ila

Òkè-Ìlá Òràngún (often abbreviated as Òkè-Ìlá) is an ancient city in southwestern Nigeria that was capital of the middle-age Igbomina-Yoruba city-state of the same name.
Òkè-Ìlá is a city in Ọṣun State, Nigeria. It is situated in the northeastern part of Yorubaland in southwestern Nigeria. Òkè-Ìlá Òràngún’s sister city (and sister kingdom) Ìlá Òràngún is located about 12 kilometres (7+1⁄2 mi) to the northeast, separated by the north-trending ridges and gorges of the Oke-Ila Quartzites.
Òkè-Ìlá Òràngún is currently capital of the Ifedayo Local Government Area of Ọsun State. The Ifedayo LGA (Local Government Area) Secretariat is located on the northern outskirts of the town. The administration of the two major towns and the several smaller towns and villages is conducted from the Ifedayo LGA Secretariat.
The paramount ruler of the town is Oba (Dr.) Adedokun Abolarin, Òràngún of Òkè-Ìlá (Aroyinkeye 1). He was a lawyer before his installation as the traditional ruler of the town. Abolarin College, one of the prominent schools in the town is owned by him.

View More On Wikipedia.org
  1. LiFe 2-point-0

    Hatujuani bado ila kaniambia nitenge siku 3 nimfuate mkoani alipo, anataka nikamshauri 😂

    Wakuu kama kichwa cha uzi kinavyojieleza hapo. Nimeambiwa hayo. Ni leo mchana niko shambani nimemaliza kulisha nguruwe wangu nakuta simu inaita. Ni rafiki angu mgeni kidogo bado, wa kike, age 24 hivi, nikapokea tukaongea ongea na katika mazungumzo akasisitiza "sasa, naomba utenge siku 3 kuanzia...
  2. fact only

    Wengi hamuelewi mnataka nini kwenye siasa ila mnafuata mkumbo tu

    Hellow wana JF. Kutokana na kauli ya Mh.Rais "ikimtaka Mh.waziri mkuu kutulia nakuacha kufanya ziara kwenye mikoa mbalimbali. Wadau wengi naona wanasema oohoo nikweli Mh.Waziri anapaswa kutulia kwasababu anamaliza pesa au anafuja pesa za waTanzania kwenye ziara zake. Swali langu kwenu wadau...
  3. Hance Mtanashati

    Si kwa ubaya , ila kumtambua samia kama rais kwangu ni ngumu sana na ni aibu hata angepigiwa kura na wa tz wote.

    Binafsi miongoni mwa vitu ambavyo vimeshatokea na vinanikwaza ni kuona samia ni rais wa nchi. Kwa wanaompenda ni sawa kwa matakwa yao ila kwangu naona aibu sana kumtambua au kusimamama kidete kusema samia ndiye rais wa nchi yetu. Siwezi kumsikiliza samia hata sekunde 10 bila kukwazika na...
  4. Kaka yake shetani

    Msamaha na maridhiano mbona kwa wenzetu wanzungu, waarabu na wachina hawana ila vipo Afrika

    Katika mambo ambayo yapo afrika ni msamaha na maridhiano ndo yapo afrika. Wenzetu ukileta uwovu wana kuuwa, ukileta ugaidi wanasafisha,ukileta ujinga wanakuondoa hata kama ni raisi au mwananchi. Ila afrika hapa Mtu kama samia anauwa kila kukicha anataka maridhiano
  5. T

    Maridhiano bila CHADEMA yatafikiwa haraka sana ila pia yatajifuta haraka sana!

    Kama ambavyo chama na serikali yake wamisisitiza kwamba hawata mbembeleza mtu kwenda kwenye meza ya maridhiano wataenda tu na walio tayari na inavyoonekana ni kwamba wamedhamiria na wamekusudia kufanya hivyo, na kwa kuwa kwa sehemu kubwa makundi yote waliyokutana wanakubaliana kwa asilimia...
  6. lord atkin

    Ila wanawake Mungu awabariki, nimehisi moyo wangu unachomoka

    Wakati wa BJ nilipo-orgasm ameendelea nimehisi kama moyo na ubongo wangu vinachomoka. Mungu awabariki sana hawa viumbe.
  7. britanicca

    09/12 siku mlango utakavyolia

    Usiniulize nini kitatokea. Uliza tu mbona nyota za mwezi wa kumi na mbili zinang'aa tofauti mwaka huu. Kuna tai aliyezoea kuruka juu ya milima, Sasa anaota anaruka tena. Kila usiku anahesabu nyota kwa kidole kimoja. Walisema mlima umemfunika, Kumbe mlima ni kivuli tu. Kivuli hakiwezi kumzuia...
  8. T

    Wanasema CHADEMA imekufa ila hakuna siku inapita hawajaitaja chadema mbona hawavitaji vilivyo hai!?

    Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na kelele nyingi sana kuashiria kwamba chadema imekufa hasa kutoka ccm ila kinachonishangaza ni kwamba chadema ndo chama kinaongozwa kutajwa ndani na nje ya nchi kuanzia na ccm wenyewe vyama vingine vyombo vya dola na jumuiya za kimataifa. Sababu ni nini hasa!?
  9. Isenye

    Balimi inadharaulika ila ni bia kali sana

    Nimezoea kupiga safari,so hapa kwa Mama Chiku leo hakuna safari larger nikasema ngoja nijaribu kupiga balimi. Asee toka saa 10 jion nimekata moto ndio nazinduka hapa saivi.
  10. Mad Max

    HOJA Serikali imegharamika sana kujenga madaraja ya Watembea kwa Miguu Kimara, Buguruni na Manzese, ila watu Bado wanakatisha barabarani!

    Sijui ata tunawaelewaje. Na wanasababisha foleni, huwezi amini.
  11. min -me

    JF kuna wanawake ila wife material ni wachache mno

    Kwa jicho langu la kilevi hii ni list yangu ya wife material jf😁😁 MawardatDellapina Angel Nylon Alliyah Nifah Na dada mmoja wa yanga kindaki ndaki , hawa ni wife material walio salia jf🤔
  12. Raba kali

    Mungu bwana! Mambo mazuri mpaka umuombe ndo akupe, ila mabalaa anakushushia tu! Hajali kabisa

    Wakuu hii concept ya mungu sio poa!. Simdhihaki wapa sikosoi imani ya mtu lakini.... Haiwezekani mabalaa anakushushia tu hata kama hujamuomba. Imagine umetoka kutimuliwa kazi mwezi uliopita, umejiajiri wiki 3 now, jana umepigwa tukio na mfanyakaz wako kakimbia na Milion 4. Hujakaa vizuri...
  13. Kipenzi Changu

    Mangungu hana sifa, ila amechukua fomu kwa lengo la kuvuruga Simba SC

    Licha ya huyu bwana kutokuaa na msaada wowote kwa Simba Sc, bado hana sifa za kugombea uenyekiti Simba SC. Lengo lake kubwa akishirikiana na wanaomtumia, ni kuhakikisha Simba inavurugikiwa Nitamuwekea pingamizi, ikishindikana (kwa kuwa wamejipanga) tutakinukisha wanasimba wenyewe. Hatuko tayari...
  14. Arsenal Boy

    Nimedowload game ila kwenye play store inaonesha limeshaintall ila nikija kwenye mafaili silioni

    hapa shida nini maani meshadownload chaajabu nikiingia plastore nalicheza ila kwe he mafaili ya simu halionekani msaada wakuu anaejua
  15. Traxtion

    Kwa nini watu wanaojifanya wana dini ndio wanaongoza kusupport mauaji ya October 29?

    Kama kuna kitu nimenotice ni kwamba comments nyingi zinazosupport mauaji yaliyofanyika October 29 zinatoka kwa watu wenye dini kabisa. Hawa ndio same people watakaokuattack ukisema Mungu hayupo lakini ndio wa kwanza kusupport kuwa serikali ilifanya vizuri kuua watu October 29 Yani mi naona...
  16. Fahari ya kusini

    Natamani kuacha kazi ila sijui nitaanzia wapi

    Wakuu sina amani kabisa na hii kazi ninayoifanya natamani kuacha kazi kabisa unapata sifa kubwa kwa kuwahudumia wagonjwa na kuwatibu lakini mifuko iko empty no allowance za kueleweka hauthaminiwi,ukifanya msala watu mzima inakugeukia wewe hasa hasa WaTanzania walivyowanafiki na hila. Unafanya...
  17. Financial Analyst

    Huwezi kuta wahindi ugenini na wakataka kupindua njia ya maisha iliokuwa imezoeleka pale ila waarabu wanaweza chukuliwa kwa msaada kinachofata ni fujo

    Wahindi wametapakaa duniani kote na wamerithishana njia za kuitana mahali ambapo pana manufaa kwa maendeleo yao. Licha ya madhaifu mengine hawa jamaa ni watu ambao wana jali mambo yao, wako private na imani yao lakini zaidi hawasumbui watu na imani zao wanapokuwa ugenini Ila waarabu ni watu wa...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    Mke wangu hana shida mimi kuongeza Wake wengine wa kumsaidia. Ila amenipa vigezo vya mke anayemhitaji kama ifuatavyo;

    Habari za leo! Kabla ya kumuoa mke wangu nilimwambia tangu huko yaani hata kabla hatujajuana kimwili. Nikamwambia kwamba sisi Watibeli kuoa wake wengi ni jambo la kawaida. Hivyo ajue mapema. Kama atakubali kuwa na mimi basi ajue hilo. Kama hatakubali kila mtu apite hivi. Nikampa muda wa...
  19. min -me

    Dah leo nimekunywa pombe nyingi sana ila nina cha kusema kuhusu mahusiano yetu humu🤔

    Sisi ni watu wenye akili timamu sana , ndio maana tunakoseana , 🤔 Kiukweli tumezinguana ila sioni sababu ya kuendelea kuzinguana humu . Kupevuka nikuona na kuacha yapite, leo binafsi natoa kila mtu ignore kwa kutambua , nimekua kihisia na kiakili🤔 Na ndivyo JamiiForums.com inataka...
  20. U

    Nimebishana sana na huyu Msabato asubuhi Leo kati ya Yesu Kristo na Sheria kipi kinaanza, Yeye anadai eti sheria ila mimi nimewaambia ni Yesu yeye hat

    Wadau hebu nisaidieni. Mwana damu anaokolewa kwa sheria au kumjua Yesu Kristo? Nipe majibu haraka nimalizane na huyu msabato chapu
Back
Top Bottom