Mara ooh mama yako akikwambia maneno mabaya utateseka sana kwenye hii Dunia , uongo
Baba yako akivua ngua akanyoosha uume juu huku akisema kama kweli wewe ni mwanangu nimekuzaa ufe ahivi unakufa hapohapo , uongo
Dada yako akikasirika akavua chupi akakupiga nayo utateseka maisha yako yote...