huyu

Huyu Township (simplified Chinese: 户育乡; traditional Chinese: 戶育鄉; pinyin: Hùyù Xiāng; Jingpo: Hu yup or Hi yup) is a township in Ruili, Yunnan, China. As of the 2016 statistics it had a population of 8,521 and an area of 204 square kilometres (79 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    Huyu ndiye Dr. Ndodi, mtu aliyeiheshimisha tasnia ya tiba mbadala nchini

    Kwa Gen Z wanaweza wasimfahamu, lakini sisi Millennials tulipata neema ya kumsikia wakati huo akiwa kwenye ubora wake. Huyu ndiye aliyerasimisha tiba mbadala (herbal medicine) ikaonekana ni kazi ya heshima. Zamani ulikuwa ukisikia mtu anatibu kwa mimea alionekana mganga wa jadi (mpiga ramli)...
  2. M

    Kapata UKIMWI lakini kwa ujasiri huu tayari hii vita ameishinda

    Kuna jamaa mmoja ni kijana tu 26-30 anaangukia humu. Huyu jamaa bhana ni wa kitaani kwetu na maisha yake ni kama ya vijana wengine majobless wazee wa kupiga mishe ili wapate pesa. Mishe zake nyingi ni boda na bajaji dayworker yani anagongea Bajaj na boda kwa wenye mikataba anachekecha anapeleka...
  3. R

    Huyu ni nani: Wanachi wenye silaha waliua wenzao 29.10.2025!

    Anasema 29.10.2025 wananchi we ye silaha waliua wenzao Naona sigida........ Sigida tells something anyway!
  4. Zack Abdul

    Tumsikilize kidogo Mzalendo huyu

  5. K

    Huyu Mama anampango wa kuongeza muda kisingizio katiba mpya

    Huyu Mama mwizi wa kura anategea mchakato uwe 2029 ili watafute visingizio vya kumuongezea muda zaidi. Hakuna nia yeyote ya katiba hapa tutapelekwa kama misukule kwa miaka miwili tukiaminishwa wana nia ikifika 2029 ni yaleyale ya 2014 lakini ataweka mazingira ya kuongezewa muda. Kama kweli...
  6. M

    Huyu jamaa hata kama ni tapeli hakupaswa kuteswa namna hii. Sheria ilipaswa kufuata mkondo

    Acheni kutesa watu ninyi wana usalama
  7. K

    Dangote anajanga mradi mkubwa huyu mwizi wa kura anauza sura!!

    Mwizi wetu ameenda Uganda kula rojo na kuuza sura ujenzi wa Tanga hata kiduchu eti tutasafisha mafuta🤦🏾‍♂️ Dangote kaanza ujenzi yeye kumuota Lissu na kufikiria kuiba tu.
  8. Teslarati

    Je imekuwaje britanicca ameamua kuwa fulltime informer na sio whistleblower wa chini chini kama tulivyomzoea? Na je huyu wa sasa ni yeye au decoy?

    I have a feeling britanicca wa sasa sio yule wa zamani Hii inaweza kuwa hivi 1. Ni mtu yuleyule ila goal limebadilika au limebadilishwa 2. Ni mtu tofauti kabisa Nimefanya analysis ya miandiko, aisee itoshe kusema 'shit does not add up' Mambo yote nyeti yaliovuja kupitia jamiiforum yalitoka...
  9. The UPCOUNTRIAN

    Ni nani huyu?

    Huyu bwana mwenye Suruali nyeusi ni nani? Alikuwa na 'umuhimu' gani kiasi cha 'kuwakusanya' Waziri na RPC?
  10. Nobunaga

    Huyu ni mama na mwana.... Halafu unategemea siku yuko na gf wake wataacha kujirekodi ka connection?

    Inakuwaje unajitekodi video za namna hii na mwanao wa kiume ambaye ameshabalehe?! Hatukatai kuwa na "Family Memories", lakini ndiyo mshikaneshikane na mwanao wa kiume to this extent! Tena hauishii hapo, unajipost mitandaoni! Hapa uwezekano mkubwa huyu ni single mother, tena alozaa naye atakuwa...
  11. masopakyindi

    Wadau tustuke, huyu raraa reree ni nani? ana like kila post hasa za siasa?

    Sitaki kuingilia u-member wa mtu hapa JF maana ni kosa kujadili undani wa member na kujua ni nani. raraa reree ana like kila post bila kucomment, hasa za kisiasa. Lakini napata wasiwasi kuwa huyu raraa reree ni program tu ya kudukua kila member. Mwasemaje wadau? Aione : raraa reree jitetee mkuu.
  12. Isenye

    Hivi kwa haya majibu ya huyu mheshimiwa,wakuu wetu wa wilaya wamepikwa kweli kimaadili?

    Mkuu wa wilaya kujibishana na Gen Z kwenye mitandao ya kijamii,basi bora hata majibu yake yawe ni yenye staha,but anatoa majibu ambayo ni sawa na matusi tu. Kuna maadili kweli hapa? Hii tabia hata Gerson msigwa anayo sana.
  13. D

    Sio Siri, Kimtindomtindo na Kimyakimya Wanakubali Kuwa Huyu Mtu Sio Boya Kama Walivyodhani

    Walifikiri itakuwa rahisi mno kumuangusha, yaani kama kumsukuma mlevi tu. Ndo maana kirahisirahisi tu wakaja hivi.......... 1. No vile no hivi. Ikawa vilevile, dadadeki. 2. Waliwafadhili vigen z vya Kenya kumtusi kwa Kila namna, kwa sababu ambazo hata hazieleweki. Wamemaliza matusi, wamemwacha...
  14. Traxtion

    Kama hukumpenda Charlie Kirk basi kuna huyu wa sasa anaitwa "Myron Gaines", utamchukia zaidi ya Charlie Kirk

    Kuna watu ambao wana uwezo wa kuibua mijadala mikubwa mitandaoni, lakini Myron Gaines ni mtu ambaye ukianza kufuatilia baadhi ya kauli na mitazamo yake, unaweza kujikuta unajiuliza huyu mtu anaamini kweli anachokisema au anafanya hivyo ili kupata attention. Kumbuka Charlie Kirk hakupendwa na...
  15. Ushimen

    Huyu binti kanichosha, zaidi ya masaa mawili anaongea tu....

    Yaani saizi anasema eti.... "ngoja ninyamaze nisije nikaonekana naongea sana" Hivi kwani minakosea wapi?? Haka ndio kale kabinti kaliko nisevu eti "mubaba wangu"
  16. passioner255

    Bora mkoloni mweupe kuliko huyu mweusi.

    kwenye hizi siasa za nchi yetu nimejifunza bora tungetawaliwa na wakoloni weupe kuliko hawa.hawa wakoloni wa sasa hivi hawana utu,ni wauaji,wabakaji,walawiti na mafisadi NK.Wanaiba hadharani na kwakuwa wameteka vyombo vya usalama na kutengeneza vyombo vya sheria wanajiona hawazuiliki. ubaya ni...
  17. M

    Huyu chawa mwanasheria wa serikali alifaulu kwa madesa.....tazama anavyojiuma kujadili hukumu ya TAL

    wanajamvi jioneeni mwanasheria anavyoahibika,,,,,,,ni bora asingeeenda hapo kwenye majadiliano https://www.youtube.com/live/BFtdAQgPuow?si=EIwzILxl-mKo3ehs
  18. Pdidy

    Huyu past aliwaonya wazazi kuita mtoto Kelvin miaka 7 iliyopita.....Kelvin Kelvin

    https://www.facebook.com/share/r/1BDv6xXLCu/ SIMAANISHI WEWE KELVIN AJAYE
  19. Dr Matola PhD

    Azam tv, Utv Channel mna deal gani na huyu Godfrey Mchungu? Mbona mtupu kabisa kichwani?

    Kuna maswali najiuliza majibu sipati, ila JF siku zote ndipo yalipo majawabu. Kuna huyu kijana kila nikichungulia Morning trumpet ndio muda wangu wa kuangalia tv ni asubuhi nakuta mchambuzi mwaliko ni huyu Godfrey Mchungu. Shida yangu ni moja, kuna wachambuzi manguli kama Abdulkarim Atiki...
Back
Top Bottom