ila

Òkè-Ìlá Òràngún (often abbreviated as Òkè-Ìlá) is an ancient city in southwestern Nigeria that was capital of the middle-age Igbomina-Yoruba city-state of the same name.
Òkè-Ìlá is a city in Ọṣun State, Nigeria. It is situated in the northeastern part of Yorubaland in southwestern Nigeria. Òkè-Ìlá Òràngún’s sister city (and sister kingdom) Ìlá Òràngún is located about 12 kilometres (7+1⁄2 mi) to the northeast, separated by the north-trending ridges and gorges of the Oke-Ila Quartzites.
Òkè-Ìlá Òràngún is currently capital of the Ifedayo Local Government Area of Ọsun State. The Ifedayo LGA (Local Government Area) Secretariat is located on the northern outskirts of the town. The administration of the two major towns and the several smaller towns and villages is conducted from the Ifedayo LGA Secretariat.
The paramount ruler of the town is Oba (Dr.) Adedokun Abolarin, Òràngún of Òkè-Ìlá (Aroyinkeye 1). He was a lawyer before his installation as the traditional ruler of the town. Abolarin College, one of the prominent schools in the town is owned by him.

View More On Wikipedia.org
  1. Enyi CHADEMA, Mauaji ya Okt 29 ya CCM, ni sawa na Mauaji ya Kenya 2007 yaliyozaa Katiba Mpya. Komaeni, Pambaneni, Samia na CCM watabana ila Wataachia

    Hatuhitaji Tena Mauaji mengine kuleta KATIBA na Mabadiliko katika NCHI hii, hata hivo ikilazimu Maandamano, tútaandamana kwa kua ni HAKI. Hamna mahali popote pale DUNIANI, Kiongozi akaua watu wake siku za Uchaguzi kwa Maelefu vile, alafu akabaki salama na akatawala na Dunia ikamchekea, Hamnaaaa...
  2. Ila Edwin!

  3. Maisha yapo complicated Sana unakuta mabinti wanakukataa ila wake za watu wanakushobokea

    Unakuta unatongoza hata manzi kumi ila zote zinakukazia ila wake za watu wanaanza kukutongoza wenyewe huku si kutafutana ubaya
  4. Kama tafiti zinavyoonesha ni kweli gen z sio wanywaji sana wa pombe ila sanaa yao kubwa ni hii hapa

    Source: Time Magazine Why Gen Z Is Drinking Less Hata baa huko marekani zinaanza kufanya marekebisho ili wawarudishe gen x maana walikimbia pubs baada ya kuboreshwa kuwakabilisha gen z, ila gen z kumbe hawaji pub kutafuta pombe bali kula jagina😁 Ndio kabisa, hakusa kizazi cha kifuska kama gen...
  5. N

    Ishu za Madawa Tanzania mara 100 omba ukamatwe na polisi ila sio DCEA unapotea chap

    Ishu za Madawa Tanzania mara 100 omba ukamatwe na polisi ila sio DCEA unapotea chap na hawachukui hata 100 yako mbovu.
  6. M

    Ni kweli CCM ndio inayotawala, ila wanaotawaliwa hawapo isipokuwa kundi la wauwaji pekee na 2030 tutadili nao

    Huu ndiyo ukweli uliopo Chawa mpoo!! 2030 au kabla ya hapo, wauwaji wote hamtajitetea, Kila aliyeshiriki kufanya mauwaji au kuhusika kwa namna yoyote Ile, hatakaa salama! TANZANIA yenye matumaini na Amani, ipo yaja
  7. A

    Responded HOJA Serikali ilitoa msamaha wa kodi kwa Wafanyabiashara wapya ila TRA bado wanakomaa nao, msamaha ulifutwa?

    Kama sikosei, mwaka huu 2026 Serikali ilitoa utaratibu wa kuwaruhusu wafanyabiashara wapya kufanya biashara kwa kipindi cha mwaka mmoja bila kutozwa kodi, ikiwa wamejisajili na kupata namba ya utambulisho wa mlipa kodi (TIN), na suala hilo lilipitishwa na Bunge. Swali langu ni moja: kwa nini...
  8. VETA: Waliopoteza au kuharibikiwa vyeti watapatiwa vyeti vipya badala ya Result Slip ila watalipia

    Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imepokea taarifa za malalamiko yaliyotolewa kupitia baadhi ya vyombo vya habari kuhusu suala la utoaji wa vyeti mbadala kwa wahitimu waliopoteza vyeti au vyeti vyao kuharibika. Pia soma ~ VETA Makao Makuu wanatuambia tuliopoteza vyeti hatuwezi...
  9. watumiaji wa mirungi wapo wengi na bangi ila mbona mnazibiti wakati mpaka ikulu wanatumia.

    Mimi na cheka sana yani hapa mjengoni na idara kubwa wanao jifanya pombe sio ila watumiaji wa hivi vitu. Kuna mmoja idara kubwa na tajiri na mpenzi wa mirungi anatumiwa sana . Mbona sheria kama hipo kwa maskini sio kwa wao wenye sheria.
  10. Lecturer wa UDOM ni gaidi ila Shehe Mwaipopo anayemiliki kundi la kukata vichwa sio gaidi

    DPP kuwa serious japo kidogo Huyu gaidi Mwaipopo anayemiliki kikundi cha msituni kama mbwa mwitu mnamchekea na kumkumbatia Lectures, vijana wa chuo na viongozi wa Chadema ndo magaidi
  11. Sikatai wewe ni jasiri ila humfikii huyu dogo wa Dizonga

    Ishu sio kulala na Ashawo kichakani huku akiwa na Rand 2000 mfukoni ( Kama laki tatu na ushee ya kibongo) . Ishu ni kupiga chukuchuku ( Kufanya Raw Sex/ Sex bila condom) na Malaya wa DURBAN NATAL.. 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 Man Robbed After Dispute Over Sex Worker Payment: Verulam CBD - KZN A man was...
  12. Watanzania haawana msimamo mmoja, ila CCM ina msimamo mmoja,kwanini CCM wote wana mtizamo mmoja? na kwa nini Watanzania hawana msimamo mmoja?

    Watanzania wote hawana msimamo mmoja, ila CCM ina msimamo mmoja. Lazima tujitizame, kwanini CCM wote wana mtizamo mmoja? na kwa nini Watanzania wote hawana mtizamo mmoja?.
  13. H

    Kuna mkatoliki amewahi kujiuliza kwanini mapadre wanawafungisha ndoa ila wao mapadiri hawafungi ndoa?

    Tujitafakari, Inawezekanaje mapadiri wawe sawa kuwaozesha waumini wenzao lakini wao hawaoi,hata hili waafrika hamlioni kuwa ni ujinga uliopitiliza na kama ni imani je siyo ujinga wa kutokuhoji? Wazazi wao wasingeoana jea hao mapadiri wangezaliwa?
  14. Kuna nchi uchumi wake utegemea kuuza passport na kenya kuna kashifa wanayo ila sio hiyo nchi.

    Kwa jina hiyo nchi imenitoka ila ni kakisiwa ambacho hakana rasilimali yoyote ila kanategemea zamana ya pesa utakayoweka kwao wakupe passport. Ukipata passport yao unaweza kwenda nchi nyingi free ambazo kwa passport yetu free utapata sudani ,somalia na zilizomo hata uwezi kufika na wala hakuna...
  15. Hivi kwanini bongo hakuna organized youtubers ila tuna wapiga kelele na watingisha makalio huko tik tok na insta

    Ni kwamba sisi consumers ndio tunapenda mambo ya uchawa, kelele kelele na watingisha matako au basi hatujaamua kufanya content zilizo concious na wakapata umaarufu Au basi tu watengeneza maudhui na sisi watumiaji wote akili moja 😁
  16. Nafikri Geita na Tarime ndio wilaya zenye ardhi yenye dhahabu ya kutosha ila nashangaa Tarime ukuaji upo slow. Kimbieni kule muwekeze vita hakuna tena

    Naelewa mlikimbilia mwanza, rudini, tarime pamekucha. Njoo uwekeze ustaafu kwa raha na sio kupishana na kuku huko mashambani😁
  17. Gari yangu haijawahi kutoka Dodoma, ila ina deni linaloonesha ilikamatwa Dar

    Askari wa Usalama Barabarani waache kubambika madeni kwenye magari ya watu, gari yangu ilikatiwa deni ambalo siyo langu, ilionekana ilikamatwa kwa Mwingira Dar es Salaam wakati gari haijawahi kutoka nje ya mkoa ninao ishi ambao ni Dodoma. Nimefuatilia na ikajulikana traffic aliyefanya hilo kosa...
  18. Wadada wazuri ni wengi ila wakaka wazuri tupo wachache sana

    Ni rahisi sana kukutana na wadada wazuri hata 20 kwenye trip moja ya daladala ila wakaka ma handsome tuko wachache sana kwa kweli. hii inamaanisha sisi ni badhaa adimu ndio maana wadada wanatugombea sana na wakitupata wanakua na wasiwasi mwingi mana wanajua wataibiwa. Wanaume wengi ni average...
  19. M

    Kongo Kuna utajiri ila barabara ni changamoto kubwa, Tazama video hiyo kwa majirani zetu

    HEKAYA FUPI YA HALI YA MTANDAO WA BARABARA KATIKA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGOJamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ina mtandao mkubwa wa barabara wenye takribani kilometa 152,000, lakini sehemu ndogo sana ndiyo iliyowekwa lami na kupitika kwa uhakika mwaka mzima. Barabara nyingi za kitaifa...
  20. Tulipofikia ni kama aibu. Tunaweza kununua V8 ila inakuwaje mpaka mnapewa vifaa vya tehema tena laptop?

    Hii nchi sijui tunaelekea wapi.Vifaa vya tehama mpaka mnasaidiwa au maigizo. ---------------- Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepokea vifaa vya kisasa vya Chumba cha Kanzi Data, vifaa vya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), pamoja na miundombinu iliyoboreshwa ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…