iran

  1. Iran just launched ballistic missiles directly at Israel

    FOR THE FIRST TIME IN TWO MONTHS. ISRAEL STRUCK BACK INSIDE IRAN WITHIN HOURS. AND AN IRANIAN OFFICIAL JUST SAID THE PEACE DEAL IS "NO LONGER FEASIBLE." --- Here is exactly what happened today: Israel struck a Hezbollah command center in the Dahieh area of Beirut this morning in response to...
  2. Israel imeanzisha mashambulizi ya kulipiza kisasi nchini Iran muda huu

    Israel inaishambulia Iran muda huu kama kujibu mashumbulizi ya iran ambapo, chombo Cha habari cha Israel cha chanel 14 kimeripoti kuwa milipuko ya mabomu imesikika muda huu nchini Iran katika jiji la Tehran
  3. Israel Wameshambulia Beirut Lebanon, Iran walisema Beirut Ikipigwa Watajibu

    Masaa machache yaliyopita Israel imefanya mashambulizi ya nguvu Beirut Lebanon Iran walisema kuwa endapo Israel watashambulia Beirut basi wao Watajibu kwa kushambulia ndani ya Israel. Iran sasa tunasubiri wajibu maana walibweka sana. Israel Kila siku wanashambulia kusini mwa Lebanon...
  4. U

    Trump asema yuko tayari kukutana ana kwa ana na kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei

    BREAKING: TRUMP ASEMA YUKO TAYARI KUKUTANA ANA KWA ANA NA KIONGOZI MKUU WA IRAN AYATOLLAH KHAMENEI. Rais wa Marekani Donald Trump asema yuko tayari kukutana na Kiongozi Mkuu wa Iran, Mojtaba Khamenei, huku mazungumzo ya kidiplomasia kati ya Washington na Tehran yakiendelea...
  5. Tishio la Iran lagonga Mwamba IDF yaendelea na kipondo kwa Magaidi wa Hezbollah huko Lebanon

    Tangu mwendo wa saa 10 asubuhi ya leo, Israel ilishambulia Hezbollah kusini mwa Lebanon kama ifuatavyo: ● Mashambulizi ya angani ya ndege za kivita au ndege zisizo na rubani: Al-Mansouri, Deir al-Zahrani, Choukin, Haris, Kafra, Srifa, Kfar Tebnit, Nabatieh al-Fawqa, Tebnine, Jebchit, Doueir...
  6. T

    Leo hii Trump anaomba kukutana na Ayatollah Mojtaba: Kongole Iran

    Raisi Trump amesema anataka kukutana na Ayatollah Mojtaba ili wayamalize😂.. Aise dunia inaenda kasi, kuanzia tumewavuruga, mpaka kuomba kukutana na Mjuba mwenyewe, tutaona mengi sana. Tulimcheka Mrusi anapelekeshwa na Ukraine. Leo hii supa pawa wa wamarekani wa kwa mtogole anaomba poo🤣 Aibu....
  7. Roman Gofman awa kiongozi mpya wa Mossad!!! Iran wajipange!!

    Roman Gofman anakuwa mkuu mpya wa Mossad; katika sherehe, Netanyahu asema Israeli 'itasaidia' utawala wa Iran kuanguka Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu asema utawala wa Iran "umekusudiwa kupita" na anaapa kwamba Israeli itaisaidia kufanya hivyo, huku akizungumza katika sherehe ya kumkaribisha...
  8. Ndoto za Mwendawazimu za Iran juu ya Isral!!

    Baada ya Iran kushindwa mbinu zake zote kuifuta israel kwenye uso wa dunia mara kadhaa!! Leo tena kuna Bango jipya la matangazo katika Uwanja wa Palestina mjini Tehran, Iran leo linaipa Israeli miaka mingine 15 ya kuwepo. Siku 5,218 zimesalia. Nina uhakika asimia 100% Iran wataangukia pua tu!!
  9. Iran yatishia kuishambulia Israel endapo Beirut itashambuliwa na Israel

    Hawa Iran uthubutu wa kumchimba mkwara Netanyahu wanautoa wapi!? Siku zinakimbia sana aisee!!! Kuna kipindi Israel na Marekani walikuwa wanatafuta sababu ya kumtandika Iran, ila sasa hivi Iran ndio anatafuta sababu ya kumtandika Israel.
  10. Hormz ngoma nzito Rais wa Iran ambiwa na IRGC kaa pembeni..

  11. Vita Vya Iran na Marekani: Oman Kushambuliwa na Marekani

    https://youtu.be/9yP5oYnlva4?si=MbMw5u4P2bino_W7
  12. S

    Iran ilishambulia vikali na kuharibu mali na kambi za Marekani picha za satellite zaonyesha

    Mashambulizi ya Iran dhidi ya kambi za jeshi la marekani mashariki ya kati yameharibu vifaa na miundo mbinu 228 kwa mujibu wa picha za satellite zilizoachiwa.Idadi ya uharibifu ni mkubwa mno tofauti na ripoti zilizotolewa na makao makuu ya jeshi Centcom. Wiki ya kwanza ya vita inaonyesha kambi...
  13. Vita Vya Iran na Marekani: Imekuwaje Israel Imefunikwa?

    https://youtu.be/IdS3eoAdqhU?si=drTe0Dyah_0mscBF
  14. Memorandum of Understanding” between Iran and the United States

    Wanakumbi. ⚡️EXCLUSIVE: We have obtained a complete version of the current “Memorandum of Understanding” between Iran and the United States Details of the current Peace Deal, per an Iranian MP: 1. Declaration of the end of the war throughout the Middle East 2. Respect for each other’s...
  15. Maktaba Imepokea Vitabu Katika Historia ya Iran, Misri na Marekani

    https://www.facebook.com/share/p/1CiWRBfewf/
  16. Qatar kurudisha $12 bilioni za Iran vikwazo vya mafuta vinaondolewa, ada za Hormuz zinarejeshwa. Makubaliano ya nyuklia ya siku zijazo

    Wanaukumbi. Qatar — imetatua tatizo la mwisho: $12 bilioni katika mali za Iran zilizogandishwa. Mkataba huo unahamia kwa sababu ya Doha. 🇮🇷 Iran — inapata mabilioni ya pesa zilizogandishwa, vikwazo vya mafuta vimeondolewa, ada za Hormuz zimerejeshwa. Bei: makubaliano ya nyuklia ya siku zijazo...
  17. P

    Marekani yaishambulia kwa makombora Iran kwa walichokiita ni hali ya kujilinda dhidi ya vitisho vya Iran

    Jeshi la Marekani usiku huu wa tarehe 26/05/2026 limefanya mashambulizi ya kijeshi kwenye sites za kurushia makombora za Iran na boti ambazo wamedai zilikuwa zinajaribu kusimika mabomu baharini ========== US military says it struck southern Iran in 'self-defence' The US military said it...
  18. L

    Bajeti ya Ulinzi ya Iran pamoja na bajeti ya Ulinzi ya Marekani kwa mwaka 2025

    Supapawa wa Dunia akishirikiana na supapawa wa Middle East Israel wakipigana na nchi iliyowekewa vikwazo na kutengwa na Dunia kwa miaka zaidi ya 40 Iran. Sasa tuangalie bajeti zao za ulinzi kwa mwaka 2025. Iran Iran's official military and security budget for the 2024–2025 period was set at...
  19. Iran Yakataa Masharti ya Marekani Kuhusu Fidia:

    Wanaukumbi. 🇮🇷 Iran Yakataa Masharti ya Marekani Kuhusu Fidia: 🇮🇷 Iran yasema Marekani haiwezi kuamua fidia ya kifedha kwa upande mmoja katika makubaliano yoyote ya amani. Tehran inadai: Kuondolewa mara moja kwa mali zote za Iran Kuondolewa kabisa kwa vikwazo vya mafuta 🇮🇷Iran inaweza kupata...
  20. Iran kaanza kutepeta mbele ya Marekani!!

    Ripoti mpya ya Axios inasema makubaliano yanayoibuka kati ya utawala wa Trump na Iran yanaweza kujumuisha Tehran kutoa akiba yake ya urani iliyoruyubishwa, kusimamisha urutubishaji wa urani kwa muda mrefu, na kufungua tena Mlango-Bahari wa Hormuz. Kulingana na Axios, maafisa wa Marekani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…