hukumu

Kokborok tei Hukumu Mission was formed on 10 August 1993, in Agartala, Tripura, India as a non-political, non-religious organization whose sole mission is to serve to promote to develop and to preserve the Tripuri literature, culture, tradition and its heritage.

View More On Wikipedia.org
  1. Uchawa wa MAHAKAMA kwa Serikali, kumepoteza Heshima ya Mahakama kwa Serikali na Wananchi! Licha ya Hukumu ya Mahakama, X bado Imefungiwa!

    Nadhan Mahakama zimebaki za Vijana wanaobomoa Mali za Wachina baada ya Wachina kuwanyanyasa na kushindwa kuwalipa Mishahara yao kwa wakati. Mahakama zimebaki kufungwa Vijana wakitanzania wanaokutwa na Bangi Gram 5, Nyama ya swala kilo Moja . Mahakama zimebaki za Kupambana na CHADEMA .
  2. R

    Hukumu ya Pilato owa Yesu

    Asante Madeleka kwa kutuhabarisha sheria
  3. C

    Mahakama Kuu yaamuru Mtandao wa 'X' ufunguliwe mara moja; Yasema Serikali ilivunja Katiba

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imeamuru Serikali na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuondoa mara moja vizuizi vyote vilivyokuwa vikizuia upatikanaji wa mtandao wa kijamii wa 'X' (zamani Twitter) nchini, ikitangaza kuwa hatua ya kuufunga mtandao huo ilikuwa...
  4. O

    Obado na Washirika Wake Wawili Kusubiri Hukumu Leo Katika Kesi ya Mauaji ya Sharon Otieno

    Aliyekuwa Gavana wa Migori, Okoth Obado, pamoja na washirika wake wawili, wanatarajiwa kujua adhabu yao leo baada ya kupatikana na hatia katika kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Rongo, Sharon Otieno. Mahakama Kuu chini ya Jaji Cecilia Githua inatarajiwa kutoa hukumu dhidi...
  5. Dkt. Mwigulu aonya watendaji wanaopuuza hukumu za mahakama

    ▪︎ Aagiza utekelezaji wa hukumu na utatuzi wa migogoro ya ardhi Ifakara WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewaonya watendaji wa Serikali wanaopuuza hukumu za mahakama na kusisitiza kuwa kiongozi au taasisi yoyote isiyoridhika na hukumu inapaswa kukata rufaa badala ya kukaidi utekelezaji wake...
  6. E

    Bodi ya Filamu yaja na mkakati wa kusajili wauza filamu mitaani

    Bodi ya Filamu Tanzania imekuja na utaratibu mpya wa kuwasajili wafanyabiashara wa filamu, wakiwemo wanaouza filamu mitaani na wanaomiliki maktaba (Video Library), kwa lengo la kuwatambua kisheria na kurahisisha usimamizi wa shughuli za usambazaji wa kazi hizo nchini. Kupitia mfumo wa...
  7. Kwa nini hukumu ya sheria ya ubakaji ni kali sana ?

    Kwa nini mtu afungwe miaka 30 kwa sababu amebaka? Kwa nini tusifuate sheria za mungu mjuzi wa yote kuhusu ubakaji ? Biblia katika Kumbukumbu la Torati 22:28-29 iliweka Sheria ya ubakaji ambayo inapuuzwa. "Mtu mume akimwona binti aliye mwanamwali ambaye hajaposwa, akamshika na kulala naye...
  8. Rufaa ya Jamhuri Dhidi ya Hukumu ya Kumtakasa Lissu Dhidi ya Uhaini: DPP Haoni Kuwa Anatekeleza Mkakati wa Kupinga Maridhiano?

    Taarifa muhimu hapa JF asubuhi ya leo ni kuwa kuna Rufaa ya Jamhuri dhidi ya hukumu iliyotolewa na kumtakasa Lissu, viongozi wa Chadema na Watia nia wa Chadema zaidi ya 300 dhidi ya tuhuma za Uhaini. Tumeambiwa kuwa rufaa hiyo inaandaliwa na Ofisi ya DPP, anakofanya kazi Wakili Mkuu wa Serikali...
  9. Jamhuri yakata Rufaa sakata la hukumu ya Tundu Lissu

    NGOMA BADO MBICHI! JAMHURI YAKATA RUFAA KUPINGA LISSU KUACHIWA HURU KWENYE UHAINI 🔥🇹🇿 MAMBO BADO NDIO KWANZA...... Huku vumbi la hukumu ya kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la uchochezi likiwa bado halijatulia, upepo wa kisiasa na kisheria nchini umegeukia Mahakama ya Rufani. Upande wa...
  10. Dkt. Mwigulu: Hukumu za mahakama lazima ziheshimiwe

    ▪ Aeleza hatua tatu za kuharakisha miradi ya barabara nchini WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesisitiza kuwa hukumu za mahakama lazima ziheshimiwe na kutekelezwa kwa mujibu wa sheria, akisema mtu asiyeridhika na uamuzi wa mahakama anapaswa kutumia taratibu za kisheria kuupinga badala ya...
  11. R

    Jaji Mkuu Masaju tatizo ni kuwa mnawaona watanzania wote ni wajinga! Mahakama iko compromised, si lazima kusoma hukumu kuliona hilo, tumesikiliza!

    Hata mtoto wa IJA aliyefuatilia mwenendo wa kesi ya Lisu , hata yule mwenye very basic education ya sheria, hata yule anayesoma hukumu TANZLII bila kwenda shule ya sheria, anaona ukweli kuwa kesi ya Lisu imekuwa flawed! Wewe ndiye una tabia ya hovyo kushindwa kuuongoza muhimili wa mahakama...
  12. Baraza la kata /na hukumu fake

    Wakuu kuna jamaa ananiadisia hapa kuna dada yake ana mume wake wamezaa watoto watatu! Mke kafukuzwa nyumbani,kesi imeenda baraza la kata la Salasala hukumu imetoka kuwa huyo mke aondoke kwenye nyumba , wakati wamejenga nyumba wote na mumewe! Jamaa kurudi nyumbani kamtupia nguo mwanamke na vitu...
  13. Hukumu Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu Yaibua Madudu ya Udhaifu Wa Mhimili wa Mahakama Kutenda Haki, Suluhisho la Madudu Haya ni Katiba Mpya!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Mwananchi la leo, nikiizungumzia jinsi hukumu ya Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu ilivyo yaibua yale madudu ya udhaifu wa Mhimili wetu wa Mahakama katika kutenda haki na kutoa hukumu za haki ambazo hata jicho la kawaida litajiridhisha kuwa haki...
  14. R

    Naona baada ya kelele nyingi Hukumu ya Lisu imewekwa! Je mliokuwa mahakamani mlichokisikia ndicho kilichoaandikwa kwenye hukumu?

    someni ni hiyo hapo
  15. K

    Maoni binafsi; Katika hukumu ya Lisu sio kosa la Katuga ila Ndunguru na wenzake nafsi zitawasuta milele

    Sijasoma sheria na wala sijui sheria lakini hii hainizuii kutoa maoni binafsi baada ya kufuatilia mwenendo wa kesi ya Tundu Lisu, muhaini wa 2025/2026 Bw.Katuga kama wakili msomi wa serikali alikuwa kazini kutimiza majukumu yake kama wakili na mwanasheria yoyote yule ambaye angepewa kazi hiyo...
  16. R

    Inatia hasira kubwa, masikini Lisu na makabrasha yote kujitetea kumbe hukumu ni ya mchongo! Preditermined!

    Nimelifikiria, nikatokwa na machozi! Masikini alibeba makabrasha, mabooks na madictionary kumbe hukumu ni predetermined! Mungu anawaona na atamlipia
  17. Mjadala kuhusu hukumu ya Tundu Lissu umeahirishwa

    Wakili Peter Madeleka ameibua mjadala baada ya kueleza kuwa mdahalo kuhusu hukumu ya Tundu Lissu umeahirishwa ghafla kwa hoja kwamba Lissu tayari amekata rufaa, hivyo hukumu hiyo haiwezi tena kujadiliwa. Kwa maneno yake, ametoa pole kwa Odemba na wapigania haki. Lakini swali linabaki: Je...
  18. Hukumu ya Lissu ni kaa la moto

    TUNASIKITIKA KUWATANGAZIA KUAHIRISHWA KWA MJADALA ULIOPASWA KURUSHWA LEO TAREHE 14 NOVEMBA, 2026 KUHUSU HUKUMU YA KESI YA MHE. LISSU BAADA YA KUPEWA TAARIFA NA MAMLAKA KUWA HUKUMU HIYO IMEKATIWA RUFAA NA HIVYO HAIRUHUSIWI KUJADILIWA, KWA KUFANYA HIVYO NI KUINGILIA MWENENDO WA KESI HIYO. POLENI...
  19. R

    Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe mbele ya kiti cha hukumu

    Chukua mzigo wako mwenyewe
  20. S

    Peter Madeleka: Hukumu rasimi ya Mahakama Kuu inaonyesha Tundu Lissu alihukumiwa na Jaji Mmoja

    Ni maelezo ya Wakili Peter Madeleka aliyoyatoa kupitia mtandao wa X. Tukumbuke huyu ni wakili
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…