mshindi ni Iran. Mashati ya Marekani yote alikataliwa, machache haya 1. Kutotengeneza makombora 2. Kutorutubisha uranium 3. Kufungua mlango bahari...
  13. Mohamed Said

    Vita Vya Iran na Marekani: Jukwaa Limeshusha Pazia Lake

    https://youtu.be/Rm1DcLSMNBc?si=QpLcMFE-9e_jUL6q
  14. M

    Utawala uliopita wa Iran uliofutwa na jeshi la Marekani na Israel usingeruhusu makubaliano haya, Utawala mpya umeanza kulegeza msimamo ?

    Katika malengo ya vita iliyoanza February mwaka huu, Lengo mojawapo lilikuwa kubadili safu ya uongozi, na hilo limekamilika kwa kiasi kikubwa, viongozi wengi wa sasa wameshika nafasi hizo ndani ya miezi hii michache baada ya wale wa zamani kushambuliwa. Kwa jinsi utawala uliofutwa ulivyokuwa...
  15. Waterloo

    Rais Donald Trump. Iran anayo Haki ya kumiliki makombora ya ballistic kwa sababu kuna nchi nyingine pia Wanazo

    Rais wa marekani ameendelea kuishangaza dunia baada ya kuendelea kutoa kauli zinazowashangaza waisraeli na baadhi ya waungaji mkono wa vita ya marekani/Israel na Iran. Leo amesema Iran Ina Haki ya kuwa na makombora ya ballistic lakini pia Frozen asset ni fedha zao inabidi wapewe. Ameeleza kuwa...
  16. Room 28

    Israel imeukataa na kuupinga mkataba wa amani wa iran na US! Inasema itaendelea kuwabomoa hezbollar na Iran

    Hii inatupa picha gani?? Wapambe wa iran wanaamini israel ilipigwa vibaya sana katika ile vita? Lakini kama ni hivo mbona bado hawataki vita isimame wala iishe?? Nadhani kina zungu kuna kitu wanaficha
  17. Mohamed Said

    Vita Vya Iran na Marekani: Nani Kasalimu Amri Iran au Marekani?

    "Naamka napita mitandaoni kwanza kabisa habari muhimu naikuta Aljazira wanatangaza wanasema Marekani na Irani wamekubaliana kumaliza vita. Basi mimi kwanza nikaitizama kile cha habari... Kwani vita hivi alianza nani? Na nani kila siku alikuwa anasema atampigia nani?. Ukweli ni kuwa Marekani na...
  18. Brother Depo

    Israel Yaendelea Kumwaga Moto Lebanon, Iran wamefunga Rasmi Midomo

    Israel bado inaendelea kumwaga moto Lebanon, wakati huo huo ile mikwara ya Kila aina ambayo Iran imekua Ikipigwa imefutika. Iran wameingia ubaridi, hakuna tena nywi nywi nywi Ukumbuke kuwa Iran waliapa lazima washambulie Israel endapo Israel itashambulia Lebanon, lakini Hali imekua tofauti...
  19. C

    Jamani hivi vita ya Iran na USA/Israel kashinda nani?

    Wamesaini makubaliano, ina maana sasa vita imeisha. Kashinda nani? Au nako kuna DRAW MATCH kama za kwenye mpira?
  20. R

    Mafuta yashuka bei baada ya makubaliano ya USS na Iran. Subiri, hapa Malawi yatapanda

    Ujumbe ni huo, hakuna zaidi Hapa yatapanda mara dufu
Back
Top Bottom