ila

Òkè-Ìlá Òràngún (often abbreviated as Òkè-Ìlá) is an ancient city in southwestern Nigeria that was capital of the middle-age Igbomina-Yoruba city-state of the same name.
Òkè-Ìlá is a city in Ọṣun State, Nigeria. It is situated in the northeastern part of Yorubaland in southwestern Nigeria. Òkè-Ìlá Òràngún’s sister city (and sister kingdom) Ìlá Òràngún is located about 12 kilometres (7+1⁄2 mi) to the northeast, separated by the north-trending ridges and gorges of the Oke-Ila Quartzites.
Òkè-Ìlá Òràngún is currently capital of the Ifedayo Local Government Area of Ọsun State. The Ifedayo LGA (Local Government Area) Secretariat is located on the northern outskirts of the town. The administration of the two major towns and the several smaller towns and villages is conducted from the Ifedayo LGA Secretariat.
The paramount ruler of the town is Oba (Dr.) Adedokun Abolarin, Òràngún of Òkè-Ìlá (Aroyinkeye 1). He was a lawyer before his installation as the traditional ruler of the town. Abolarin College, one of the prominent schools in the town is owned by him.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Waziri mkuu anatumia nguvu nyingi kuaminisha umma kuwa anafanya kazi ila mpaka sasa mwaka na zaidi nani kaona jambo kubwa amelifanya!?

    Sijui kama ni mimi tu nashindwa kuelewa mambo au ni kitu gani Nimeona mahali mahali watu wanampongeza waziri mkuu kwa kufikisha mwaka mmoja wa uwaziri mkuu na hata huko njombe nimemsikia mbunge mmoja kampugia hadi magoti waziri mkuu, ila kwa upande wangu eti uniulize ni jambo gani ambalo...
  2. Asilimia 99% ya wazazi Masikini hawakuzaa watoto kwakuwa wanapenda watoto ila walizaa kama Plan B ili waje wasaidiwe na hao watoto kimaisha.

    Asilimia 99% ya wazazi Masikini hawakuzaa watoto kwakuwa wanapenda watoto ila walizaa kama Plan B ili waje wasaidiwe na hao watoto kimaisha.
  3. K

    Maoni binafsi; Katika hukumu ya Lisu sio kosa la Katuga ila Ndunguru na wenzake nafsi zitawasuta milele

    Sijasoma sheria na wala sijui sheria lakini hii hainizuii kutoa maoni binafsi baada ya kufuatilia mwenendo wa kesi ya Tundu Lisu, muhaini wa 2025/2026 Bw.Katuga kama wakili msomi wa serikali alikuwa kazini kutimiza majukumu yake kama wakili na mwanasheria yoyote yule ambaye angepewa kazi hiyo...
  4. Kitabu cha Henoko kinatumbulika na Yuda ila hakikuingizwa kwenye Biblia!

    Yuda 1:14 inasema: "Na Henoko, mtu wa kizazi cha saba toka kwa Adamu, alitoa maneno ya unabii juu ya hao, akisema, Angalia, Bwana yuaja na watakatifu wake, maelfu kwa maelfu." Uhusiano na Kitabu cha Henoko; Mstari huu katika barua ya Yuda unatoka moja kwa moja katika Kitabu cha Henoko (hasa...
  5. A

    KERO Umeme Nzega ni tatizo, TANESCO wanaomba radhi na kutuma picha za mafundi ila hakuna maboresho

    Naishi Wilaya ya Nzega, Mkoa wa Tabora, licha ya kuwa ni eneo lenye fursa kubwa za uwekezaji kutokana na rasilimali zake. Hata hivyo, kuanzia Oktoba 2026 hadi sasa, huduma ya umeme kutoka TANESCO imekuwa mbovu sana. Umeme unakatika kila siku bila utaratibu maalumu, wakati mwingine unakaa siku...
  6. Baadhi ya watu waliousaka urais kwa hali na mali ila hawakufanikiwa

    1.January Makamba 2.Edward Lowassa 3.samweli malecela 4.David msuya 5.Benard Membe 6.Omary Kigoda 7.mark mwandosya 8.salim ahmed salim 9.fredrick sumaye 10.omary juma
  7. Sikatai mwanamke kuomba pesaa, ila 🤔

    Kijana usikubali kuombwa pesa na mwanamke ambaye hana kazi yoyote ya kumuingizia hata 5000 kwa siku🤔 Utakuja lia mno na kulaumu dunia 🤣🤣 Labda kama unataka kuichapa na kusepa tu🤔
  8. M

    Wenzako wanapiga dili haramu miaka hawadakwi, ila wewe unapiga dili moja au chache unakua mfano.

    kipindi wadogo wenzangu Kila siku walikuw wanaenda kuiba ndizi kwenye shamba la watu wanarud nazo ndoo imejaa tunakula lakini hiyo siku nilosema na Mimi niend kujarib nilidakwa wenzangu walikimbia 😂😂 nilipigwa na wakalipa wazazi wangu na nyumbani nikafika nikala za kutosha
  9. Mkwamo wa Kisiasa Israel: Netanyahu Apoteza Wingi wa Viti, Waarabu Washika Hatamu kama 'Kingmakers'

    Uchaguzi mkuu wa Israel uliofanyika mnamo Oktoba 27, 2026, umeacha taifa hilo katika sintofahamu kubwa ya kisiasa baada ya matokeo ya mwisho ya Kamati Kuu ya Uchaguzi (CEC) kuthibitisha kuwa hakuna upande uliopata ushindi wa wengi. Uchaguzi huu, ambao ulikuwa wa kwanza tangu mashambulizi ya...
  10. Hawa Jamaa maisha yao ni ya hovyo sana. Ila utawakuta wanasupport Chama kama Matahira

    https://www.instagram.com/reel/Dfg03xTxDYt/?rpxt=dG9uYW4zbDYyYW0= Inasikitisha sana. Kazi ya watu wa Daraja la Chini sana.
  11. Mimi siyo nabii ila natabiri

    Kama nilivyosema hapo Juu ila natoa utabiri Kuwa Moja ya Sababu Kuu itakayomuondoa Kocha aliyechukua Mikoba ya Manqoba Mngqithi Hapo Jangwani Bwana Fadlu Davies ni kuwa Anatumika na Wapinzani wao Simba Sports Club kuwahujumu NB:Hili litatokea bila kutegemea mwendelezo wa ushindi au hata kama...
  12. Jamhuri imemshtaki na kumfunga ila watu wanaounda hiyo Jamhuri hawajafurahi kufungwa kwake. Nani anatumia jina la Jamhuri vibaya?

    Serikali chini ya DPP imetumia jina la Jamhuri, imetumia rasilimali nyingi kumshtaki Tundu Lissu. Cha kushangaza hukumu imetoka ila kila mtu, kuanzia vyama vya upinzani, wanaharakati, wanasheria, wananchi wa kawaida, viongozi wa dini na hata makada wa CCM wanatoka kudai kuwa wamesikitika kuona...
  13. Wachina wametufanya majaribio sana kwenye products zao ila zikifanikiwa wanapeleka ulaya.

    Ukiona mchina kaleta kampuni yake hapa afrika tambua yupo kwa ajili ya test. Nimekumbuka kampuni kama Tecno ilivyokuja afrika na sasa inapeleka products zake ulaya.Mbona ijapeleka mwanzoni. Leo kulikuwa na uzinduzi TVS hizi pikipiki ulaya ila cha kushangaza kajaza test zile pikipiki za mama samia.
  14. Hivi mnajua mshauzwa ila walio wanunua kuna siku sio salama zaidi ya rwanda na burundi.

    Kwa sasa huyu mlipewa mkosi ndio kashafanya yake. Ila sitapenda kuweka wazi kuepusha magaidi wakitumia kikosi cha ulinzi cha serikali. Hapa mlipo subirini kutofautiana na zambia wao wana wachina na nyie mna ....
  15. Hivi kwanini Waarabu wengi ni wabishi wa FACTS. Eneo liliitwa judea ila mtawala wa kirumi hadrian akapabadirisha na kupaita syria palestine

    Mfalme wa Kirumi Hadrian alibadilisha jina la Yudea kuwa Syria Palaestina baada ya vita vya Wayahudi dhidi ya Warumi vilivyojulikana kama Uasi wa Bar Kokhba. Alipadirisha ili kuondoa uhusiano wa jina hilo judea na uyahudi na kuwapachika jina ambalo sio lao. Neno judea linaotakana na asili ya...
  16. KERO Wahitimu wa Udaktari tunalalamikia kufungwa mapema kwa dirisha la maombi ya Internship

    Sisi wahitimu wa udaktari tunaotarajia kuanza mafunzo kwa vitendo (Internship) tunalalamikia utaratibu uliowekwa na Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT) wa kutoa siku saba pekee kwa ajili ya kufanya maombi na kuchagua vituo vya mafunzo. Cha kushangaza, dirisha hilo limefungwa leo licha ya...
  17. Nina wasi wasi, Mzee Allute atazikwa na wanasingizia, ila kasoro Mwigulu mchemba, ila itakuwa lahana kwa kizazi chake.

    Tarehe 10/11/2026 Allute atazikwa mkoani singida. Nina hakika atazikwa na wana singida wote ingawa baadhi yao wapo mikoa mbalimbali wakiuza bar Silalamiki ila naomba wana singida kasoro Mwigulu usije tuliAaaaaa.
  18. Kizza Besigye wa Uganda kuendelea kuwa ndani kulikuwa kuna uhusiano na Lissu kuendelea kuwa ndani. Ila now ni kama Museveni kaamua yaishe

    Hesabu za kuendelea kumuweka Lisu ndani zinategemeana sana na za kule Uganda kwa Mseveni. Yaani Mtawala wa Tanzania Bench mark yake ya kumshikilia Lisu iko Uganda kwa Mseven kuendelea kumshikilia Kizza Besigye. Ila juzi kati ni kama Mseveni na yule Dogo wake wanataka yaishe kwa Kizza Besigye...
  19. R

    Hekaya ya Adam na Eva/Hawa katika Biblia yetu. Si historia halisi ila ina mafundisho

    https://youtu.be/eBNVCTK5oxE?si=1y2Io17Ykwq-lYC1
  20. Waafrika tunajidharay sana ila duniani kote hakuna jamii yenye watu wakatili, wasiokuwa na utu na poor reasoning kama waarabu

    Kila sehemu hawa jamaa walipogusa lazima paache alama za ukatili. Ni aina ya watu wasiokumbatia facts bali mihemuko. Wanapenda kuona damu sana kuliko amani ndio maana wako radhi waue muyahudu na mkristo kama sifa hivi Hata baada ya miaka mingi kupita wamebaki kuwa namba moja katika jamii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…